dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mimi bora niwe mvuvi kuliko kulimaWewe hutaki kulima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bora niwe mvuvi kuliko kulimaWewe hutaki kulima?
Umeshawahi kuwekeza kwenye kilimo?Hahah kilimo kinataka heavy investment na ni taaluma kama nyingine lkn sasa hivi kila mtu aliyefeli/ambae anataka kujaribu Shughuli yoyote utasikia ngoja nikafanye kilimo.
Wakina Sumri wame invest heavily (ana mpk machine 1 inayogharimu Tsh mil.600) lkn bado analia,sasa anakuja mtu hapa analima kwa kutumia ng'ombe wa kukodisha,mbolea ya samadi na anakwambia kilimo kitamtoa awe don,hahah
Nawajua wafanyabiashara wa mahindi/mazao mbalimbali ambao ni matajiri sana lkn sijabahatika kuwaona wakulima matajiri zaidi ya kuona wakiwafaidisha wenye maduka ya agrovets.
dodge
Sijawahi ila ndg zangu wote waliowekeza huko kwa miaka mingi ni choka mbovu.
Utajiri ni nini labda?Sijawahi ila ndg zangu wote waliowekeza huko kwa miaka mingi ni choka mbovu.
Umeshamuona mkulima anayelimia ng'ombe na kutumia samadi ambae ni tajiri?
dodge
Utajiri ni nini labda?
Utajiri kwako sio utajiri kwa wakulima. Usidanganyike ukisharidhika huo ni utajiri wako.
Wakulima wana maisha mazuri tu wewe dar kuku wa plastic robo kula ni sherehe huko wanakula kuku mzima kwenye mlo wa mchana tu
Ni sisi tu tusio na mitaji tunahangaika, nimeuliza mtu anaefanya kazi pale na haya ndio majibu .. Tani 3.5 hadi 6 kwa heka..na kuna boss mpya (mzungu) anadai wanaweza sogea hadi 8Hahah kilimo kinataka heavy investment na ni taaluma kama nyingine lkn sasa hivi kila mtu aliyefeli/ambae anataka kujaribu Shughuli yoyote utasikia ngoja nikafanye kilimo.
Wakina Sumri wame invest heavily (ana mpk machine 1 inayogharimu Tsh mil.600) lkn bado analia,sasa anakuja mtu hapa analima kwa kutumia ng'ombe wa kukodisha,mbolea ya samadi na anakwambia kilimo kitamtoa awe don,hahah
Nawajua wafanyabiashara wa mahindi/mazao mbalimbali ambao ni matajiri sana lkn sijabahatika kuwaona wakulima matajiri zaidi ya kuona wakiwafaidisha wenye maduka ya agrovets.
dodge
Safi sana hayo ndio matunda ya kui-invest heavily kwny kilimo,Sumry alikua analia sababu serikali ilikua imepiga marufuku kupeleka mahindi nje sijui kama siku hizi wanaruhusu au la.Ni sisi tu tusio na mitaji tunahangaika, nimeuliza mtu anaefanya kazi pale na haya ndio majibu .. Tani 3.5 hadi 6 kwa heka..na kuna boss mpya (mzungu) anadai wanaweza sogea hadi 8View attachment 1326717
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina nini cha tofauti mkuu mbona sijawahi isikia hiyo.Isijekuwa ardhi yako inarutuba nyingi.Kwa hizo heka4 unavuna gunia ngapi?Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Kamanda inaonekana upo deep kwenye hii sektaDAB, CAN na UREA hizi mbolea nazikubali sana.
Usikariri mzee,wengne tunatumia akiba zetu za ziada .so no effectKuingia kwny kilimo ni kujitafutia umasikini tu.
dodge
Makadirio huwa nivune gunia 80-90 na zaidi lakini naishia kupata 70-75Ina nini cha tofauti mkuu mbona sijawahi isikia hiyo.Isijekuwa ardhi yako inarutuba nyingi.Kwa hizo heka4 unavuna gunia ngapi?
Ah kitu kidg hicho mkuu![emoji7][emoji7] Shida yangu nikukumbatie tu
Hao wanalima kwaajili ya kujikimu si biashara.Sijawahi ila ndg zangu wote waliowekeza huko kwa miaka mingi ni choka mbovu.
Umeshamuona mkulima anayelimia ng'ombe na kutumia samadi ambae ni tajiri?
dodge
Kwa wastani gunia 17 kwa heka.Hivyo mavuno yako yapo chini ya kiwango.Heka 1 ulitakiwa update gunia 25-30. Hivyo inabidi uongeze mbolea na kama walivyokushauri usichznganye mazao has a sehemu za joto ambapo maharage na mahindi vinakomaa kwa mpigo.Makadirio huwa nivune gunia 80-90 na zaidi lakini naishia kupata 70-75
Nenda kwenye maduka ya kilimo ulizia.
.
We unaishi mkoa gani?
Watakuchelewesha kufikia kilele cha mafanikio watakuja na mbinu zao ambazo huwa zinazalisha kidogo.
.
Kuna mbolea inaitwa DAB inauzwa kati ya elfu 45-60 mfuko mmoja unaweza kupandia ekari zote 5 ikiwa unapesa nyingi unaweza kupanda kwa eka mbili au moja na nusu.
Ukiipata hii my friend you're on top of Kilimanjaro mountain na usikubali ushauri wao kwamba usichanganye mazao we piga hata matatu humohumo.
.
Nina shamba mkoa fulani nimeshalima Mahindi, Alizeti na Maharage humohumo mkuu ni habari ingine shamba lina hekari 4 tu
Unalima kwanzaMkuu hiyo mbolea ya DAB inatumikaje. yaani unaweka wakati gani? Baada ya kuwa umegeuza shamba au kabla? Je unaweza kuiweka na hapo hapo ukapanda mbegu?
Maharage na mahindi hayawezi kukomaa kwa mpigo hata siku moja.Kwa wastani gunia 17 kwa heka.Hivyo mavuno yako yapo chini ya kiwango.Heka 1 ulitakiwa update gunia 25-30. Hivyo inabidi uongeze mbolea na kama walivyokushauri usichznganye mazao has a sehemu za joto ambapo maharage na mahindi vinakomaa kwa mpigo.
Kamanda inaonekana upo deep kwenye hii sekta
Ila hiyo mbolea ya DAB natamani niione
Unalima kwanza
Kama umezoea kupanda kwa kukatia basi kila shimo utakalopanda unaiweka na yenyewe mahindi yanakuwa green hatari.
.
Ila mimi hii kazi ya kukatia vishimo siiwezi nalima na kupanda yenyewe naimwaga sehemu zilizoathirika tu hii mbolea nimeinyooshea mikono