Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.Mhhh,ndo nasafisha shamba kiongoz,..kwann hu recomend mabwana shamba
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu