Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Kukauka mpaka kuja kuchoma kuna usumbufu mkubwa sana. Visiki inabidi vikauke barabaraaa.. Huwez kufanya iyo kaz September labda nusu ekari utafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatumia nyenzo ipi katika kufyeka huo msitu kiasi cha kuchukua muda wote huo?

Unaifahamu chainsaw? ushawahi kuiona ikilaza chini maekari ya pori kwa muda mfupi?
Nunua pori ekari zozote utakazo kisha nipe tenda ya kufyeka na kulengeta miti yote kisha nachoma moto visiki vyote kwa muda mfupi na gharama nafuu kisha nakukabidhi shamba lako likiwa jeupe pee tayali kwa kulima na trekta.
Wewe tu. Ila za msitu hizo. Unaenda kuonana na uongoz wa serikali.. Kama kukodi au kununua. Utapata maelekezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ekari 5000 kwa kugawiwa na kijiji??
Haiwezekani!
 
Mkuu unatumia nyenzo ipi katika kufyeka huo msitu kiasi cha kuchukua muda wote huo?

Unaifahamu chainsaw? ushawahi kuiona ikilaza chini maekari ya pori kwa muda mfupi?
Nunua pori ekari zozote utakazo kisha nipe tenda ya kufyeka na kulengeta miti yote kisha nachoma moto visiki vyote kwa muda mfupi na gharama nafuu kisha nakukabidhi shamba lako likiwa jeupe pee tayali kwa kulima na trekta.
Mkuu ekari 5000 kwa kugawiwa na kijiji??
Haiwezekani!
Mtu binafsi hana uwezo wa kumiliki ekar 5000 kwa huku. So ardhi ipo chin ya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heka 5000 ntapata?
Chunga sana mkuu usithubutu kuingizwa chaka kirahisi namna hiyo. Hakuna serikali ya kijiji yenye mamlaka ya kugawa ekari 5000 kwa raia yeyote yule.
Ukitaka kupata ekari 5000 fuata taratibu zote za kiuwekezaji toka ngazi husika vinginevyo utaishia kutapeliwa na kupoteza hela yako.
Kijiji kina ruksa ya kugawa ardhi ya shamba pori isiyozidi ekari 10, nje ya hapo taratibu maalum lazima zifuatwe.
 
Kama ni shamba la msitu 30,000 kwa ekari na kama kwenye shamba lililowahi kulimwa ni sh. 50000. Tofauti yake ni kwamba lenye msitu linakuwa na rutuba nyingi na hutaweka mbolea au mbolea kidogo sana.

Lililolimwa utahitaji kuweka mbolea.

Sent using Jamii Forums mobile app
....Angalia msije kuwa mnavamia misitu ya hifadhi mkuu, si umeona majuzi ma DC wa Handeni na Bagamoyo walikuwa na zoezi la kuwatimua wavamizi wa msitu? Anyway nimewakubali kwa uungwana waliotumia na mapolisi kuwaruhusu wavamizi kutoa mazao yao shambani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunga sana mkuu usithubutu kuingizwa chaka kirahisi namna hiyo. Hakuna serikali ya kijiji yenye mamlaka ya kugawa ekari 5000 kwa raia yeyote yule.
Ukitaka kupata ekari 5000 fuata taratibu zote za kiuwekezaji toka ngazi husika vinginevyo utaishia kutapeliwa na kupoteza hela yako.
Kijiji kina ruksa ya kugawa ardhi ya shamba pori isiyozidi ekari 10, nje ya hapo taratibu maalum lazima zifuatwe.
Thank you mkuu!!
 
Back
Top Bottom