Kilichomkuta zuchu ndio tofauti ya wanyakyusa na makabila mengine

Hivi utakuwa unataja watu wenye pesa na kalinga unamtaja , basi na wewe tajili
We mshamba anzia hapohapo Mbeya halafu nenda mpaka kariakoo linganisha wabena wahehe na wanyakyusa,hatuna haja ya kutaja majina maana hatuna sifa kama nyie,rudi tena kuanzia kyela,rungwe mpaka hapo Mbeya then nyooka mpaka tunduma,ndio utajua nyie kiuchumi tunawaendesha,
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
Daah...mjomba wakati wa kuandika ulikuwa unaruka kichurachura?
 
amejichanganya hapo, huwezi changanya siasa na burudani hajui waliojitokeza ni wafuasi wa vyama vyote hata wale vijana wachadema waliochezea virungu walikuwepo unataka uawaambie mama mitano tena walielewe? machungu ya kijana aliyepotelea mikononi mwa watekaji na umauti ukamkuta hayajaisha lazima ukutane na hiyo kadhia
Akome
 
Hao wanyakyusa hawana hizo sifa unazosema..hao watu ni wana ukabila+roho mbaya+uchoyo+kiburi+wivu wa kijinga+dharau+unafiki
These are salient features of almost every average Tanzania, including you. Huwa sijui watanzania huwa mnapishana nini kwakweli 🤣🤣🤣​
 
Wanyakyusa hatuna shida kabisa ni vile tu wewe unavyotuchukulia vibaya.Chunguza sana,matukio mengi ya mauaji Wanyakyusa hatumo kabisa....haya mnataka msikie Nini kingine....kama ni umalaya makabila yote kuko wazi chini....kiburi ni kwa Kila mtu...we kumbuka tu mpenzi aliyekushinda kwa kiburi chake je ni mnyakyusa? Tabia ni mtu mwenyewe
Kwanini mnawakataza ndugu zenu wa kiume kuunganisha damu Na wachaga
 
Mimi ni myakyusa kiasili baba yangu myakyusa na mama mkinga, katika kuishi na kukua sasa nimejifunza jambo hili kwa wanyakyusa ni watu wenye upendo sana ukionyesha utu kwao na watu wenye dharau sana ukionyesha unawadharau,. Nilikuwa naona ndugu wa marehemu baba Moja ya ugomvi mkubwa ni pale mzee alipowaonyesha dharau walimbadilkia mno hadi alipotoka jombe na kwenda kuwaomba msamaha na pale alipowaomba msamaha walikuwa wanampa ushirikiano sana na upendo. Ni kawaida ndugu atoke mbeya kuja kuwasalimu kisa tu akisikia ulikuwa unaumwa na ulilazwa, panakutokea shida wanaichukua kama Yao kabisa. hili ni tofauti Sana na watu wa iringa hapa nawasema wahehe na wabena ( sijui waliumbwa na roho gani hawa watu hawana shukurani na Wana roho mbaya sana,ndio nimeishi nao jombe na kukua nao hawa jamaa anaweza weka kisasi kwa tukuio la kijinga hata miaka 20, umsaidie vip hawana appreciation, kama unaowafahamu vyema wahehe na wabena weka ushahidi hapa. Nimewahi kutana na kisa Cha mfanyabiashara wamesusia biashara yake kisa amewahi kuwaonyesha dharau mwanzoni alipojiona ni star alipofungua biashara. Nazani zuchu hakuelewa ni wazi mbeya Samia na CCM hawana mvuto huko na Ile kuwaita wahuni nazani ndio kimefanya waharibu nb binafsi sijapenda walichomfanyia mtoto mdogo wa kike
20241004_035332.jpg
 
Acha ufala.Jombe ndiyo wapi huko?🤔
 
Mmeshindwa kuifoa fisiem madarakani au kuandamana unabwabwaja tu hapa
 
Nyakyusa this, Nyakyusa that!

Nag and spew this stereotypical bile all you want, but WE The Nyakyusa People simply don't care. We chose our life and seems like we're happy keeping it for a while.

Metukuta Mbeya na Mtatuacha Mbeya!​
 
Back
Top Bottom