Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Kim Jong-Un aagiza muuza filamu kupigwa risasi hadharani

Pia inasemekana nchi hii inaongoza duniani kwa mabalozi wake kuto Rudi nyumbani baada ya kumaliza muda wake.Kwani wafikapo ughaibuni wanashangaa mambo yalivyo na kujikuta wameingia sayari nyingine.
Ukiwa Korea kas mambo yafuatayo NI mwiko kuyafanya:-
1.kutumia Google
2.kutumia mtandao wowote wa kijamii
3.kuangalia tv yoyote ya nje,wao Wana Chanel zao 3 basi.
4.kukutwa na biblia
5.kutopiga au kuharibu kura,kumbuka mgombea ni mmoja ambaye ni Rais wa Sasa.
6.kuingia mji mkuu Piyong'ayang ni lazima uwe na kibali.Walioruhusiwa kuishi huko ni matajiri na watu waiifu kwa serikali.
Ukikiuka Sheria hizi adhabu yake kuimudu ni vigumu.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa,huko hata Corona haikufika
 
Unaweza andamana kwenye nchi ambayo haijali na kuheshimu haki za Binadamu?

Unajua kilichowakuta wachina kwenye uwanja wa Tiananmen Square Wachina walipojaribu kuandamana?

Unajua kilichofangika kwa wagonjwa wa covid 19 huko China?
Ni kweli ila kwa hili linafikirisha sana,yaani kuuza hizo muvi ndio uhai wa mtu uondoke kweli,kuna nchi zina viongozi wenye laana sana aisee
 
Huyu jamaa anatengeneza bomu litakalokuja kuuwa wengj
 
Na sisi JIWE angeendelea kuwa hai tulikuwa tunaeleea huko.
R.I.P
BEN SAANANE
AZORY GWANDA
LWAJABE
AQWELINA
NA WENGINEO.
 
Kila jambo lina mwisho, damu yao i juu yake na watoto wake
 
Back
Top Bottom