jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Shamba ni tusi! Achana na hayo makitu.mkuu vipi kama nahitaji kununua shamba huko.
gharama ipoje kwa hekari moja..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamba ni tusi! Achana na hayo makitu.mkuu vipi kama nahitaji kununua shamba huko.
gharama ipoje kwa hekari moja..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sikumaanisha bei,nilimaanisha shamba la ukubwa wa heka 5000(5000 acres farm)
Na pia kwa heka moja unapata gunia ngap?nimeongezea tu samahan
Mche /mche ni 25/30 cm& mtari/mstari ni 70/65Watalaam wa kilimo cha mahindi kuna mambo mengi nataka kujifunza kutoka kwenu!!! Katika msimu ujao nimeandaa shamba la ekari 4 za kulima mahindi, sasa kuna maswali nahitaji ufumbuzi wake kama ifuatavyo:-
- Mbegu bora na nzuri kwa kulima na ambayo inazalisha sana ni ipi?
- Katika kupanda vipimo kati ya mche na mche ni vipi? Na je kila shimo moja unapopanda mbegu inatakiwa mbegu ngapi?
- Mbolea ipi inafaa kwa kupandia na kipimo chake ni kipi au kipoje?
- Palizi ya kwanza hufanyika baada ya muda gani toka kupandwa kwa mbegu?
- Pia mbolea ipi inafaa kwa kukuzia na huwekwa baada ya mimea kuwa na muda gani? Na kipimo chake ni kipi? Maswali hayo hayatoshi kama una ujuzi zaidi juu ya zao hili la mahindi una weza ongeza maana mchango wako ni wa muhimu sana!! Mm nipo mkoa wa Iringa!!
Kwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu NzuriWatalaam wa kilimo cha mahindi kuna mambo mengi nataka kujifunza kutoka kwenu!!! Katika msimu ujao nimeandaa shamba la ekari 4 za kulima mahindi, sasa kuna maswali nahitaji ufumbuzi wake kama ifuatavyo:-
- Mbegu bora na nzuri kwa kulima na ambayo inazalisha sana ni ipi?
- Katika kupanda vipimo kati ya mche na mche ni vipi? Na je kila shimo moja unapopanda mbegu inatakiwa mbegu ngapi?
- Mbolea ipi inafaa kwa kupandia na kipimo chake ni kipi au kipoje?
- Palizi ya kwanza hufanyika baada ya muda gani toka kupandwa kwa mbegu?
- Pia mbolea ipi inafaa kwa kukuzia na huwekwa baada ya mimea kuwa na muda gani? Na kipimo chake ni kipi? Maswali hayo hayatoshi kama una ujuzi zaidi juu ya zao hili la mahindi una weza ongeza maana mchango wako ni wa muhimu sana!! Mm nipo mkoa wa Iringa!!
Nipo IringaKwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu Nzuri
Pili, spacing 30*75
Tatu, MBOLEA ya kupandia ni DAP na MBOLEA ya kukuzia n UREA
NNE, palizi ya kwanza n cku 14 baada ya kuoga mbegu!!
Mie nipo IRINGAmbegu za mahindi hutofautiana kulingana na nyanda,kuna nyanda za chini kama mwaza,singida n.k,na nyanda za juu kama mbeya...unaendalima mkoa upi?,tuanzie hapo.
Mbolea ya kukuzia huwekwa baada ya siku ngapi?Kwanza, upo WAP??? Kujua Aina ya mbegu Nzuri
Pili, spacing 30*75
Tatu, MBOLEA ya kupandia ni DAP na MBOLEA ya kukuzia n UREA
NNE, palizi ya kwanza n cku 14 baada ya kuoga mbegu!!
Mkuu tafuta uzi upo humu ndani unaelezea kila kitu we search tu kilimo cha mahindi utaupata..!!!Watalaam wa kilimo cha mahindi kuna mambo mengi nataka kujifunza kutoka kwenu!!! Katika msimu ujao nimeandaa shamba la ekari 4 za kulima mahindi, sasa kuna maswali nahitaji ufumbuzi wake kama ifuatavyo:-
- Mbegu bora na nzuri kwa kulima na ambayo inazalisha sana ni ipi?
- Katika kupanda vipimo kati ya mche na mche ni vipi? Na je kila shimo moja unapopanda mbegu inatakiwa mbegu ngapi?
- Mbolea ipi inafaa kwa kupandia na kipimo chake ni kipi au kipoje?
- Palizi ya kwanza hufanyika baada ya muda gani toka kupandwa kwa mbegu?
- Pia mbolea ipi inafaa kwa kukuzia na huwekwa baada ya mimea kuwa na muda gani? Na kipimo chake ni kipi? Maswali hayo hayatoshi kama una ujuzi zaidi juu ya zao hili la mahindi una weza ongeza maana mchango wako ni wa muhimu sana!! Mm nipo mkoa wa Iringa!!
kweli kabisa mkuu.Mkuu tafuta uzi upo humu ndani unaelezea kila kitu we search tu kilimo cha mahindi utaupata..!!!
Mbona kila kitu humu jf kimo afu mnahangaika tu yani kabla ya kuandika unachotafuta jaribu kwanza kuangalia kama hiyo topic imo humu ndani.[emoji134]
Baada ya palizi ya kwanza!!! Pia angalia kiasi cha unyevu kama kinatosha maana hii mbolea inakawaida ya kuunguza mazaoMbolea ya kukuzia huwekwa baada ya siku ngapi?
Mkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??Nenda Morogoro au Babati.utakodi shamba kwa Tsh: 50000 or 70000/= kwa heka moja.uwe na mtaji iwapo unataka kulima kibiashara.kodi heka kuanzia 30 na ulime kwa trekta.kukodi trekta kulima kwa heka moja ni Tsh: 40000 or 50000/=.kumbuka kama mahindi umepanda kisasa na kumwaga mbolea na kupalilia vizuri bila kuacha majani yakazorotesha mazao utavuna gunia 10 mpaka 13 kwa heka.hesabu zingine piga mwenyewe.nimekusaidia kidogo.kulima heka mbili za mahindi ni kulima chakula cha familia yako tu.na si kilimo cha kupata mtaji kwa mtu aliechoka kuajiliwa na kuamua kua mkulima.huwezi toka kuajiliwa kama nilivyo mimi hapa then nikaenda kulima heka 2 au 3 ni kupoteza muda.lima shamba heka kuanzia 30 mpaka 50.na kwa uchache kilimo hicho ili kikutoe andaa mtaji japo milion 8 mpaka 10m
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Sikurupuki naanza na hizo heka chache ili nijue mchakato mzima mkuu,bora nionekane mzembe lkn mm naelewa ninachofanya silimi kilimo cha huku jf na wala katk hilo sikukuomba ushauri we niachie mm,UJINGA NI WAKATI WA KWENDA TU!! we niache![/QUOTE
Ila inaonekana unatumia pesa nyingi sana.Ila sikulaumu cze utajiongeza ukishamaliza kuvuna n kupiga hesabu
Mkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??
Hata umwagiliaji ni Rehema za Allah let make this thing clearMkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??
Fanya mawasiliano na idara ya hali ya hewa lakini zaidi ya yote usikae mbali na mwambao wa maji ili ikitokea mvua zimegoma unaweka mashine ya kuvuta majiMkuu hii ya moro ni kutegemea rehema za Mungu au kuna umwagiliaji??