Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Asilimia 21 ya Wazanzibar imetengwa ?.
Hili ni takwa la kikatiba na kikanuni 😇
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,

Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Tahmeed watoe hapo
 
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Hao ni wale waliokua shortlisted pia ni kati ya walioweza kufika.
Kati ya nafasi hizo 30, nafasi 26 tayari zina watu.
194 waliobaki wanagombea nafasi 6.

Anyways, kwani hapo ulitaraji kusiwe na mwitiko kweli?
 
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Kigezo Chakwaza uwe mchaga, mali ya mchaga inasimamiwa na mchaga
 
Kuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.
Duh! Wee mbususu haisuswi kamwe!
 
Tatizo la watanzania wengi Bado tunaishi kwenye ulimwengu wa kuamini kuwa ajira ni zile za serikali duniani watu walishatoka huko ni mwendo wa private sector.Kama zimetangazwa nafasi 30 kwa kampuni moja ni jambo zuri na ukweli kua uwekezaji umeongezeka ingekuwa katangaza kupunguza wafanyakazi 30 Hilo lingekuwa tatizo.Makampuni mengi ya Mabasi sasa yameanza kuwa kisasa na unaona mtu sio konda kama wa daladala bali mhudumu ndani ya basi.
 
Huo usaili kama hujatokea ile kanda pendwa na mkoa pendekezwa hutoboi😂, unless uwe na upekee kama wa mkataba wa IGA ndio kidogo unaweza kufikiriwa

Ila natania tu, hongera kwa makampuni mengi ya mabasi siku hizi kuona umuhimu wa professionalism

uzuri wa hawa wasomi hata siku asipokuwa barabarani unaweza ukampangia ofisini na shughuli zikaenda vizuri tu
 
Wapo mbona sema huwezi wajua kwa sababu wanaficha, kuna mmoja amemaliza Chuo vha Uhasibu Arusha ni House Girl kwa mzungu,
Wabongo tunakwama wapi!? Au ndio ujinga!? Tuseme Kwa mfano wazungu wote wamesoma, kama ndio Hivyo, Je hakuna housemaids, hakuna casino maids, Hakuna barmaid, hakuna road cleaners any Way inabidi tufikie mahali tujue kusoma ni kuboresha chochote utakachofanya hapa duniani, watu Wana masters ulaya wanaenda kuuza migahawa!? Tuache ushamba
 
Back
Top Bottom