Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Sema jamaa hayuko mbali na ukweli, enzi hizo niko kwa babu , aliwah fanya hv (ila yeye yalikua n mahindi ya msimu uliopita) alinunua mbegu akalima , yale mavuno akatenga kiasi akaja tumia kama mbegu msimu ulio fuata , yalifungasha balaa , kuliko hata mbegu halisi yenyewe
Duh ww kiboko...mbegu madukan kilo moja 12000!inakuwia nn ugumu kununia mbegu mpya? Duh...kwel ww wa zaman sana!..ten ile sijui wanaita tumbili na meru513 mbegu nzuri sana 60days unakula mahindi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijaja usukumani uku shinyanga.

Misheni ndipo nilipoanzia nursery

Nilikuwa nikipiga mguu kutokea kijiji flani kinaitwa masagaru.

Apo muheza tulikuwa tunaenda kusaga mahindi nikitokea masagaru

Mkuuu umezunguluka sana aiseee
 
Ni kweli...hata nyanya ukitumia mbegu zake zinaota zaidi..hata tikiti
 
Duh! Masagaru kwenda Misheni ni parefu sana, pole sana mi nakumbuka kuna ki mlima baada ya mto kuelekea Misheni pale mpaka pikipiki ilishindwa kupanda ikabidi tuikokote.

Leo naenda Manyara kuna kijiji kinaitwa Lengatei kijiji jirani na Songe
Kabla sijaja usukumani uku shinyanga.

Misheni ndipo nilipoanzia nursery

Nilikuwa nikipiga mguu kutokea kijiji flani kinaitwa masagaru.

Apo muheza tulikuwa tunaenda kusaga mahindi nikitokea masagaru

Mkuuu umezunguluka sana aiseee
 
Kwanini umetumia DAB na samadi kwa pamoja?
Mi nipo Singida natumia samadi tu na matokeo niliyoyapata ni zaidi ya mazuri.
Mabua yote nalisha ng'ombe jioni napeleka kuuza maziwa fresh mjini kati
Ardhi yangu haichoki kwa mbolea ya samadi ila hayo mambolea ya minjinguz hapana naharibu ardhi bureee
 
DAB, CAN na UREA hizi mbolea nazikubali sana.
 
Duh! Masagaru kwenda Misheni ni parefu sana, pole sana mi nakumbuka kuna ki mlima baada ya mto kuelekea Misheni pale mpaka pikipiki ilishindwa kupanda ikabidi tuikokote.

Leo naenda Manyara kuna kijiji kinaitwa Lengatei kijiji jirani na Songe
Apo songe iligaiwa ikapatikana kata ya bokwa. Sasa huyo diwani Wa bokwa ndo mshua mdogo Wa baba angu huwa ananipigia kelele niende kuchangamkia fursa maana watu wamelala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…