Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Eka moja unavuna gunia mia hadi mia20...inategemea na upandaji wako ulivyopanda..
 
Eka moja unavuna gunia mia hadi mia20...inategemea na upandaji wako ulivyopanda..

Samahani kwa maswali mengi, gunia moja linakadiriwa kuwa na kilo ngapi bse vitunguu huwa vinauzwa kwa kg kama sijakosea
 
Samahani kwa maswali mengi, gunia moja linakadiriwa kuwa na kilo ngapi bse vitunguu huwa vinauzwa kwa kg kama sijakosea

kwa uzoefu, kitunguu maji kwa tanzania bado vinauzwa kwa ktumia magunia, ila hivi karibuni nmeona kuna wakenya wanapita mashambani wao wananunua kwa kutumia net ndogo zenye ujazo wa ndoo tatu.
 
GEBA2013, Nakushukuru sana umenipa somo nzuri. Mungu akutangulie kwa kutumia muda mwingi kutuelimisha watanzania. Umeongea vitu vya msingi sana, nimesoma na nimeandika na naona wewe unaweza kuwa chanzo cha mafanikio yangu.

Tafadhari nime ku PM. Usinichoke nahitaji msaada wako. Niko serious nahitaji kuwekeza katika hili. Ubarikiwe.
 
GEBA2013, Nakushukuru sana umenipa somo nzuri. Mungu akutangulie kwa kutumia muda mwingi kutuelimisha watanzania. Umeongea vitu vya msingi sana, nimesoma na nimeandika na naona wewe unaweza kuwa chanzo cha mafanikio yangu. Tafadhari nime ku PM. Usinichoke nahitaji msaada wako. Niko serious nahitaji kuwekeza katika hili. Ubarikiwe.

Sasa Mr diwani unajua na mi ninalengo la kuinvest kwenye hii kazi ila tatizo ni mtaji, unaonaje kama ungenipm tukazungumza.
 
Nadhani asigwa anakijua alichokiandika, ndio maana anakifanyia research ili akishajiridhisha, aje kumwaga hapa kitu cha uhakika.
Nilishawahi ambiwa kitunguu kinatakiwa kisiwe kikubwa sana wala kidogo sana. Na kisiwe mapacha, inatakiwa round bulb.

Yaani tunakuombea mungu reseach iwe successful..tutafaidika wengi
 
Wakuu kuna mambo mawili nataka nitoe ufafanuzi kuhusu big scale farm na small scale farm.nitatoa somu ili tujue tuko wap
 
Nitanza na bigscale..hao niwale wanaolima mashamba makubw.wanatumia water pampu ktk umwagiliaji.
 
huwa wanalima kuanzia eka20 nakuendelea.wapo wanaolima kuanzia eka400.kw bustani hao nibigscale ila kw mazao mengne cyo
 
huwa wanalima kuanzia eka20 nakuendelea.wapo wanaolima kuanzia eka400.kw bustani hao nibigscale ila kw mazao mengne
 
nasema cyo sbb kwenye bustan kuanzia eka20 una invest hela kubw na retun yake nikubw mm huwa nasema abnormal profit.
 
japo wanakutana na changamoto lasoko wanakabli nakupita salam. wao wanachoangalia prodoction nzuri.nachukua mfano wahuyu
 
mkulima anayelima eka20 yakitunguu.hapo atapat production y gunia2000 nazaid.ukipata bei ya sahv ambayo arush n 90alf
 
Inamana utapata 180mil.na cost yake ni mili40.hapo utapata retun ya 140milion.yule wa mbeya gunia ni lakina70.
 
KWa mbeya inamana utapta retun ya 300milion.ruaha lakina40 na mtukula kager laki20 vitvngu inatok ugand.hapo nikwa eka20
 
msimu wavitungu ambao soko cyo nzuri wakulima wakubw huwa huweka stock ya kitungu nakuuza kipind chabei nzuri.
 
2.smallscale farming..wao wanalim eka1 hadi20.wanakutan nachangamoto nawanakabil.labd awe amelima eka nyng nahan uwezo.
 
Back
Top Bottom