Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Je,gharama za kusafirisha kutoka Maeneo ya Moro ambayo km sikosei ni Gairo,Kilosa,Dakawa,mikumi nk. Na za ruvu to Dar kama soko ametarget iwe ni Dar hii inakuwaje?Nenda Morogoro au Babati.utakodi shamba kwa Tsh: 50000 or 70000/= kwa heka moja.uwe na mtaji iwapo unataka kulima kibiashara.kodi heka kuanzia 30 na ulime kwa trekta.kukodi trekta kulima kwa heka moja ni Tsh: 40000 or 50000/=.kumbuka kama mahindi umepanda kisasa na kumwaga mbolea na kupalilia vizuri bila kuacha majani yakazorotesha mazao utavuna gunia 10 mpaka 13 kwa heka.hesabu zingine piga mwenyewe.nimekusaidia kidogo.kulima heka mbili za mahindi ni kulima chakula cha familia yako tu.na si kilimo cha kupata mtaji kwa mtu aliechoka kuajiliwa na kuamua kua mkulima.huwezi toka kuajiliwa kama nilivyo mimi hapa then nikaenda kulima heka 2 au 3 ni kupoteza muda.lima shamba heka kuanzia 30 mpaka 50.na kwa uchache kilimo hicho ili kikutoe andaa mtaji japo milion 8 mpaka 10m
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA