Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Ukuaji wa.kisengerema na ubishi ndio chanzo Cha Mbeya yote kuwa Slum 😁😁

Wanyaki hawabeneki Wana Majungu hatari
UKABILA is a talk for mentally impaired and intellectually lazy people. This is beneath you Mzee.​
 
Mimi muhehe kuchanganyq mzaramo kuhusu kuweka kinyongo ni ukweli upande wa mama ni wazaramu Wana maneno mengi Nika zinguana nao huu mwaka wa tano sitaki stori nao Nina kinyongo Kama tukio limetokea Jana.
 
UKABILA is a talk for mentally impaired and intellectually lazy people. This is beneath you Mzee.​
Huu ushauri mpe mleta mada anaedai utofauti wa wanyakyusa na makabila mengine as if nyakyusa have something special than others wakati mpo kawaida tu
 
Nyakyusa this, Nyakyusa that!

Nag and spew this stereotypical bile all you want, but WE The Nyakyusa People simply don't care. We chose our life and seems like we're happy keeping it for a while.

Metukuta Mbeya na Mtatuacha Mbeya!​
Mbeya hatutaawacha ila tutawatawala kiuchumi.
 
Huu ushauri mpe mleta mada anaedai utofauti wa wanyakyusa na makabila mengine as if nyakyusa have something special than others wakati mpo kawaida tu
Tribes are special and unique in their own ways, different from others. And anyone can speak of how special his tribe is without denigrating other peoples. What's the problem with that ?​
 
Unafahamu maana ya kutawala watu kiuchumi mzee au ndiyo unapiga soga za mzawa tu ? 🀣​
Nalifaham vizuri sana,na kama unabisha niambie mkoa wa Mbeya nyie wanyakyusa kama wenyeji mmeishikilia biashara gani katika aspect yoyote ile
 
Tribes are special and unique in their own ways, different from others. And anyone can speak of how special his tribe is without denigrating other peoples. What's the problem with that ?​
Sasa aliyeanza kuzalilisha makabila ya watu ni mleta mada mwenyewe,ameanzaje kulinganisha wanyakyusa na wabena na wahehe? Kwamba angeleta mada bila kutuzungumzia asingeeleweka? Ndiomaana nikakwambia huu ushauri utamfaa zaidi mleta mada.
 
Nalifaham vizuri sana,na kama unabisha niambie mkoa wa Mbeya nyie wanyakyusa kama wenyeji mmeishikilia biashara gani katika aspect yoyote ile
Bloody Hell πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

So owning retail shops and petty businesses in Mbeya amounts to economic dominance. And who taught you this menacing ideology ?

Man, you sound like a midget who lives in a fairytale. Which school did you attend ?​
 
Sasa aliyeanza kuzalilisha makabila ya watu ni mleta mada mwenyewe,ameanzaje kulinganisha wanyakyusa na wabena na wahehe? Kwamba angeleta mada bila kutuzungumzia asingeeleweka? Ndiomaana nikakwambia huu ushauri utamfaa zaidi mleta mada.
Wewe na mleta maada wote akili zenu hazipishani sana. Stereotypical Vermins,

Inaelekea unapenda sana hizi siasa za kikabila.

Yaani, unajivunia kabisa kabila lako kutawala kabila jingine ndani ya Tanganyika hii hiii.

Tutafika tumechoka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
 
Poleni sana na maumivu enyi wenye ukabila.
Hapa naona mnyukano wa makabila 3.
Kila mmoja anavutia ngoma kwake.
Fungeni mjadala huu wa wekeni vitu vya maendeleo vinavyofanywa na hayo makabila 3 tujifunze kwao.
 
Waliofanya vile sio wanyakyusa! Wanyakyusa ni kama watu wa pwani tuuu🀣🀣 waoga hao hatari!

Mbeya mjini wenye mtiti pale ni WASAFWA,siye tuliokuepo Mbeya kwenye ile shoo tunawajua waliouanzisha hili,walianza kujipanga kabla ya show!!
Vijana wa Mbalizi,Uyole,Isanga,Ikuti na Nonde ndiyo waliomfanya Zuchu akatupa maiki
 
Bloody Hell πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

So owning retail shops and petty businesses in Mbeya amounts to economic dominance. And who taught you this menacing ideology ?

Man, you sound like a midget who lives in a fairytale. Which school did you attend ?​
Tunavyowaambia kuwa wanyakyusa washamba ndio huwa tunamaanisha hivi,kwanza ongea kiswahili huo ushamba wa kujidai unapenda zaidi kingreza peleka Kenya,nmekwambia kuwa tumewatawala kwenye biashara zote,kuanzia hizo za rejareja unazozisema mpaka za jumla,kama unabisha nitajie hata biashara Moja kubwa ambayo wanyakyusa mmeishikilia Kwa Mbeya,na shule niliyosoma wewe haitakusaidia chochote mshamba wewe
 
Wewe na mleta maada wote akili zenu hazipishani sana. Stereotypical Vermins,

Inaelekea unapenda sana hizi siasa za kikabila.

Yaani, unajivunia kabisa kabila lako kutawala kabila jingine ndani ya Tanganyika hii hiii.

Tutafika tumechoka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
Tatizo hujaelewa logic ya nilichokiandika,kiufupi mleta mada amenadi wanyakyusa kuwa ni bora zaidi ya wabena na wahehe, ndiomaana nikakwambia angeweza kuleta mada bila kulinganisha makabila angeeleweka pia.
 
