Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.Mhhh,ndo nasafisha shamba kiongoz,..kwann hu recomend mabwana shamba
Ni gharama za motivational speaker huwa naziita hazina ulazima.Kwenye mbegu chagua mbegu bora!..kilimo chema!
Ni gharama za motivational speaker huwa naziita hazina ulazima.
Mbegu atafute kwa watu ambayo ililimwa mwaka jana yani haijalimiwa mara mbili habari ya kununua zenye madawa ataumia kwenye parizi
Uzamani wangu ndio nafuu ya mkulima.Duh ww kiboko...mbegu madukan kilo moja 12000!inakuwia nn ugumu kununia mbegu mpya? Duh...kwel ww wa zaman sana!..ten ile sijui wanaita tumbili na meru513 mbegu nzuri sana 60days unakula mahindi...
Uzamani wangu ndio nafuu ya mkulima.
Mbegu hizo ulizozitaja na zingine ambazo hujazitaja ni maumivu
Ngoja nikufundishe.
.
Kwa ekari 5 utahitajika kutumia zaidi ya mifuko 15
Zinapandwa kwa kamba ili upate matokeo yaliyokusudiwa na watengenezaji pale kuna vipimo vya upana na urefu.
.
Ukimaliza zoezi la upandaji ambalo litakugharimu fedha nyingi si chini ya laki 7+ tena kwa eneo alilopo Bagamoyo ndio kaumia zaidi inaweza kufika million 1 mahindi hayo yakishachipua tu yanahitaji parizi hapo hela inahitajika maana shamba ni kubwa kuna parizi ya pili tena itakusubiri.
.
My friend wakati unavuna na kufikisha mavuno hayo unakokutaka utajikuta huna faida hata theluthi
Fikiria hili.Duh ww kiboko...mbegu madukan kilo moja 12000!inakuwia nn ugumu kununia mbegu mpya? Duh...kwel ww wa zaman sana!..ten ile sijui wanaita tumbili na meru513 mbegu nzuri sana 60days unakula mahindi...
Usipende kuongelea wanaume wenzio kiongoz,wew umelima wap...eti dogo sumbawanga...so fu.ckn watKuna dogo analima hekari 400 Sumbawanga wala hakuomba ushauri JF. Jitafakari
πππSasa ngoja nikufundishe ww msukuma...ukitumia mbegu zilizotumika nyuma unapata mazao machache na duni unapata mahund madogodogo...makubwa ya kuhesabu..hapa mie naongelea kilimp biashara mkuu...!..na akitaka faida ayaprocess mwenyewe auze unga ataona faida yake! Bado uko nyuma sana aisee!
Kabisa,kwa maeneo haya ya pwan nmeona kuna mbegu flan hiv recomended,...kuna kijarida nnacho hapa,..ila ni vzur kupata ushaur practical kabisa..wew unarecomend mbegu gan kiongoz.maana vijarida navyo siviaminKwenye mbegu chagua mbegu bora!..kilimo chema!
Fikiria hili.
Unanunua mbegu iliyolimwa mara moja gunia zima kwa elfu 45-50 unakwenda kupanda bila makamba yao wala vipimo (unaokoa muda)
Bila kusahau maharage debe zangu 5
.
Haya mpaka yakue saizi ya ugoko ndio yahitaji parizi na parizi yenyewe haihitaji kukimbizana unatenga muda wako saafi kabisa masaa yako manne - matano kwa mimi napiga vibaya sana watu wa kunisaidia nakuwa nao wanne au watano wakizidi pia ni kheri.
.
Kumbuka nimetumia gharama ndogo kulima na upatikanaji wa mbegu nitatoboka fedha nyingi kwenye parizi na uvunaji hapa faida lazima iwepo.
Nenda ukalime Kilindi, mwezi wa tatu kuna kilimo cha Maharage.
Kabisa,kwa maeneo haya ya pwan nmeona kuna mbegu flan hiv recomended,...kuna kijarida nnacho hapa,..ila ni vzur kupata ushaur practical kabisa..wew unarecomend mbegu gan kiongoz.maana vijarida navyo siviamin
Kabisa,kwa maeneo haya ya pwan nmeona kuna mbegu flan hiv recomended,...kuna kijarida nnacho hapa,..ila ni vzur kupata ushaur practical kabisa..wew unarecomend mbegu gan kiongoz.maana vijarida navyo siviamin
Dah,saf sana kiongoz,yaan hapa nna vijarida ving kwel had vinanichanganyaWatakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Huo ni ujinga kwa shamba la eka moja mimi napiga gunia hadi 30 nasitumii mbegu ya kisasa hata moja.Sasa kwani ile kamba unahis ni ya nn..si kirahihisha ru mistar kunyioko isikusumbue ktk palizi best??...na kwantaarifa yako ukibananisha mahindi hayazai yanakuwa yanarefuka tu na migagi kwasanaπ ...yanakosa kupumua...vipimo muhim sana sana!...hayo mahind yako yaliyolimwa yakijitahd sana unaweza pata gunia 3 kwa eka!..!..
πππ
Nakukaribisha shambani kwangu niko karibu kabisa na shamba darasa uje ulinganishe kati ya shamba langu na la wataalamu lipi bora.
.
Nimetumia mbolea ya ng'ombe na DAB tu mbegu nimetumia mahindi ya mwaka jana na hii ni mara ya pili nimelima mara ya kwanza nimeshavuna tarehe za mwanzoni mwezi huu.
Baada ya hapa naingia kwenye mpunga
USIVITUMIEEE VIOGOPE KABISA.Dah,saf sana kiongoz,yaan hapa nna vijarida ving kwel had vinanichanganya
πππππ JF balaa!Kuna dogo analima hekari 400 Sumbawanga wala hakuomba ushauri JF. Jitafakari
Sawasawa mkuuKila kanda kuna mbegu recomended..tumia hizo jarida
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu