Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kwa wale waliowahi kulima mahindi Kilagano peramiho Songea, wataungana na mm kuwa ni kama sehemu iliyobarikiwa.

Vijana wengi wanatoka kimaisha kupitia kilimo cha mahindi katika pori la kilagano. Vibarua wengi wahamia huko msimu wa mvua. Hela ndogo mnoo kukodi maashamba. Wengi wanunua mashamba na kuhamia kule mazima.

Ewe kijana mwenzangu twende kilagano sasa na maandalizi ni mwezi wa 9 kukodi na mwezi wa 10 kulima.

Kama unakodi shamba lenye msitu kumbuka kuangusha ni mwez March. So utasubiri March uangushe na October mwakani ukalime. Wahi sasa mashamba ni mengi na ekari nyingi. Usalama 100%..

Kwa maswali 0625686556

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinalipaje wakati ukishavuna tu unazuiwa kuuza?

Ndio maana ukulima ni tusi na ni adhabu rasmi nchi tanzania.
 
Back
Top Bottom