instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Watu walikuwa wanataka kupigwaHii Vanila ndio nilisikia mahala kilo moja Tsh milioni moja!
Au nilikuwa naota huku natembea juani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu walikuwa wanataka kupigwaHii Vanila ndio nilisikia mahala kilo moja Tsh milioni moja!
Au nilikuwa naota huku natembea juani!
Ila kama serikali ikokataza kuvusha nawashauri wavushe kwa nguvu maana wakubwa wizarani hawajui maumivu ya wakulimaNa ajabu hakuna mkoa unaongoza kwa magendo kama kagera...
Sio kahawa sio vanilla
Wahaya mshike Elimu.Kwako Rais Wetu Mpenda.
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya kimikakati katika kuiinua nchi kuelekea uchumi wa kati.
Sisi wakulima wa vanilla Kagera tumekumbwa na tatizo kubwa sana ambalo limeleta mgogoro sana na mgongano ya masilahi. Wakulima wakagera tuliitwa tarehe 20 Mei 2022 kujadiri mstakabari wa Vanila zetu.
Waliohudhuria ni sisi wakulima pamoja na kampuni zinazonunua vanila. Pamoja na katibu tawala wa mkoa. Kikao kiliisha salama licha ya kuwa na marumbano makali juu ya uhuni unaofanywa na mkurugenzi wa MAYAWA ambao ndio wanunuzi wakuu.
Iko hivi: Mkurugenzi wa Mayawa anatuhumiwa kula njama na kuwashawishi makampuni anayoshindana nayo kutozidi kiwango fulani ili wapate faida kubwa.
Mayawa kwa kutumia makampuni mengine madogo alifanikiwa kushusha bei kutoka tshs 32,000/= to tshs 20,000/= wakati yeye akinunua kwa tshs 30,000. Mayawa ilizidiwa wingi wa vanila ikabidi ikope Bank kutoa ADB kulipa wakulima.
Lakini bado wakulima wanadai mil. Mia mbili. Mpaka sasa ajawalipa licha ya kuambiwa na mkuu wa mkoa kwa kauli ya serikali kuwa tarehe 31 May 2022 awe amewalipa. Sasa likichofanyika ni kwamba mayawa amesusa kununua na kushawishi kampuni nyanza zilizokuwa zinanunua kwa bei nafuu nazo zikasusa.
Sasa hivi ni kampuni moja tu NEI LTD kutoka Moshi Makao Makuu ndiyo inayonunua. Kampuni hiyo nayo imezidiwa na imesitisha kwa muda. Wakulima wa sasa hawajui cha kufanya vanila mashambani zimeanza kuharibika.
Tunaiomba serikali kupitia takukuru wachunguze hii kampuni ya mayawa alafu wamuombe NEILTD aendelee kununua vanila zetu tusije kukata tamaa. Kama ikishindikana tunaomba tufunguliwe mipaka tuize Uganda kwani wao wananunua kwa tshs 50,000/= vanila mbichi.
Mkoa wa Kagera mwaka huu unazalisha tani mia 4 jambo ambalo watunza takwimu hawana, kwa kuwa nyingi zinatoroshewa nchi za jirani kukwepa mitego ya kampuni zetu za kijanja janja. Pia kampuni kwa sasa hazifuati wakulima kwenye vituo. Hii inatokea kwa sababu ya kukwepa ushuru.
Mwaka jana tu serikali ilikuwa inadai makampuni manne tshs miliioni 20. Kama ushuru hivyo kuitisha kuwapelekea ni njia mojawapo ya kukwepa ushuru.
Mwisho nakuomba umwagize waziri wako kilimo Bashe pamoja na Katibu wake waende kuhitisha kikao cha dharura wawasikilize wakulima wanasemaje kuhusu mambo mabaya wanayotendewa kwenye hii dhahabu ya kijani.
Wako mkulima wa Vanilla Bukoba
Na Mimi nilitaka kuuliza hili swali, ngoja nisubiri majibuHii Vanila ndio nilisikia mahala kilo moja Tsh milioni moja!
Au nilikuwa naota huku natembea juani!
Kilo ni tsh 1,000,000Hizo bei 32,000, 30000, 50000
Ni kwa kg au
Ova
Maana kuna bei fulani zilitajwa sjui kg 1000000 mara 700000Shangaa na wewe
Kaanza na lawama hata sijui ni kijiti kimoja ndio elfu 32 ama
Yohana, yule jamaa ukimuona ni mjanjamjanja sana, hivi sasa ananunua parachichi,Hahaha.........jamaa hajulikani aliko!
