Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mnapenda magendo sana? Hao waganda Kama wanataka kununua si wake kununua? Hakuna aliyewazuiaJambo baya kwa serikali yangu ni bora ziharibike mashambani kuliko kuvusha Uganda eti... mi nashauri mchange nauli muunde kamati ndogo ya kumuona bashe it's seriously issue