Mkuu; sio naleta matusi bali hilo lipo - labda ukatae tuu, lakini ni jambo linalotokea na hata baadhi ya Walimu wamewahi kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma hizo.naona unaleta matusi sasa, sitaki kuharibu uzi, vinginevyo ungekula za uso sasa hivi ushike adabu zako
walifikishwa mahakamani ni wale walinyandua wanafunzi na walioadhibu wanafunzi adhabu kali za kuumiza au kuua. Wepi hao waliofikishwa mahakamani kwa kuji offering?Mkuu; sio naleta matusi bali hilo lipo - labda ukatae tuu, lakini ni jambo linalotokea na hata baadhi ya Walimu wamewahi kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma hizo.
tema mate chini mpuuzi wee, kila uzi we unafikiri ukobazi tuAcha udini wewe mjinga! Sehemu yenye waislamu wengi hamna udini wala ukabila
Ukizingatia Wanaokuja auwanaotumwa kuleta hizo Offer mara nyingi ni wanafunzi esp. wanapokuja shuleni.walifikishwa mahakamani ni wale walinyandua wanafunzi na walioadhibu wanafunzi adhabu kali za kuumiza au kuua. Wepi hao waliofikishwa mahakamani kwa kuji offering?
Kati ya sehemu zenye ubaguzi mdogo sana,basi ni uchagani,Kama umezunguka na umeshindwa kuona utofauti utakuwa una tatizo mahali.
offer zikizidi ni kuwa macho nazo, ni hatariUkizingatia Wanaokuja auwanaotumwa kuleta hizo Offer mara nyingi ni wanafunzi esp. wanapokuja shuleni.
Kumbuka mazoea hujenga tabia na katika Tabia mojawapo ni kujitokeza kwa mahusiano huru baina ya mwl. na mwanafunzi mleta offer. Ikifikia hatua hiyo, ww unadhani kama mwl. ni mwanaume kunaweza kukatokea nini?
Hebu jaribu kuzifuatilia kesi za walimu waliotuhumiwa kwa ubakaji na ulawiti utagundua kitu. Kisheria hapa Tz. Mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi ni Kosa la Jinai.
Busokelo imekukosea nn... hahahaha!!krb Lwangwa.Wafanyakazi wengi uchaggani hubaki wachagga kwasababu watu wengine hawaendi Kilimanjaro.
Hata wachagga wakipata mikoa mingime huwa hawarudi kufanya kazi kwao, labda kama wamepngwa Lindi, Mtwara au Kigoma, au Busokelo
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye wa.......hatuko kwenye zile mada za kikobazi
Huna akili.sio ukiwa peace , watu wa pwan , hawatak uoneshe maendeleo yako , wanataka uish kama wao na hutakiw kuwaoneshea mapunguf yao yaan uwaache kama ulivyowakuta , wapo sahihi au hawapo sahihi waache ndio maana mpk leo huez ona engineer mzaramo au daktari mzaramo , mifumo ya inawadumaza kuwa wajinga tangu mapema
sasa shida iko wap mkuu hao wanaolalamika?Hakuna mwalimu anabaguliwa uchagani labda kwa watu wajinga ambao kwa Tanzania wapo kila sehemu , binafsi kuna walimu wengi wamepanga huko nyumbani hadi mashamba ya migomba tumewapa bure kabisa na nyumba hawalipi hata sumni.
Jamaa ni mpumbavu kweli.Acha uongo wapo kibao ,hata wanawake kweny fani ...Watu wa pwani hawana title za kiheshima,vitu vingi wnaona kawaida : kuna watu wamesoma ila sio rahisi kuwajua ,majina yao ya ukoo wanatumia ya kiislam so rahisi kuwatambua hata makazini...Hapa kazini kwetu yupo engineer tegemezi ni mzaramo jina la ukoo wake ni Hassan ,unaweza kumjua ?
Nimesoma nao na wengi wako vitengo ni kawaida sana ,wanaishi maisha ya kawaida ...Wapo wadada huku kweny unesi ,wengine ni walimu sio rahisi kuwajua ,hawanaga title ni kama ushamba kwao.
Udhaifu tu na kushindwa kuelewa utamaduni wa sehemu husika.sasa shida iko wap mkuu hao wanaolalamika?
Hao wajinga wanakaririshwa kwa sana. Watu wa pwani hawana ushamba na vyeo mpaka mitaani ...kuvaa manguo ya vitambaa htuna hizo mambo.Jamaa ni mpumbavu kweli.
