Kilio cha Walima Vanilla Kagera kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan


Mkuu South America wanalima baadhi ya nchi na wanalinda kwa Bunduki mashamba yao
Hili zao lina hela sana ila pia linataka uangalizi mkubwa sana kuanzia kuandaa mpaka mavuno

Ndio maana lina thamani sana
 
Serikali haiwezi kuingilia soko. Poleni na pambaneni na hali zenu
Basi iruhusu watu wauze popote tuone, tunapenda cess tax lakini hatusaidii upatikanaji wa masoko ya uhakika, SHAME!!!
 
Wahaya mnakandamiza maneno hadi kwenye maandishi 🙌🙌🙌
Kwanini sisi wahaya tukianzisha kitu chochote watu mnabadirisha mada? Kwani tatizo lenu ni nini? Ule mkoa kwa taarifa yako kuna wapika data wa NBS eti ni mkoa wa mwisho kwa kipato? Jambo hilo sio kweli.
 
Mtafuteni yule jamaa wa vanilla vilage Njombe, anununua million moja kwa kilo,
Nimenukuu matangazo yake ITV,
Sasahivi tangazo lake halionyeshwi itv ila ni jambo la kushangaza na kujiuliza kilo moja ya zao kununuliwa milioni moja !
 
ITV walijidhalilisha sana kurusha lile tangazo la Vanilla Village kwa muda wote ule huku wakijua ni utapeli.
 
ITV inatakiwa wakamatwe kwa kushirikiana kutangaza utapeli.
Huyu jamaa kaenda kuwapiga wazanzibar lengo kuu ni kula fedha za Green House na kuondoka. Mimi huwa hataki kuitikia simu zangu. Niliwahi kumwambia anafanya uhuni kuwakaririsha watu kuwa inauzwa 1m wakati mwisho tz ni laki sita au tano kwa kilo kavu.
 
Ukisoma comments kwenye uzi huu, kama ulikuwa hujui, ndio utajua nchi hii ya samia ina idiots (ebifeela ndya-maazi) wa kutosha.
Ekifela oliiwe , kilebe olutwe ne ebitama .
Ekyokukukola kujuma abantu bakulu tulyaa nekiki ? Nakukuazambula olui nkwata ebitama ebyo
 
Huyu jamaa kaenda kuwapiga wazanzibar lengo kuu ni kula fedha za Green House na kuondoka. Mimi huwa hataki kuitikia simu zangu. Niliwahi kumwambia anafanya uhuni kuwakaririsha watu kuwa inauzwa 1m wakati mwisho tz ni laki sita au tano kwa kilo kavu.
Leo pia nimeona tangazo ITV ,Tambueni leo ni tar 19 jan 2023 ,still wanaendelea kuripromote tangazo eti vanila mil 1[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Leo pia nimeona tangazo ITV ,Tambueni leo ni tar 19 jan 2023 ,still wanaendelea kuripromote tangazo eti vanila mil 1[emoji26][emoji26][emoji26]
Hii vanilla anayotangaza Mkondya na hiyo ya Kagera ni ile ile au ni vitu viwili tofauti? Maana tofauti ya bei ni kubwa mno!
 
Ww mkulima rekebisha maandishi yako kwanza,
sisi tume muelewa kakusudia nini,ila limbukeni wa kuandika hawezi muelewa malengo yake zaidi utakaa kuchunguza wapi kapatia na wapi kakosea huo ni ushamba,hata wewe ukiwekiwa mtihani wa kiswahili mbona utaangukia pua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
polisi wa kagera hawafai unataka wawa pige chuma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huku njombe siwaoni walikuaga ad na ofisi zao😀😀 watu washapigwa
 
Kwani kuna aliyefunga mpaka wa nchi kuzuia kuuza vanila yenu nje ya nchi?
Ninavyoitizama biashara ya zao la vanala nashindwa kuitofautisha na ile kamari DESI.
Muda ni mwalimu mzuri,
Kwa wakati utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…