Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eka moja unavuna gunia mia hadi mia20...inategemea na upandaji wako ulivyopanda..
Samahani kwa maswali mengi, gunia moja linakadiriwa kuwa na kilo ngapi bse vitunguu huwa vinauzwa kwa kg kama sijakosea
GEBA2013, Nakushukuru sana umenipa somo nzuri. Mungu akutangulie kwa kutumia muda mwingi kutuelimisha watanzania. Umeongea vitu vya msingi sana, nimesoma na nimeandika na naona wewe unaweza kuwa chanzo cha mafanikio yangu. Tafadhari nime ku PM. Usinichoke nahitaji msaada wako. Niko serious nahitaji kuwekeza katika hili. Ubarikiwe.
Nadhani asigwa anakijua alichokiandika, ndio maana anakifanyia research ili akishajiridhisha, aje kumwaga hapa kitu cha uhakika.
Nilishawahi ambiwa kitunguu kinatakiwa kisiwe kikubwa sana wala kidogo sana. Na kisiwe mapacha, inatakiwa round bulb.