Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kanda ya kati ama.
 
Kazi nzuri ya kufungua Nchi na kukuza private sector imeanza kuzaa matunda.
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Kwetu mwenye elimu akihudumia kaz za chini anakuwa nq dharau akiamin analingana na anaemuhudumia
 
Cha ajabu ni nini sasa hapo?Acheni wadada wafanye kazi.

Hakuna la kushangaza hapo 'Kazi ni kazi '

Tatizo huku jf kila mtu hua anajifanya mambo mazuri kumbe watu wanadhiki mpk kwenye kope za macho πŸ˜‚

Kazi halali hio,wadada changamkieni fursa
 
🀣 My name is Careen Jacqueline Joy Precious Noreen Asma Mimah Hairat Zubeida.... nachukua International relation, Procurement, Sociology, Political science, Account, B Administration, Public administration... Nipo mwaka wa 3 udsm udom Cbe Ifm TIA πŸ€£πŸ˜…
Nyie nasikia bandari inauzwa tuache utani HII IMEENDA
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Labda useme baa zote, hadi now wahudumu wa bar graduates wapo mfano The Cask mwanza nawajua watatu graduates
 
apo wanawapita baadhi ya walimu mf daraja la 3A
Sdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
 
Cha ajabu ni nini sasa hapo?Acheni wadada wafanye kazi.

Hakuna la kushangaza hapo 'Kazi ni kazi '

Tatizo huku jf kila mtu hua anajifanya mambo mazuri kumbe watu wanadhiki mpk kwenye kope za macho πŸ˜‚

Kazi halali hio,wadada changamkieni fursa
Umeandika nini sasa hapo??
Bichwa kama pera,
Rubish kabisa.
 
Mkuu kama hukuwa na haja ya kudinya ya nini kufuatilia yote hayo, punguzeni kamba jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…