FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Sasa mbona wengine wanasema sio Kiwavi na wengine mmeshikilia ni Kiwavi...kipi ni kipi hapa?Huyo ni kiwavi jeshi na hupendelea kushambulia nyasi na mazao aina ya nyasi kama mahindi, mtama na ulezi, na viatilifu inayotumika ni za kunyunyizia kama dusban,karate duduall n.k,ila kuna hii dawa huwa inaitwa profecron inafanya vizuri zaidi. View attachment 642091