iringa sehem gan?,mi npo iringa pia na tarh 17/8 mmepanda nyanya ekari moja. mbegu nzur mm huwa natumia mkulima rio grand. kuhusu soko nitafute nikuelekeze ukimeet quality zao unaingia mkataba hupat homa ya soko ww ni kuzalisha tuNimepata shamba iringa acre 5 jameni sasa nimeona nilime nysnya kuanzia oktoba 2016 ili january nianze kuvuna.
Kwa wale wanaojua mbegu bora ya kulima iringa na yenye mazao mengi,kiasi cha mbegu acre moja,mbolea,tafhadhali anijuze .
Aksante mkuu nalima pale ukishapita iringa mjini kama unaenda Mbeya pale mbele kwenye minara unaingia barabara ya kushoto umbali wa kilomita 7. Sasaekari 5 nambie mbolea kiasi gani? Na mbegu ni kiasi gani kwa ekari?sory mwez wa 9
Huo mkataba ni kwa watu wa iringa tu mkuu au hata kama niko moro naweza fanya nao mkataba?sory mwez wa 9
sema kijiji cha MGAMA au?,mi nalima mbele zaid na ninauza vzur tu....ndio ni kwa watu wa iringa tu wanapewa mkatabaAksante mkuu nalima pale ukishapita iringa mjini kama unaenda Mbeya pale mbele kwenye minara unaingia barabara ya kushoto umbali wa kilomita 7. Sasaekari 5 nambie mbolea kiasi gani? Na mbegu ni kiasi gani kwa ekari?
Kama ni Mgama hapo ni fresh sana:Ndio Mgama kaka
Mkuu kwa gram 100 f1 seeds? Hii ni mbegu nyingi sana Mkuu na pia utunzaji wake ni gharama sana.Mkuu tanaluza samahani kwa Tanzania sh ngapi gram 100 inauzwa na eka moja inahitaji gram ngapi?
Uvunaji wake unakuwa km hoho vile kira baada ya siku kazaa unachuma na kuota tena mauwa?
Acre moja inatoa Tenga ngapi?Mbegu gani kaka nambie
Mkuu nmekuomba nitafute chembaAcre moja inatoa Tenga ngapi?
OK asante sana kiongozi
Je kwa eka moja itaitaji gram ngapi ??