Kwa kilo lakini vanilla fresh ambazo hazijakaukaHizo bei 32,000, 30000, 50000
Ni kwa kg au
Ova
Nilishamtafuta saba. Uenda naye ni tapeli sisi tunazalisha tani 400 lakini hakuna sokoMtafuteni yule jamaa wa vanilla vilage Njombe, anununua million moja kwa kilo,
Nimenukuu matangazo yake ITV,
Kavurugwa, anyooshe maelezo, hio bei ni kwa kilo moja au gramu moja,Hizo bei 32,000, 30000, 50000
Ni kwa kg au
Ova
Ni kwa kilo moja ngoja needing niliandika kwa uchungu sanaShangaa na wewe
Kaanza na lawama hata sijui ni kijiti kimoja ndio elfu 32 ama
Nimerekebushw mkuuWw mkulima rekebisha maandishi yako kwanza,
Pole mkuu, hivi wale wezi wa vanila mashambani mmewadhibiti vp mkuu?Nimerekebushw mkuu
Tukumbushane.Kwako Rais Wetu Mpenda.
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya kimikakati katika kuiinua nchi kuelekea uchumi wa kati.
Sisi wakulima wa vanilla Kagera tumekumbwa na tatizo kubwa sana ambalo limeleta mgogoro sana na mgongano ya masilahi. Wakulima wakagera tuliitwa tarehe 20 Mei 2022 kujadiri mstakabari wa Vanila zetu.
Waliohudhuria ni sisi wakulima pamoja na kampuni zinazonunua vanila. Pamoja na katibu tawala wa mkoa. Kikao kiliisha salama licha ya kuwa na marumbano makali juu ya uhuni unaofanywa na mkurugenzi wa MAYAWA ambao ndio wanunuzi wakuu.
Iko hivi: Mkurugenzi wa Mayawa anatuhumiwa kula njama na kuwashawishi makampuni anayoshindana nayo kutozidi kiwango fulani ili wapate faida kubwa.
Mayawa kwa kutumia makampuni mengine madogo alifanikiwa kushusha bei kilo moja kutoka tshs 32,000/= to tshs 20,000/= wakati yeye akinunua kwa tshs 30,000. Mayawa ilizidiwa wingi wa vanila ikabidi ikope Bank kutoa ADB kulipa wakulima.
Lakini bado wakulima wanadai mil. Mia mbili. Mpaka sasa ajawalipa licha ya kuambiwa na mkuu wa mkoa kwa kauli ya serikali kuwa tarehe 31 May 2022 awe amewalipa. Sasa likichofanyika ni kwamba mayawa amesusa kununua na kushawishi kampuni nyanza zilizokuwa zinanunua kwa bei nafuu nazo zikasusa.
Sasa hivi ni kampuni moja tu NEI LTD kutoka Moshi Makao Makuu ndiyo inayonunua. Kampuni hiyo nayo imezidiwa na imesitisha kwa muda. Wakulima wa sasa hawajui cha kufanya vanila mashambani zimeanza kuharibika.
Tunaiomba serikali kupitia takukuru wachunguze hii kampuni ya mayawa alafu wamuombe NEILTD aendelee kununua vanila zetu tusije kukata tamaa. Kama ikishindikana tunaomba tufunguliwe mipaka tuize Uganda kwani wao wananunua kilo moja kwa tshs 50,000/= vanila mbichi.
Mkoa wa Kagera mwaka huu unazalisha tani mia 4 jambo ambalo watunza takwimu hawana, kwa kuwa nyingi zinatoroshewa nchi za jirani kukwepa mitego ya kampuni zetu za kijanja janja. Pia kampuni kwa sasa hazifuati wakulima kwenye vituo. Hii inatokea kwa sababu ya kukwepa ushuru.
Mwaka jana tu serikali ilikuwa inadai makampuni manne tshs miliioni 20. Kama ushuru hivyo kuitisha kuwapelekea ni njia mojawapo ya kukwepa ushuru.
Mwisho nakuomba umwagize waziri wako kilimo Bashe pamoja na Katibu wake waende kuhitisha kikao cha dharura wawasikilize wakulima wanasemaje kuhusu mambo mabaya wanayotendewa kwenye hii dhahabu ya kijani.
Wako mkulima wa Vanilla Bukoba
Kanunue weweMayawa = Matapeli. Walikuwa hadi wanachukua fedha za wafadhili wanaingiza kwenye vanilla!
Unafikiri kuipata hiyo kg ni rahisi? Unafikiri maharage hayo?Hizo bei 32,000, 30000, 50000
Ni kwa kg au
Ova
Serikali haihusikiWafungue mipaka