Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndugu zangu,
Kwa jina naitwa Joseph ni mkulima na mfanyabiashara wa vitunguu. Kitunguu ni zao lenye manufaa makubwa na kipato cha hali ya juu endapo tu utafuata maelekezo ya mtaalamu.
Dhumuni langu hapa ni kuwaletea mbegu bora kabisa za vitunguu (Red Bombay) ambazo hukupa mavuno mazuri na yenye kipato kikubwa sana.
Bei ya mbegu hizi ni tsh 30,000/= kwa kopo la lita moja(1) na tsh 600,000/= kwa ndoo ya lita ishirini.
Guarantee: Ndoo ya lita 20 ambayo ni sawa na makopo 20 ya lita moja inatosha kupanda eneo la hekari 1 (m70*m70) na kiwango cha chini cha mavuno ni gunia 100 na kiwango cha juu ni gunia 110-120 ndani ya siku 90 (3 months) toka kupanda. Gunia moja sokoni kariakoo, ilala, buguruni, temeke na mabibo kwa sasa bei ni tsh 130,000/= * gunia 100 = tshs 13,000,000/= ndani ya miezi 3.
Kama utakua na swali lolote au kutaka kujua zaidi usisite kunitafuta kwa namba zangu za simu +255655003510 au e-mail address: josephkadendulah@gmail.com
Ahsanteni sana na karibuni tujenge maisha bora kwa kila mtanzani.
ni miezi gani vinapandwa....wapi katika Tz vinastawi kwa uhakika zaidi
Vipi naweza panda maeneo ya kisarawe ikastawi???
bei ya mbegu mkuu ipo juu sana
bei ya mbegu mkuu ipo juu sana
kumbe hadi nimwagilie? I thought havihitaji maji mengi
Bei ya vitunguu sokoni haipo fixed inategemea na msimu na hali ya wakati huo leo unaweza kukuta ni 130,000/= siku wewe umevuna unakutana na bei ya 30,000/=, elfu40
Nna ushahidi wa risiti
tokea nimeanza biashara hii miaka minne iliyopita, kama nna gunia
nimewahi kuuza chini ya elfu 85 nafuta tangazo hili. Cha zaidi mtu
halazimishwi kuchukua opportunity, ni maamuzi binafsi kaka. Next time
"Think before you act" Mr