Kilimanjaro Express Kuanza Safari za Usiku

Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Na zife tu maana zikiwepo ni upigaji tu unaendelea wanafaidi wachache wengi wanakosa......
 
Treni n usafiri wa Raha kwa wapenzi wa kusafiri na kufurahi.

Imagine
Unasafiri huku umelala
Unasafiri huku unakula
Unasafiri huku unalewa
Unasafiri huku unazudhurura

Sema treni ubaya Giza likiingia taa huwashwa kuzimwa mpaka saa moja asubuh
 
Saibaba na Harambee, dereva kalewa, kondakta kalewa na abiria wamelewa....sijui nani aligundua pombe.
 
Kodi ya usafiri wa Usiku ipoje jamani?
 
Wazingatie kikomo cha mwendo na usalama wa abiria
 
Saibaba na Harambee, dereva kalewa, kondakta kalewa na abiria wamelewa....sijui nani aligundua pombe.
Mkifika sehemu kumechangamka mnamwambia dereva anasimama mnashuka mnaangalia Kama Kuna mpya mnasepa.

Wazee wa 9t Kali hatari Sana sema sikuhz walevi hamna watu wamejua kubajet pesa zao sema walevi wameamia kwenye treni
 
Badilisheni tabia kwenye mizigo mnanyanyasa sana haswa arusha wahudumu marigold wanasahau ethics
 
Unaondoka saa 2 usiku saa mbili asubuhi unafika. Unafanya shughuli zako jioni unageuza tena.

Wenye Guest house watapata tabu sana. Usingizi tutamalizia kwenye basi.
Kunya na kuoga je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…