Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Cjui ni uoga au uzembe.... au nini cjui.......

Hivi kweli umekaa katika kazi miaka 10... ukaona msoto afu unataka ujikomboe kwa heka 3.

Inakuja akilini kweli....
Sio ndio unajiongezea matatizo......

Ukiamua kutupa jiwe... litupe mbaali hata likirudi chini lisikupige.... next time tupa karibu uone km halikugongi kichwani
Sikurupuki naanza na hizo heka chache ili nijue mchakato mzima mkuu,bora nionekane mzembe lkn mm naelewa ninachofanya silimi kilimo cha huku jf na wala katk hilo sikukuomba ushauri we niachie mm,UJINGA NI WAKATI WA KWENDA TU!! we niache!
 
Sa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??

Ukijaribu kilimo na we utajaribiwa na majaribu yenyewe: kilimo sio pikipiki hakina test..

Sent from "La -Vista"
 
Sa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??

Ukijaribu kilimo na we utajaribiwa na majaribu yenyewe: kilimo sio pikipiki hakina test..

Sent from "La -Vista"
Muache mwenzako aanze na hizo hekari chache ili ajifunze vizuri ABC za kilimo,unataka akurupuke aanze na hekari 30 siku akianguka muanze kumcheka.
Ulivyoanza darasa la kwanza ulianza kupewa hesabu za darasa la saba??
 
Sa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??

Ukijaribu kilimo na we utajaribiwa na majaribu yenyewe: kilimo sio pikipiki hakina test..

Sent from "La -Vista"
Kwani uzi unaomba ushauri wa kulima heka ngapi?kasome vzr mkuu
 
Kwa wale waliowahi kulima mahindi Kilagano peramiho Songea, wataungana na mm kuwa ni kama sehemu iliyobarikiwa.

Vijana wengi wanatoka kimaisha kupitia kilimo cha mahindi katika pori la kilagano. Vibarua wengi wahamia huko msimu wa mvua. Hela ndogo mnoo kukodi maashamba. Wengi wanunua mashamba na kuhamia kule mazima.

Ewe kijana mwenzangu twende kilagano sasa na maandalizi ni mwezi wa 9 kukodi na mwezi wa 10 kulima.

Kama unakodi shamba lenye msitu kumbuka kuangusha ni mwez March. So utasubiri March uangushe na October mwakani ukalime. Wahi sasa mashamba ni mengi na ekari nyingi. Usalama 100%..

Kwa maswali 0625686556

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni shamba la msitu 30,000 kwa ekari na kama kwenye shamba lililowahi kulimwa ni sh. 50000. Tofauti yake ni kwamba lenye msitu linakuwa na rutuba nyingi na hutaweka mbolea au mbolea kidogo sana.

Lililolimwa utahitaji kuweka mbolea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama za kukodi ni kiasi gani kwa heka? Na gharama za vibarua kwa heka ni kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vibarua ni rahisi sana kwa heka wapo wa aina mbili. Wanaotumia trekta na watu wenyewe. Trekta kwa ekaru 40000 na watu 60000 na mnaweza kuelewana. Mara nyingi hupenda kutumia jembe la mkono Kwani kuna watu hutoka mbali kuja kufanya kibarua. So watu hushika tenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom