Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Tunaopambana na haya mabasi MCHANA tukisikia yamerusiwa kusafiri usiku tunasema hiiiiiiiiiii. Tukumbushane baada ya miezi michache.
Kusikia kwa Kenge mpaka damu imtoke masikioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaopambana na haya mabasi MCHANA tukisikia yamerusiwa kusafiri usiku tunasema hiiiiiiiiiii. Tukumbushane baada ya miezi michache.
Na zife tu maana zikiwepo ni upigaji tu unaendelea wanafaidi wachache wengi wanakosa......Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Kama enzi zilee, mutu hautalala dar, itatika Arusha usiku, Dar alfajiri, jioni inatoka na msigo asubuhi ipo ArushaKila la kheri kwao na kwa wateja wao.
Kuepusha maasiSema treni ubaya Giza likiingia taa huwashwa kuzimwa mpaka saa moja asubuh
Saibaba na Harambee, dereva kalewa, kondakta kalewa na abiria wamelewa....sijui nani aligundua pombe.Kilimanjaro anamjibu kapricon bus Yan anamuweka mtu Kati baada ya kuanza safari ya saa nane mchana yeye Kilimanjaro express Nate kapricon akaanzisha saa 10 jioni Sasa kaamua kuniwekea ya saa 2.
Chombo zetu zile za ukienda umeshika 12k mkononi unataka kwenda Arusha au dar naona zikiondolewa tararibu.
Saibaba, harambee komaeni sie wadau wenu tushazoeana kuvumiliana
Wazingatie kikomo cha mwendo na usalama wa abiriaKampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku
Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha
Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo kwa safari hizo zinaozotegea kuanza hivi pumde.
" Ni kweli safari hizo zitaanua hivi karibuni, tutawapa taarifa wateja wetu, tunachokisubifia kwa sasa ni kupata idhini ya mwisho toka mamlaka za serekali, lakini hatua tuliofikia ni nzuri, tupo kwenye uratibu wa mwisho ili kuanza safari hizo" Alisema afisa huyo.
View attachment 1870410
Mkifika sehemu kumechangamka mnamwambia dereva anasimama mnashuka mnaangalia Kama Kuna mpya mnasepa.Saibaba na Harambee, dereva kalewa, kondakta kalewa na abiria wamelewa....sijui nani aligundua pombe.
MkuuMbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.
Badilisheni tabia kwenye mizigo mnanyanyasa sana haswa arusha wahudumu marigold wanasahau ethicsKampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku
Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha
Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo kwa safari hizo zinaozotegea kuanza hivi pumde.
" Ni kweli safari hizo zitaanua hivi karibuni, tutawapa taarifa wateja wetu, tunachokisubifia kwa sasa ni kupata idhini ya mwisho toka mamlaka za serekali, lakini hatua tuliofikia ni nzuri, tupo kwenye uratibu wa mwisho ili kuanza safari hizo" Alisema afisa huyo.
View attachment 1870410
Kunya na kuoga jeUnaondoka saa 2 usiku saa mbili asubuhi unafika. Unafanya shughuli zako jioni unageuza tena.
Wenye Guest house watapata tabu sana. Usingizi tutamalizia kwenye basi.
Kule kuna zile Coaster zetu za wafanyabiashara, zinatutosha! 🥵Kuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku
Kwenye vile vyoo na mabafu ya stendi.Kunya na kuoga je
Mbona wamesema hapo Magufuli mnajisaidia nje ya uzioKwenye vile vyoo na mabafu ya stendi.
Vyoo na mabafu ya kulipia vitahusika.Kunya na kuoga je
Ipo Newforce ya sa 9 alasiri, mnafika alfajiriKuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku