MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
- Thread starter
-
- #21
Sikurupuki naanza na hizo heka chache ili nijue mchakato mzima mkuu,bora nionekane mzembe lkn mm naelewa ninachofanya silimi kilimo cha huku jf na wala katk hilo sikukuomba ushauri we niachie mm,UJINGA NI WAKATI WA KWENDA TU!! we niache!Cjui ni uoga au uzembe.... au nini cjui.......
Hivi kweli umekaa katika kazi miaka 10... ukaona msoto afu unataka ujikomboe kwa heka 3.
Inakuja akilini kweli....
Sio ndio unajiongezea matatizo......
Ukiamua kutupa jiwe... litupe mbaali hata likirudi chini lisikupige.... next time tupa karibu uone km halikugongi kichwani
Sa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??Sikurupuki naanza na hizo heka chache ili nijue mchakato mzima mkuu,bora nionekane mzembe lkn mm naelewa ninachofanya silimi kilimo cha huku jf na wala katk hilo sikukuomba ushauri we niachie mm,UJINGA NI WAKATI WA KWENDA TU!! we niache!
Muache mwenzako aanze na hizo hekari chache ili ajifunze vizuri ABC za kilimo,unataka akurupuke aanze na hekari 30 siku akianguka muanze kumcheka.Sa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??
Ukijaribu kilimo na we utajaribiwa na majaribu yenyewe: kilimo sio pikipiki hakina test..
Sent from "La -Vista"
Kwani uzi unaomba ushauri wa kulima heka ngapi?kasome vzr mkuuSa kama unataka uachwe.... ulifata nin huku kuandika huu uzi....??
Ukijaribu kilimo na we utajaribiwa na majaribu yenyewe: kilimo sio pikipiki hakina test..
Sent from "La -Vista"
Kukauka mpaka kuja kuchoma kuna usumbufu mkubwa sana. Visiki inabidi vikauke barabaraaa.. Huwez kufanya iyo kaz September labda nusu ekari utafanikiwa.kwa nini ishindikane kuangusha msitu mwezi huu wa tisa mpaka usubiri march. nieleweshe
asante mkuu kwa maelezo yako mazuriKukauka mpaka kuja kuchoma kuna usumbufu mkubwa sana. Visiki inabidi vikauke barabaraaa.. Huwez kufanya iyo kaz September labda nusu ekari utafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kilimo cha mvua. Maandalizi ni mwzi October kwa maana ya kulima. Soko la mahindi liko waz. Unaweza uza ushirikan au kwa Wateja wako binafsi..Hii tunaita good news ! Je maji ya kumwagilia ama inategemea mvua. Na vipi kuhusu soko ?
Vibarua ni rahisi sana kwa heka wapo wa aina mbili. Wanaotumia trekta na watu wenyewe. Trekta kwa ekaru 40000 na watu 60000 na mnaweza kuelewana. Mara nyingi hupenda kutumia jembe la mkono Kwani kuna watu hutoka mbali kuja kufanya kibarua. So watu hushika tendaGharama za kukodi ni kiasi gani kwa heka? Na gharama za vibarua kwa heka ni kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za kukod ni sh ngap?Vibarua ni rahisi sana kwa heka wapo wa aina mbili. Wanaotumia trekta na watu wenyewe. Trekta kwa ekaru 40000 na watu 60000 na mnaweza kuelewana. Mara nyingi hupenda kutumia jembe la mkono Kwani kuna watu hutoka mbali kuja kufanya kibarua. So watu hushika tenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok na kuangusha msitu inaeza kuwa km kiasi gani mkuu? Samahan kwa maswal mengi