Shukuru kawambwa ni engineer na ni mtu wa Pwani.
Tunawaambiaga hakuna binadamu wabaguzi km wachaga hapa duniani muelewe. Wachaga ni watu hatari sn bahati mbaya watanzania tumekuwa tukiwapokea ktk maeneo yetu na kuwapa ardhi, tumekuwa wateja kwenye biashara zao wametajirikia kwenye maeneo yetu vinginevyo wangekuwa mafukara maana kule kwao hakuna rasilimali yoyote ni umaskini wa kutupwa. Watanzania tubadilike tuwabague na wenyewe kwenye mikoa yetu hakuna kwenda kununua kwenye biashara ya wachaga, tuwakatae kufanya shughuli kwenye maeneo yetu warudi kwao. Dawa ya moto ni moto majinga kabisa. Tuamke hakuna utaifa kila mtu alinde kwao tuwe km Trump, revenge ili nao wajifunze. Kwa taarifa huwezi kufanya biashara Moshi wakishagundua we si mchaga hakuna mtu atakuja kwenye biashara yako ndiyo maana mji wa Moshi umedumaa km mtoto mwenye Kwashiakor. Tuwafukuze hao washenzi warudi kwao.SHULE ya Msingi Nkweshoo iliyoko Kijiji cha Nkuu Ndoo, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ambayo ina walimu watatu pekee wanaofundisha wanafunzi 175, walimu wote wameandika barua ya kuomba uhamisho.
Walimu hao wanadaiwa kutoridhishwa na vitendo vya baadhi ya wazazi kutaka shule hiyo, wanafunzi wake wafundishwe na walimu wazawa.
Kutokana na madai hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Dionis Myinga, amekemea vikali hali hiyo, akisema serikali haihitaji ukabila, na wala haiendekezi hali hiyo, kwa kuwa Tanzania ni ya wote, mtu yeyote anaweza akafanya kazi kokote.
Akizungumza jana na Nipashe, mmoja wa wananchi wa Nkuu Ndoo (jina limehifadhiwa), amesema Ijumaa ya wiki iliyopita, Halmashauri ya Kijiji hicho, wazazi na wananchi, walikutana kutafuta ufumbuzi wa malalamiko ya mmoja wa walimu kufanyiwa vitendo vya kishirikina.
Alipotafutwa kuzungumzia jambo hilo kama lina ukweli, Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Kijiji cha Nkuu Ndoo, Elimwaria Mbora ameisema, hilo la kuomba kuhama, ni kweli waliomba; kwa sababu ya kero ambazo zilitokea.
Amesema kuna mzazi, mtoto alichapwa, baada ya huyo mtoto kuacha begi uwanjani Ijumaa. Mwalimu akaliokota, Jumatatu yake wakati anamkabidhi mtoto begi akamwadhibu.
Kabisa.Hao wajinga wanakaririshwa kwa sana. Watu wa pwani hawana ushamba na vyeo mpaka mitaani ...kuvaa manguo ya vitambaa htuna hizo mambo.
Kiafrika docta na injinia ni mtu mkubwa ndio , hata kwa wenzetu ni watu wa kubwa piaKabisa.
Namshangaa sana mtu na akili zako timamu unaanzaje kusema eti huwezi kumkuta mtu wa pwani ni dokta au engineer!
Kwa ushamba wake anaona udokta au uinjinia ni kitu kikubwa sana.
Mtu hata shukuru kawambwa anashindwa kujua ni engineer na ni mtu wa Pwani,mzaramo.
Siwezi kukukatalia.Kiafrika docta na injinia ni mtu mkubwa ndio , hata kwa wenzetu ni watu wa kubwa pia
Udokta na uinjinia ni kitu kikubwa duniani Kote bwasheeSiwezi kukukatalia.
Kwa nyie washamba na malimbukeni wa bara kwenu udokta na uinjinia ni kitu kikubwa sana.
Ndio maana mkifanikiwa kuwa madokta mda wote mnataka kuvaa makoti meupe na suti na kuwa recognized mtaa mzima kama dokta.
Sisi watu wa pwani hayo kwetu ni mambo ya kawaida sana mtu anaweza akawa dokta au injinia na yuko very simple no majivuno na misifa na maisha yanasonga fresh.
Hata huko mbele hawana ushamba kama wa nyie watu wa Bara.