kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Mie nalimia Mbozi na sumbawanga. Simanjiro niliwahi ishi nilikua kikazi Orkesumet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nalimia Mbozi na sumbawanga. Simanjiro niliwahi ishi nilikua kikazi Orkesumet
Mkuu unatumia nyenzo ipi katika kufyeka huo msitu kiasi cha kuchukua muda wote huo?Kukauka mpaka kuja kuchoma kuna usumbufu mkubwa sana. Visiki inabidi vikauke barabaraaa.. Huwez kufanya iyo kaz September labda nusu ekari utafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ekari 5000 kwa kugawiwa na kijiji??Wewe tu. Ila za msitu hizo. Unaenda kuonana na uongoz wa serikali.. Kama kukodi au kununua. Utapata maelekezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu binafsi hana uwezo wa kumiliki ekar 5000 kwa huku. So ardhi ipo chin ya serikali.Mkuu unatumia nyenzo ipi katika kufyeka huo msitu kiasi cha kuchukua muda wote huo?
Unaifahamu chainsaw? ushawahi kuiona ikilaza chini maekari ya pori kwa muda mfupi?
Nunua pori ekari zozote utakazo kisha nipe tenda ya kufyeka na kulengeta miti yote kisha nachoma moto visiki vyote kwa muda mfupi na gharama nafuu kisha nakukabidhi shamba lako likiwa jeupe pee tayali kwa kulima na trekta.
Mkuu ekari 5000 kwa kugawiwa na kijiji??
Haiwezekani!
Hahhaaaaà... Uko wapi weweKilagano,kizuka ,mgazini kunatoa sana Malombi
Chunga sana mkuu usithubutu kuingizwa chaka kirahisi namna hiyo. Hakuna serikali ya kijiji yenye mamlaka ya kugawa ekari 5000 kwa raia yeyote yule.Heka 5000 ntapata?
....Angalia msije kuwa mnavamia misitu ya hifadhi mkuu, si umeona majuzi ma DC wa Handeni na Bagamoyo walikuwa na zoezi la kuwatimua wavamizi wa msitu? Anyway nimewakubali kwa uungwana waliotumia na mapolisi kuwaruhusu wavamizi kutoa mazao yao shambani.Kama ni shamba la msitu 30,000 kwa ekari na kama kwenye shamba lililowahi kulimwa ni sh. 50000. Tofauti yake ni kwamba lenye msitu linakuwa na rutuba nyingi na hutaweka mbolea au mbolea kidogo sana.
Lililolimwa utahitaji kuweka mbolea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Morogoro, mvomero. Ni direct and single trip tokea chuga kwa bus la K-ltd au Mapenzi ya Mungu mpaka kijiji shamba lilipo.
.....HahahaaaaKinalipaje wakati ukishavuna tu unazuiwa kuuza?
Ndio maana ukulima ni tusi na ni adhabu rasmi nchi tanzania.
...Ni kweli mkuu, huku Mvomero mahindi yamevunwa sana, hasa Turiani but bei now ni elfu 50 tuu.Acha kuwa na mawazao mgando.. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watch out! hiyo bei ipo juu sana kupita maelezo.
Simanjiro?Naberera Olkesmet,Mirerani au wapi?kuna mifereji huko?Mimi naliaga Simanjiro maharage. Ila ni kilimo cha nvua kama kuna mtu anaweza kunielekeza kilimo cha umwagiliaji ntashukur
Sent using Jamii Forums mobile app
Olkasmet kuna mashamba kule barabara yakenda kitetoSimanjiro?Naberera Olkesmet,Mirerani au wapi?kuna mifereji huko?
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
Town hapa.
Thank you mkuu!!Chunga sana mkuu usithubutu kuingizwa chaka kirahisi namna hiyo. Hakuna serikali ya kijiji yenye mamlaka ya kugawa ekari 5000 kwa raia yeyote yule.
Ukitaka kupata ekari 5000 fuata taratibu zote za kiuwekezaji toka ngazi husika vinginevyo utaishia kutapeliwa na kupoteza hela yako.
Kijiji kina ruksa ya kugawa ardhi ya shamba pori isiyozidi ekari 10, nje ya hapo taratibu maalum lazima zifuatwe.
Mkuu sikumaanisha bei,nilimaanisha shamba la ukubwa wa heka 5000(5000 acres farm)Wapi Tanzania hii utauziwa ardhi kwa sh5000/=?!
Eleza kinavyolipa contrary to what i have said.Acha kuwa na mawazao mgando.. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app