Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Nenda kalime mkuu mashamba yako vizuri ata kama ni mlimani. Ila asili ya Kilindi ni milima
Shukrani mashamba ni tambarare?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mashamba ni tambarare?
Nenda kalime mkuu mashamba yako vizuri ata kama ni mlimani. Ila asili ya Kilindi ni milima
Kilindi mkuu.
Nataka kwaajili ya kufanya ufugaji ndomana nataka nikatafute tambarare
Duh ww kiboko...mbegu madukan kilo moja 12000!inakuwia nn ugumu kununia mbegu mpya? Duh...kwel ww wa zaman sana!..ten ile sijui wanaita tumbili na meru513 mbegu nzuri sana 60days unakula mahindi...
Hujaulizwa lakiniKilindi home sweet home.
Umeyalimaje?
Nikiwa na maana umetumia mbolea gani kuhakikisha yatakua na kwa wingi na kama umeyalima kwa taratibu zamabwana shamba tafadhali kata yote uanze upya
Kabla sijaja usukumani uku shinyanga.Aisee umenikumbusha jana tumetoka huko Kwekivu ni mbali balaa kutokea Songe kisha tukaelekea Misheni alafu mvua ilikuwa inanyesha. Mvua imetutandika balaa ila huu utafutaji we acha tu. Alafu watu mtembee jamani sio mnakalia huko mjini na viyoyozi mnasema maisha magumu. Acheni aisee kuna watu wanamaisha magumu mpaka unawaonea huruma.
Hahaha punguza fujo basi.Hujaulizwa lakini
Sema jamaa hayuko mbali na ukweli, enzi hizo niko kwa babu , aliwah fanya hv (ila yeye yalikua n mahindi ya msimu uliopita) alinunua mbegu akalima , yale mavuno akatenga kiasi akaja tumia kama mbegu msimu ulio fuata , yalifungasha balaa , kuliko hata mbegu halisi yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla sijaja usukumani uku shinyanga.
Misheni ndipo nilipoanzia nursery
Nilikuwa nikipiga mguu kutokea kijiji flani kinaitwa masagaru.
Apo muheza tulikuwa tunaenda kusaga mahindi nikitokea masagaru
Mkuuu umezunguluka sana aiseee
Duh! Masagaru kwenda Misheni ni parefu sana, pole sana mi nakumbuka kuna ki mlima baada ya mto kuelekea Misheni pale mpaka pikipiki ilishindwa kupanda ikabidi tuikokote.
Leo naenda Manyara kuna kijiji kinaitwa Lengatei kijiji jirani na Songe
Kwanini umetumia DAB na samadi kwa pamoja?😝😝😝
Nakukaribisha shambani kwangu niko karibu kabisa na shamba darasa uje ulinganishe kati ya shamba langu na la wataalamu lipi bora.
.
Nimetumia mbolea ya ng'ombe na DAB tu mbegu nimetumia mahindi ya mwaka jana na hii ni mara ya pili nimelima mara ya kwanza nimeshavuna tarehe za mwanzoni mwezi huu.
Baada ya hapa naingia kwenye mpunga
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Kilindi mkuu.
Mwaka Jana nilijaribu nikapata vigunia 10.
Mwaka huu kidogo nataka niwe serious.
Pesa bado inathamani sana baadhi ya maeneo ya nchi yetu.
Apo songe iligaiwa ikapatikana kata ya bokwa. Sasa huyo diwani Wa bokwa ndo mshua mdogo Wa baba angu huwa ananipigia kelele niende kuchangamkia fursa maana watu wamelala sanaDuh! Masagaru kwenda Misheni ni parefu sana, pole sana mi nakumbuka kuna ki mlima baada ya mto kuelekea Misheni pale mpaka pikipiki ilishindwa kupanda ikabidi tuikokote.
Leo naenda Manyara kuna kijiji kinaitwa Lengatei kijiji jirani na Songe
Mkuu zilikuwa ekari mbili.
Niletee zawadi mkuu!napenda zawadi_[emoji4]
Kweli aiseeKilindi mkuu.
Mwaka Jana nilijaribu nikapata vigunia 10.
Mwaka huu kidogo nataka niwe serious.
Pesa bado inathamani sana baadhi ya maeneo ya nchi yetu.