Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Kwa mjibu wa Sheria za nchi hiyo hata mfungwa akitoroka jela wanaowajibika NI familia yake kuanzia baba, mama, Kaka, dada, mjomba, shangazi, Bibi, Babu nk
familia yake imeuliwa ?
 
Duh,na mijananchi ya huko imekaa tu hata haindamani kupinga,yaani uhai uondokw kwa kosa la hivyo kweli,huyo dogo ni zaidi ya sheitwan aisee
Unaweza andamana kwenye nchi ambayo haijali na kuheshimu haki za Binadamu?

Unajua kilichowakuta wachina kwenye uwanja wa Tiananmen Square Wachina walipojaribu kuandamana?

Unajua kilichofangika kwa wagonjwa wa covid 19 huko China?
 
May 30, 2021 by Global Publishers

kim.jpg

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuwawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.

Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani mbele ya watu 500, ikiwa ni fundisho kwa watu wengine wanaouza filamu kutoka nje.

Kiongozi wa taifa hilo Kim Jon Un alipiga marufuku kuangalia filamu za nje kwa kuhofia nchi kuingia kwenye utamaduni wa nchi za magharibi.

Taarifa zinaseama watu zaidi ya 20 wamekamatwa kwa kosa hilo la kuuza filamu na Muziki na wanatarajiwa kuhumiwa kwani wameunja sheria za nchi hiyo.

Aidha unaweza kufungwa miaka saba jela kwa kosa kutotoa taarifa za mtu anayeuza filamu na Cd za Muziki kwa polisi.
Huyo Dogo ana ukatili wa kutisha kiasi hicho!

Kwa nini awafanyie unyama kiasi hicho wakorea wenzake??

Hivi anadhani yeye ataishi milele hapa duniani??
 
Kwa Korea kaskazini,bado inaenzi sheria za babu yao jumong,ukikaidi tamko la mkuu wa nchi,wewe unahesabiwa ni treitous,hivyo unapewa death pernate kwa kosa la treason.iko hivyo kwa Korea kaskazini Hadi leo bado viongozi wao wanaidumisha hii sheria.
 
May 30, 2021 by Global Publishers

kim.jpg

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuwawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.

Lee pamoja na familia yake walipigwa risasi uwanjani mbele ya watu 500, ikiwa ni fundisho kwa watu wengine wanaouza filamu kutoka nje.

Kiongozi wa taifa hilo Kim Jon Un alipiga marufuku kuangalia filamu za nje kwa kuhofia nchi kuingia kwenye utamaduni wa nchi za magharibi.

Taarifa zinaseama watu zaidi ya 20 wamekamatwa kwa kosa hilo la kuuza filamu na Muziki na wanatarajiwa kuhumiwa kwani wameunja sheria za nchi hiyo.

Aidha unaweza kufungwa miaka saba jela kwa kosa kutotoa taarifa za mtu anayeuza filamu na Cd za Muziki kwa polisi.
Hata Sisi tuige mfano tuache kuleta story za nchi za Nje!? Zinamathara kama Korea Kaskazini wameanza kila mtu ataanza kulindwa story zake hata YouTube iwe ni ya nchi husika yaani YouTube Tanzania..."Kwenye neno Tamani"
 
Back
Top Bottom