Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Jambo baya kwa serikali yangu ni bora ziharibike mashambani kuliko kuvusha Uganda eti... mi nashauri mchange nauli muunde kamati ndogo ya kumuona bashe it's seriously issue
Mnapenda magendo sana? Hao waganda Kama wanataka kununua si wake kununua? Hakuna aliyewazuia
 
Kama hakuna soko la uhakika bongo vushe hapo jirani hata kwa magendo, hao wahuni wanawanyonya na ukute wanashirikiana na watendaji wa Umma
 
Hiyo ni kwenye makaratasi. Kuna watu tena wenye akili kabisa walitapeliwa na jamaa flani hivi laianzisha kampuni na kujiita Vanilla international
Huyu jamaa anawapiga sana wazanzibar na anapewa hela na serikali. Lakini hakuna bei hizo. Vanila iliyokaushwa huuzwa laki sita tu na lazima ipitie vipimo vya ubora.
 
Wahaya aka Nshomile akili nyingi ila maarifa 10%! Ngoja niwape mbinu ambazo wenzenu Moshi wanazidi kutajirika kwa kupeleka Mahindi, Kahawa, Tanzanite nk hapo jirani Kenya.
Kuishi mpakani ni fursa ya kipekee, Lukunyu, Mashanga(Bugabo) ni nchi jirani hiyo hakuna janja janja ya akina Bashe! au nimwambie na njia ya kufika hapo bila kukamatwa? Njoo inbox!
CCM elabakozile bintungwa, nimwija kufa ne'enaku kamutashazile agalabayamba!
 
Mkuu tafsiri aya ya mwisho, tujue CCM imefanyaje tafadhali,
 
Hadi ifikie huo ubora wa mil 1 unafikiri ni rahisi? Au unahisi kila vanilla inanunuliwa hivyo?
 
Tatizo Kagera huwa wanaimani kubwa sana(hadi kupitiliza) juu ya viongozi wa CCM.Hili limewaganda sana vichwani mpaka hawaoni dhuluma.
Saa nyingine nashindwa kuwaonea huruma!
 
Vipi wale wa wazee wa vanilla kilo milioni moja si wawape soko kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…