Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

Kamvua kamenyesha jana, ngoja kwanza nikaangalie kama kalifika kwenye kashamba kangu ka alizeti, korie haifai.
 
Jamani hivi siwezi Pata sehemu kitabu kilicho na mtiririko wa hiyo kesi ya kina Tamimu@McGhee ?
 
Nakosea bwana ilikuwa 1919 lakin wajerumani ndo walikuwapo kabla ya waingereza

Kama unakumbuka Mzee mlokozi baada ya kwenda vita ya pili ya dunia alikaa pale bagamoyo akapewa bendera 2 na watawala kwamba ukiona meli inakuja ina bendera ya waingereza inyooshe hii ili msiendelee kushanbuliwa, ukiona wana ya namna hii ni ya wajerumani basi Sisi ndo tutakuwa tumeshinda nyoosha hii
Mbona unazidi kukosea? Fanya tathmini na chukua hatua, unless you have enough clues don't post!!! You will eventually tarnish your image Mkuu!
 
Upinzani haujaimarika sana mpaka kutushawishi kujiunga.
Maneno hayo yananikumbusha msemo niliouokota humu Jamvini hivi leo kwenye mjadala aliouweka 'Missile of a Nation', alioutoa Mwalimu Nyerere kwenye kipindi cha televisheni na Mama Eleanor Roosevelt kuhusu 'koti linalompwaya mvaaji.'

Unasubiri 'koti' liwaenee vipi wapinzani ndipo uone kuwa linawakaa vizuri?

Kama ukoloni ulivyokuwa, sina shaka hadi hii leo tungekuwa tunaambiwa hili 'koti' bado sana. Inabidi tuzidishe kasi ya ulaji ili kuweka nyama kidogo mwilini ndipo tulivae!

Nimefurahishwa na 'background' ya maelezo uliyoyatoa katika mada hii. Yanatufunua macho baadhi yetu kuhusu mambo tuliyokuwa hatuyajui. JF FOREVER!
 
Kweli kaka uzuri wa JF unaweza kuwa unajua jambo lakin ukaweka kwenye kadamnasi kuona, je navyojua ndivyo wengine wajuavyo?
 
Nilivyo mwelewa mleta mada;

Mosi kwanza kabisa yeye ni kada mtiifu wa ccm ila akajifunika ngozi ya mnyama hayawani kwani hawezi sema ati upinzani haujamsawishi hadi sasa as if hawana sera, katiba, na kwamba govt ipo sawa kwa kila kitu something that is absolutely not true, as if hajasikia mauaji, utesaji na unyanyasaji unaofanywa hapa nchini kitu kinachopelekea serikali kuwa mtuhumiwa namba moja kutokana na kutotimiza wajibu kama serikali

Pili anakubaliana na kazi zinazofanywa na wafanyakazi wa shetani waitwao WASIOJULIKANA kwamba utekaji, utesaji, uuaji ni kazi yao ya kawaida ndo maana katukumbusha historia kidogo ya miaka ya 1980 na kutupa mifano ya waliotekwa na kuuawa.

Nihitimishe kwa kusema mleta mada ni mfuasi kindakindaki wa ccm na anasapoti wasiojulakana nimwambie tu kuwa HAYA ANAYOYASHABIKIA YANA MWISHO NA IPO SIKU MNYORORO WA HAWA WAUAJI KUANZIA SHETANI ANAEWATUMA HADI WATEKELEZAJI WATAKUJA KUWA HADHARANI NA PENGINE MLETA MADA TAYARI NI MOJA YA WANAO NUKA DAMU ZA WASIO NA HATIA.
 
Wana bodi za asubuhi!nisiwachoshe niende moja kwa moja!

Kuna huyu pascal huyu! ndio huyu mwenzetu wa jf hv ni mwandishi wa kawaida kama wengine? Alijuaje Jpm ni mgombea wa uraisi mwaka 2015? Na kajuaje tena 2015 ni makonda? yeye ni nani? maana hata Kadinali pengo alisema hayo hayo je ye ni mutu ya kile kitengo? Maana ule mwiko wa kuachiana vijiti kati ya dini kubwa mbili unaenda kuvunjwa? Je mbona hatusikii japo uteuzi kwa huyu pascal kakosea wapi?

Inaonekana pascal habahatishi ana uhakika na kalamu yake inachoandika maana hata yule kigogo kachagiza yawezekana makonda akaula kule mbeleni je kabahatisha tu?

Kwa wale wanaomwelewa vizuri huyu jamaa watupe picha ili nyuzi zake niwe nazisoma kwa umakini zaidi naanza kumuogopa huyu jamaa!!!
 
Back
Top Bottom