Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Ngoja niendelee kuiongezea ka m5 kangu angalao bas ifike 10. Na fuso yenye gunia 100 kutoka iringa-dar inaweza kuwa bei gan?

Nauli ya Fuso ya gunia 85 kwa kutoka mpwapwa huko shamban kwangu huwa nalipa laki 8 na fuso ya gunia 120 huwa nalipa m1 hadi m1.2 inategemea na kasi ya msimu.

Kwa upande wa Iringa sijui kwasababu sijawah fika huko kuchukua mzigo. Ila itakua haitofautiani sana na hizo.
 
Mkuu hyo kitu tumepiga san na inalipa sema kwa sasa tupo likizo kidgo but ni biashara nzur sana
 
Nauli ya Fuso ya gunia 85 kwa kutoka mpwapwa huko shamban kwangu huwa nalipa laki 8 na fuso ya gunia 120 huwa nalipa m1 hadi m1.2 inategemea na kasi ya msimu. Kwa upande wa Iringa sijui kwasababu sijawah fika huko kuchukua mzigo. Ila itakua haitofautiani sana na hizo.

Ngoja niendelee kujipanga zaid angalao niaanze na gunia 80 kwanza. Na ni kipind gan angalao bei inakuwa rahis shamban? Nikimaanisha gunia moja kwa bei ya shamba?
 
Wanane mwishoni na watisa hadi wa kumi

Nashukuru sana baraka mwenyez mungu akinipa uzima bas mwaka huu na mie nitaingia rasmi. Woga wa kufanya mambo unaturudisha nyuma sna pia na kuanza kufikiria kupata hasara kuliko faida.ubarikiwe
 
Nashukuru sana baraka mwenyez mungu akinipa uzima bas mwaka huu na mie nitaingia rasmi. Woga wa kufanya mambo unaturudisha nyuma sna pia na kuanza kufikiria kupata hasara kuliko faida.ubarikiwe

Hiv kwa kipind hiki aug, sept na oct bei ya gunia ni ngap shamba?
 
Wanane mwishoni na watisa hadi wa kumi

naomba niambie msimu mzuri ambao hauna magonjwa na bei ni kubwa sokoni unaanzia mwezi gani? na unavuna mwezi gan?

kwa eka moja unatumia gharama kias gan?
 
naomba niambie msimu mzuri ambao hauna magonjwa na bei ni kubwa sokoni unaanzia mwezi gani? na unavuna mwezi gan?

kwa eka moja unatumia gharama kias gan?

Inategemea na mkoa gani unalimia kaka, ila kwa upande wa mpwapwa huwa napanda mwezi wa tatu na kuvuna mwezi wa saba bei inakua poa. Gharama zinarange kwenye 2M
 
Inategemea na mkoa gani unalimia kaka, ila kwa upande wa mpwapwa huwa napanda mwezi wa tatu na kuvuna mwezi wa saba bei inakua poa. Gharama zinarange kwenye 2M

naomba unipe mchanganuo wa hyo 2M tafadhali,
mfono kukodi kias gan?
kuandaa shamba?
kununua mbegu?
kumwagilia?
madawa?

au naomba number zako za simu nikutafute.

ntashukuru sana kaka.
 
Kuna mtu mmoja alilima kama heka 5 huko kilosa.wanunuzi walikuja shambani akaondoka ns 28M,aliuza sh 80,000 kwa gunia,mwezi wa sita na mie nafikiria kutia timu kilosa nianze na kama heka 3

Kilosa nako vinakubali?
 
nauli ya fuso ya gunia 85 kwa kutoka mpwapwa huko shamban kwangu huwa nalipa laki 8 na fuso ya gunia 120 huwa nalipa m1 hadi m1.2 inategemea na kasi ya msimu. Kwa upande wa iringa sijui kwasababu sijawah fika huko kuchukua mzigo. Ila itakua haitofautiani sana na hizo.

iringa dar kwa kubana matumizi unavizia malori yanayorudi tupu dar gunia moja sh.5000
 
Mkuu ni kweli kabisa unachosema ni kuwa watu hawajajua tu mim nimegusa tu kidogo mwaka jana nimeondoka na mil 3 sasa nataka mwaka huu ndiyo nizame ki kwel kwel, maana kupata gunia 100 kwa kitunguu ni kugusa halafu kuna kipind kama sasa gunia moja laki ¡Á100 una 10milion hapo bado hujatoka tu kimaisha kwa mtaj wa 10 mil wakat wewe garama uliyotumia haizid mil 2 lakin kwa muda mfup unatengeneza faida ya mil 8 Mungu akupe nin tena. Mkuu komaa tu mim ninao mfano kuna watu walianza na mtaj wa laki kadhaa kwenye kilimo cha vitunguu lakin sasa ni matajiri wa kutupwa had unakuja kufikiria kuajiriwa hakuna dili kabisa kwa mtu anaezingatia kilimo

hayo magunia ni yale ya rumbesa au vipi? maana rumbesa imekuwa ni tatizo sana katika kilimo.
 
