Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]
 
Japan hawana huo ujinga na kamwe hawawezi kufanya hvyo. Export Certificate itawaumbua.
 
Kaka nna kesi kama yako hiyo cjui unanisaidiaje

Hiyo gari itashushwa mikeage ikifika tu kea sababu ni kitendo cha dakika chavhe tu. Labda ungekuwa na agent wako lakimi kwa taratibu za bandari si rahisi ukaisimamia. So solution ni kuwaiomalia kuanzia sasa na kuwaonyesha ushahidi keamba hiyo gari haina hiyo mileage, kuwaonya utawashyaki pia na kuwachomea na kuwaharibia
 
Kaka mpaka sasa nsharipoti mpaka police....ila police wameniambia nisubiri gari ifike then itafanyiwa ukaguzi
 
Hapa bado nipo dilemma ila nasikilizia documents za gari nione tu tunabanana vipi...mana wao waliniambia gari ina km 36000 lakini baada ya kupata chasis number nakuta gari ina km 183000km 😥
Mkuu haya mambo yanasikitisha sana....

Nakushauri hold hiyo hela nusu mpaka ukague gari itakapofika. Muandikishiane kila kitu. Then baada ya ukaguzi ukiridhika na gari chukua. Usiporidhika wakupe chako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…