Bloody Hell πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

So owning retail shops and petty businesses in Mbeya amounts to economic dominance. And who taught you this menacing ideology ?

Man, you sound like a midget who lives in a fairytale. Which school did you attend​
Kwa msiowajua wanyakyusa
Bloody Hell πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

So owning retail shops and petty businesses in Mbeya amounts to economic dominance. And who taught you this menacing ideology ?

Man, you sound like a midget who lives in a fairytale. Which school did you attend ?​
Na hivi ndio mlivyo,unatumia kingreza uonekane umesoma au hujuw kiswahili? Nyie ni watu wa majigambo na kujisifia mara zote,ila mifukoni watupu,aisee mngekuwa mnauchumi watu wangepata tabu sana Gwamaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,na sisi tunaendelea kuchukua point3 hapahapa nyumbani kwenu
 
Tunavyowaambia kuwa wanyakyusa washamba ndio huwa tunamaanisha hivi,kwanza ongea kiswahili huo ushamba wa kujidai unapenda zaidi kingreza peleka Kenya,nmekwambia kuwa tumewatawala kwenye biashara zote,kuanzia hizo za rejareja unazozisema mpaka za jumla,kama unabisha nitajie hata biashara Moja kubwa ambayo wanyakyusa mmeishikilia Kwa Mbeya,na shule niliyosoma wewe haitakusaidia chochote mshamba wewe
Tatizo hujaelewa logic ya nilichokiandika,kiufupi mleta mada amenadi wanyakyusa kuwa ni bora zaidi ya wabena na wahehe, ndiomaana nikakwambia angeweza kuleta mada bila kulinganisha makabila angeeleweka pia.
Kwa msiowajua wanyakyusa

Na hivi ndio mlivyo,unatumia kingreza uonekane umesoma au hujuw kiswahili? Nyie ni watu wa majigambo na kujisifia mara zote,ila mifukoni watupu,aisee mngekuwa mnauchumi watu wangepata tabu sana Gwamaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,na sisi tunaendelea kuchukua point3 hapahapa nyumbani kwenu
What the, **** πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,

Almost four threads, responding to me, Mr Mshamba. You seriously need help Mazee!​
 
Poleni sana na maumivu enyi wenye ukabila.
Hapa naona mnyukano wa makabila 3.
Kila mmoja anavutia ngoma kwake.
Fungeni mjadala huu wa wekeni vitu vya maendeleo vinavyofanywa na hayo makabila 3 tujifunze kwao.
My friend it's a decrepit thought to think that tribes can be a vehicle of development in a multi-ethnic state like Tanzania whose major means of production are at the hands of the state.

Mzee Nyerere and his acolytes, painstakingly made sure that this will be the case even for the most coming decades.

Truly, in Tanzania all ethnic groups be it Nyakyusa, Chagga, Haya, Pare were considered to be poor before Independence, and the case is still similar even after independence. Majority of Tanzanians are not even Middle Class, what's there to show for ?

The only advantage the Nyakyusa, Chagga and Haya have over other ethnic groups is that which is colonial. The colonial government in cahoots with the clergy bled them to be emissaries of colonialism.

Most of them received colonial education and became the ruling elites, even after Independence. This advantage was tried to be remedied by through the Quota System established by Dr Elinawinga but it did not yield desired results.

That's the reason why today, it's easy to find Nyakyusa, Chagga and Haya in Academia, Finance, Administration, and other white collar positions than other ethnic groups because of this historical advantage. It doesn't signify that they're smarter than any other ethnic group.

Now, it becomes tricky, offensive and genocidal if a person would parrot stereotypes against other ethnic group. Because the Nyakyusa even if they're a tribe, they are not a political or a cultural monolith. They don't have a pre-colonial political or social structures which would identify them as a single collective. We abolished the Chieftains in 1963.

So apart from being culturally Nyakyusa, they owe their identity to Tanzania as a state, and same is true for other tribes.

Ethnic groups that can flaunt economic dominance of Tanzania are those from Asia, particularly Indians and Arabs. They are still a monolith and have their social structures intact.

They're large scale agriculturists, industrialists and merchants who trade in both wholesale and retail. They occupy all the top echelons of the economic pyramid enough to influence State Policies because they pay a lot of tax. Now, these are the people you ought to be concerned about.

They can affect both our lives at a whim, either directly or indirectly. At a flex they can make sugar and other important commodities disappear from the Market overnight, or they can even chose to create inflation and asset bubbles, which can make our lives really difficult.

The rest of native ethnic groups are employed by these people, because they have a large workforce than that of the state. And you can't loathe them for this because they also have a colonial advantage.

Indians, Persians and Arabs started doing business along the East African coast since 18th Century, even before the advent of colonialism. It took them almost 250 years to be what they're today.

It's absurd when a black native, who owns a pawn shop or a bakery in the neighborhood to think that he's superior than other black native who doesn't. With exception of few rich Tanzanians, the Nyakyusa, Haya, Chagga have nothing to show for, if compared to 60000 Asian minority, who really own this country.

This thread have been about nothing but a buzz of cynical stereotypes, parroted by intellectual dwarves. All the facts claimed to have been said are nothing but stereotypes fueled by ethnic hate. While some of the ugly facts said about the Nyakyusa may bear some elements of truths, they're nothing but stereotypes.

I finish by defining STEREOTYPES, these are half truths and facts fueled by prejudice and hate towards a certain ethnic group. These half truths often paint a negative picture and distort reality.

This UKABALI dialogue may look noble and innocent at the top, but deep down it's nothing short of maniacal SATANISM.​
 
Back
Top Bottom