Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

Hahah kilimo kinataka heavy investment na ni taaluma kama nyingine lkn sasa hivi kila mtu aliyefeli/ambae anataka kujaribu Shughuli yoyote utasikia ngoja nikafanye kilimo.

Wakina Sumri wame invest heavily (ana mpk machine 1 inayogharimu Tsh mil.600) lkn bado analia,sasa anakuja mtu hapa analima kwa kutumia ng'ombe wa kukodisha,mbolea ya samadi na anakwambia kilimo kitamtoa awe don,hahah

Nawajua wafanyabiashara wa mahindi/mazao mbalimbali ambao ni matajiri sana lkn sijabahatika kuwaona wakulima matajiri zaidi ya kuona wakiwafaidisha wenye maduka ya agrovets.

dodge
Umeshawahi kuwekeza kwenye kilimo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ila ndg zangu wote waliowekeza huko kwa miaka mingi ni choka mbovu.

Umeshamuona mkulima anayelimia ng'ombe na kutumia samadi ambae ni tajiri?

dodge
Utajiri ni nini labda?
Utajiri kwako sio utajiri kwa wakulima. Usidanganyike ukisharidhika huo ni utajiri wako.
Wakulima wana maisha mazuri tu wewe dar kuku wa plastic robo kula ni sherehe huko wanakula kuku mzima kwenye mlo wa mchana tu
 
Na kweli mkuu kula kuku mzima huo ndio utajiri aliobarikiwa nao mkulima.

Utajiri ni nini labda?
Utajiri kwako sio utajiri kwa wakulima. Usidanganyike ukisharidhika huo ni utajiri wako.
Wakulima wana maisha mazuri tu wewe dar kuku wa plastic robo kula ni sherehe huko wanakula kuku mzima kwenye mlo wa mchana tu

dodge
 
Hahah kilimo kinataka heavy investment na ni taaluma kama nyingine lkn sasa hivi kila mtu aliyefeli/ambae anataka kujaribu Shughuli yoyote utasikia ngoja nikafanye kilimo.

Wakina Sumri wame invest heavily (ana mpk machine 1 inayogharimu Tsh mil.600) lkn bado analia,sasa anakuja mtu hapa analima kwa kutumia ng'ombe wa kukodisha,mbolea ya samadi na anakwambia kilimo kitamtoa awe don,hahah

Nawajua wafanyabiashara wa mahindi/mazao mbalimbali ambao ni matajiri sana lkn sijabahatika kuwaona wakulima matajiri zaidi ya kuona wakiwafaidisha wenye maduka ya agrovets.

dodge
Ni sisi tu tusio na mitaji tunahangaika, nimeuliza mtu anaefanya kazi pale na haya ndio majibu .. Tani 3.5 hadi 6 kwa heka..na kuna boss mpya (mzungu) anadai wanaweza sogea hadi 8
IMG_20200118_160531_040.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sisi tu tusio na mitaji tunahangaika, nimeuliza mtu anaefanya kazi pale na haya ndio majibu .. Tani 3.5 hadi 6 kwa heka..na kuna boss mpya (mzungu) anadai wanaweza sogea hadi 8View attachment 1326717

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana hayo ndio matunda ya kui-invest heavily kwny kilimo,Sumry alikua analia sababu serikali ilikua imepiga marufuku kupeleka mahindi nje sijui kama siku hizi wanaruhusu au la.

dodge
 
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Ina nini cha tofauti mkuu mbona sijawahi isikia hiyo.Isijekuwa ardhi yako inarutuba nyingi.Kwa hizo heka4 unavuna gunia ngapi?
 
Makadirio huwa nivune gunia 80-90 na zaidi lakini naishia kupata 70-75
Nenda kwenye maduka ya kilimo ulizia.
.
We unaishi mkoa gani?
Kwa wastani gunia 17 kwa heka.Hivyo mavuno yako yapo chini ya kiwango.Heka 1 ulitakiwa update gunia 25-30. Hivyo inabidi uongeze mbolea na kama walivyokushauri usichznganye mazao has a sehemu za joto ambapo maharage na mahindi vinakomaa kwa mpigo.
 
Mkuu hiyo mbolea ya DAB inatumikaje. yaani unaweka wakati gani? Baada ya kuwa umegeuza shamba au kabla? Je unaweza kuiweka na hapo hapo ukapanda mbegu?
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
 
Mkuu hiyo mbolea ya DAB inatumikaje. yaani unaweka wakati gani? Baada ya kuwa umegeuza shamba au kabla? Je unaweza kuiweka na hapo hapo ukapanda mbegu?
Unalima kwanza
Kama umezoea kupanda kwa kukatia basi kila shimo utakalopanda unaiweka na yenyewe mahindi yanakuwa green hatari.
.
Ila mimi hii kazi ya kukatia vishimo siiwezi nalima na kupanda yenyewe naimwaga sehemu zilizoathirika tu hii mbolea nimeinyooshea mikono
 
Kwa wastani gunia 17 kwa heka.Hivyo mavuno yako yapo chini ya kiwango.Heka 1 ulitakiwa update gunia 25-30. Hivyo inabidi uongeze mbolea na kama walivyokushauri usichznganye mazao has a sehemu za joto ambapo maharage na mahindi vinakomaa kwa mpigo.
Maharage na mahindi hayawezi kukomaa kwa mpigo hata siku moja.
Yani hii January mapema nimelima tena mahindi yako usawa wa ugoko lakini maharage hayafiki mwezi wa pili tarehe 10+ nimeshavuna.
.
Mahindi navuna kwa uchache huo kwa sababu kwanza tunakula sana yakiwa bado yako shambani pia tunakata na kuwauzia wale wanaochoma barabarani hili lakuniambia nisichanganye mazao lilisababisha nitake kumkata panga bwana shamba
 
Je mbolea hii ni kwa mahindi tu au hata mazao mengine ya jamii ya kunde kama vile dengu maharage nk?

Back
Top Bottom