Sawa mkuu ila sifa zao huwa ni zipi? Maana kuitwa mtakatifu si jambo dogoWatakatifu ama wenyeheri wapo wengi tu... Si lazima watangazwe!
Kuna nini special sanaa mpk sis kuwa na muungano wetu na kudanganya kuwa unajulikana kimataifa wakat hakuna nchi nyingine yyte inaofuata huo muungano..huoni tunajidanganya wenyew kwa kuifaidisha nchi moja kwa jina la kuuita muungano?Ni kweli Muungano wetu ni muungano wa kipekee, haupo mahali pengine popote duniani. Muungano wetu kimataifa ni muungano wa union ya nchi kuungana na kuwa nchi moja ya JMT, ndio inayotambuliwa kimataifa, ila kwa ndani ya muungano, muungano wetu ni muungano wa federation ya nchi mbili na serikali mbili. Huu ni muungano very unique, adhimu na adimu.
P
Hujawahi kuona muungano unavunjika...au unajitoa ufahamu?Nchi moja
inavunjikaje???
Jibu ilo ?
Maelezo ya Pascal M.
mnatakiwa kuyaelewa kisheria zaidi ipo ivyo
Na kisiasa ndipo kuna
Muungano ✅️
Wale, KMKM, JKU na vikosi vya SMZ wote ni migambo tuu, sio dola!.Kwa nini inaye rais na vikosi vyake vya ulinzi?
Soma na kuelewa acha kutetea upumbavuKama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha
Zanzibar haina total sovereignty.
Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Pitia vizuri citation na maelezo yaliyowasilishwa bwasheeKwa hiyo aliweka interpretation zake kwenye vitabu vya watu wasomi wengine
Kuna nini special sanaa mpk sis kuwa na muungano wetu na kudanganya kuwa unajulikana kimataifa wakat hakuna nchi nyingine yyte inaofuata huo muungano..huoni tunajidanganya wenyew kwa kuifaidisha nchi moja kwa jina la kuuita muungano?
Lakini tutaendelea kuwadhibiti vibaya mnoMkuu, hawa machawa ni wagumu sana wa kuelewa. Masikio yao ni mazito kuliko masikio ya kenge.
Hujala mchana leo pimbi wewe.Soma na kuelewa acha kutetea upumbavu
Masikini mnawaza kula tu ndio maana mnanunuliwa na kuwa chawaHujala mchana leo pimbi wewe.
Cha kufanya kipoMe nikiwa nakutana na habari hizi naumia ila sina cho chote chakufanya, Mungu awasaidie
Uonevu wa kijinga kabisa huu. Sasa kosa liko wapi hapa? Au tuamini watu wenye akili ndogo wamepata nafasi ya kutawala watu wenye akili kubwa?Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa kusimamia taaluma kiuweledi bila kumuogopa mtu yeyote. Habari kamili zinadai wakati mhadhiri huyo akiendelea kufundisha somo la Political Science, mada ya Types of Governments alitoa mfano wa nchi zilizoungana na kutengeneza Union Government, huku akiiondoa Tanzania kwenye orodha ya nchi hizo.
Wahadhiri siku zote ni watu wa facts and evidence. Hawapendi blaablaa! Katika kuthibitisha ukweli wa mambo wanayofundisha, hupenda kufanya citations kutoka kwenye vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo, ili kukomelea hoja yake kwamba Tanzania is not a union government, Dr Kaijage alinukuu definition kutoka kwenye kitabu cha Civics cha O-level kama citation hiyo ilivyokuwa highlighted hapo chini (wataalamu mtatusaidia kutambua hiki ni kitabu cha kidato cha ngapi):
View attachment 3651108
Kwa mujibu wa definition ya Union Government, kama ilivyoainishwa hapo juu, Dr Kaijage aliwaambia wanafunzi kwamba Tanzania haimo kwenye orodha hiyo kwa sababu Zanzibar haijapoteza madaraka yake. Yaani, kuna serikali inayoitwa ya Muungano (Union) na pia kuna serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambayo ina mamlaka yake kama nchi ndani ya muungano. Hivyo, aliwaambia wanafunzi kwamba kitabu hiki kilichoandikwa na kuhakikiwa na serikali, kinafundisha uwongo kwa kuwa Tanzania haikidhi vigezo vya kuitwa nchi ya Muungano.
Kana kwamba hilo halitoshi, Dr Kaijage alihamia kwenye kipengele kingine cha Democracy. Katika kipengele hicho alitoa mifano ya serikali ambazo aliziita za kidikteta, na kuitolea mfano Tanzania kama mojawapo ya nchi za kidikteta, hasa kufuatia sintofahamu kwenye chaguzi za 2009, 2020 na 2025. Aidha, alitumia kitabu kimojawapo cha O-level kutoa tafsiri hiyo kama inavyosomeka kwenye kipande kifuatacho:
View attachment 3651110
Kama inavyoonekana, mhadhiri huyo ali-highlight vipande kwenye mafundisho yake ambavyo viliashiria kwamba Tanzania inaendeshwa kwa misingi ya kidikteta na uvunjivu mkubwa wa haki za binadamu.
Nini kilijiri?
Wakati akiendelea kufundisha, hakujua kuwa alikuwa anarekodiwa na mwanafunzi (chawa) mmoja ndani ya darasa lake. Baada ya kukamilisha kazi ya kurekodi, mwanafunzi huyo alituma video kwa wakubwa zake kwa ajili ya utekelezaji.
MAONI YANGU
Kitendo cha kumkamata Dr Kaijage na kumkandika kesi ya ugaidi, kitasababisha wahadhiri wengine waogope kufundisha kiuledi na badala yake kufundisha uongo ili tu kuifurahisha serikali. Hata kama mifano aliyotoa haiwafurahishi serikali, sio busara kumpa kesi mbaya kiasi hiki. Kibaya zaidi, inasemekana familia ya Kaijage imekatiwa huduma za maji na umeme na kupelekea familia hiyo kuishi kwa taabu na shida. Hii sio sawa.
Nawasilisha.
Sasa kiwanja ulinunua cha nini BossAliwr
Siku muungano ukivunjwa/ukivunjika ningali hai, nitauza hiki kiwanja changu, nifanye sherehe.
Bora nife nikiitwa mpangaji, kuliko kujenga ndani ya muungano wenye, machungu, mateso, ubaguzi, mauaji na dharau.
It's okay...Kama alisema kuna Tanzania haina Union Government anapotosha
Zanzibar haina total sovereignty.
Mamlaka yake ni kwa mambo ya ndani tu ila inapokuja kwa maswala ya nje yanayoliwasilisha Taifa yale mambo yanayotambulisha Taifa yamebakia kwa serikali ya JMT.
Huku kwetu mgambo hawana mishahara, vipi hao mgambo wa huko hawalipwi mishahara pia?Wale, KMKM, JKU na vikosi vya SMZ wote ni migambo tuu, sio dola!.
P
Hata chama cha majambazi chenyewe kinajutiaKwa kweli hili ni funzo la kusiktisha sana.
Nani hao.Hata chama cha majambazi chenyewe kinajutia