Dodoma moja : kweli kabisa ukulima unamtuoa mtu, mimi nimeamini coz kuna watu wameanzisha sijui niseme makampuni kaajiri watu kwenye heka kama 15 unakuwa umewagaia vyeo kabisa masupervisor mpaka kibarua then kazi yako inakuwa kusupply chakula na matumizi yote ya shamba cha kushangaza most of them ni kenyans sijui watanzania tunaogopa nini mimi nimeamua moja hata nikianguka naanza upya tena mpaka nitoke :hand:


Rafiki yangu, sisi watanzania tuna maajabu yetu kaka. Mimi nalima shamba kubwa kiasi lakini challenge kubwa inayonikabili ni nguvukazi kwa maana ya watu wa kufanya kazi.

Wenyeji wa eneo lilipo shamba langu naweza kusema hawana moyo wa kazi, mtu anakuja kufanya kazi siku moja ukimlipa anaenda kutumia hela hadi iishe ndio anarudi kufanya kazi tena, inaweza kuchukua hadi wiki ndio mtu arudi tena.

Katika hali kama hiyo nakuwa nashindwa kutimiza malengo yangu. Kwa mfano lengo langu kwa mwezi January ilikuwa nilime ekari 25 lakini niliambulia kulima ekari 11, watu hawafanyi kazi. Inanilazimu kwenda mikoani kama kanda ya ziwa na Dodoma kutafuta watu wa kuja kulima huku pwani, hao watu inabidi niwajengee kambi shambani na kuwasimamia kwelikweli ndio kazi iende, yaani kama wanafanya kwa kujitolea vile kumbe wanapata malipo.

Kwahiyo ndugu yangu usishangae kuona wakenya wanaajiriwa hadi mashambani, sisi userious wa kazi ni mdogo na ni tatizo kubwa sana. Sometimes nakuwa nikifikiria sana nagundua hata wakoloni walipoamua kujenga miundo mbinu kama reli na barabara hawakuwa na jinsi bali kuwashikia fimbo na mijeledi mababu zetu, bila hivyo wabongo hatuendi ndugu yangu.

Samahani kwa kutumia maneno yasiyo mazuri sana ila niko dissapointed mno na baadhi ya wananchi wenzangu. Tunajaribu kugawana hiki kidogo kwa kupeana viajira hivi vya mashambani lakini tunaangushana kwelikweli, jamani maofisini tunajaza raia wa kigeni (Experts),biashara zimeshikwa na wageni, sasa hata mashambani tuweke wageni?

Watanzania hebu tupende kazi bwana tunajiangusha wenyewe!
 
Yan hiyo ni ya shambani kabisa mkuu sokon kama dar kariakoo kwa sasa nimesikia ni 150,000 na kuna kipind shamban huwa vinafika had lak 2 gunia 1 najua hutaweza kuamin ila ukwel ndo huo. Sisi kwetu huwa tunavuna kuanzia mwez wa 9 halafu tunahifadh had mwez wa 2 ndipo vinakuwa vimepanda sana so unapata faida kubwa, kuna jamaa mwaka juz hakulima kabisa akasubir wakat wa mavuno akaja shamban akanunua gunia 100 kwa bei ya elfu 40 akahifadh then akarud zake dar mwez wa pili akakuta bei lak 2 gunia moja akauza zikatoka gunia 90 maana vilipungua kutokana na kukaa kwa muda hivyo kusinyaa akapiga zake m18, akatengeneza faida kama ya m10 hiv ukitoa na garama zingine.

Mkuu hiyo kitunguu alinunulia wapi? Am inspired to deal wit this kind of business. Napenda sana kujishughulisha na kilimo in general.
 
mimi kwa huku kukodi shamba kwa heka moja ni 110k then na kukodi mashine ni 100k na muhudumu wa shamba ambaye ndo muangalizi ni 700k then iliobaki ni dawa na mafuta.
kulima na kuweka matuta kwa heka moja 250k.
hiyo ndo pesa utakayo tumia kama vitunguu vyako havijapata ugonjwa wowote kwa heka moja, ugonjwa ukitokea coz dawa ni ghali itaweza panda kidogo

Huko uliko ni wapi mkuu?
 
mimi nshalima kilosa seheem ya mvumi na lumumo mm nna uzoefu kiasi....kweli kitungu knalipa ila ombea usikutane na changamoto zke utaliaaaaa
 
Back
Top Bottom