raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Engonga nae Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wa kufuata ndiyo hao sasaTukifuata msingi alioweka Mungu, NDOA zitaimarika zaidi.
Mzazi ni muungu wa pili baada ya Mungu sababu amepewa nafasi hiyo na Mungu.Yesu akusema ila makanisa yenu na nyinyi wakristo ndiyo mlio tunga uongo wa kujikweza kwa kujitukuza mbele ya watoto wenu kwa kujitambulisha kuwa nyinyi ni miungu wa pili ...huko ndiyo kujikweza ...yesu alikataza hata kuitwa bwana na mwalimu akisema msiitwe bwana wala mwalimu kwa kuwa bwana wenu ni mmoja na mwalimu wenu ni mmoja ...tena akasema aliye mkuu kati yenu ni yule aliye mtumishi chini ya wote.
Engonga ndio nn?Engonga nae Mungu
Kiafrika, inatafsirika hivyo.Sasa kukaa kiti cha mbele nayo heshima....??!!
Ndio sisi Hawa Mimi na wewe na shemeji.Hao wa kufuata ndiyo hao sasa
Hivi Rais anakaa kiti gani...kwenye gariKiafrika, inatafsirika hivyo.
“Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.Salaam, shalom!!
Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba,
Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.
Mlio ndani ya NDOA, mnaowapa wake zenu nafasi ya kwanza baada ya Mungu, mnakosea sana ikiwa wazazi wenu Bado wako hai.
Hawa watumishi wa siku hizi wanapotosha sana, mmoja akasema, katika gari yake, aliye na nafasi ya kukaa KITI Cha mbele ni mke wake pekee, kama hayupo KITI hicho kitabaki wazi akimaanisha Upendo Kwa mkewe na nafasi anayompa.
Tufuate mfumo alioweka Mungu Ili tuwe salama.
NB: Mamlaka ya wazazi ni nje ya chumba Chumba Cha wanandoa, ni ya kiushauri na kiheshima tu kama miungu wetu duniani baada ya Mungu.
Karibuni 🙏
Kuna mtu ameitambulisha familia yake majuzi humu, ukiwatazama watoto copyright na shemejiNdio sisi Hawa Mimi na wewe na shemeji.
Kumbe leo mnaanza kukana kuwa nyinyi sio mnaosema BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU MZAZI ...kumbe wanao sema hivyo ni wavuta bangi ? Mbona atujawahi kukusikia mkiwakosoa hao wanao sema hayo maneno maana vi vijana wengi sana utawasikia wanaongea kuwa bora kumtukana baba mzazi kuliko mama tena awakuishia hapo kwa upumbavu bali wakavuka na mipaka na kusema laana kubwa ni ile itokayo kwa mama kuliko baba ! Hata hapo kwenye laana pana upotofu mkubwa watu amjiulizi kwanini ...yakobo na esau walikuwa wanagombania baraka kutoka kwa baba yao Isaka na si mama yao mzazi je kwanini mama yao naye alishiriki kutafuta baraka za isaka kwa mtoto aliye mpenda zaidi kwanini asingesema kuwa kama isaka atampa baraka esau basi mimi mama yao nitampa baraka yakobo?..tumieni akiliSijasema hilo mkuu hata kumtukana mpita njia haiwezekane sembuse baba mzazi mkuu acha bagi tafadhari.
Salaam, shalom!!
Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba,
Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.
Mlio ndani ya NDOA, mnaowapa wake zenu nafasi ya kwanza baada ya Mungu, mnakosea sana ikiwa wazazi wenu Bado wako hai.
Hawa watumishi wa siku hizi wanapotosha sana, mmoja akasema, katika gari yake, aliye na nafasi ya kukaa KITI Cha mbele ni mke wake pekee, kama hayupo KITI hicho kitabaki wazi akimaanisha Upendo Kwa mkewe na nafasi anayompa.
Tufuate mfumo alioweka Mungu Ili tuwe salama.
NB: Mamlaka ya wazazi ni nje ya chumba Chumba Cha wanandoa, ni ya kiushauri na kiheshima tu kama miungu wetu duniani baada ya Mungu.
Karibuni 🙏
Tunaongelea familia.Hivi Rais anakaa kiti gani...kwenye gari
Tumia akili yesu kasema aliye mkuu ni yule aliye mdogo na mtumishi chini ya wote ...je mitume awakuwa na wazazi je mitume na wazazi wao ni yupi.mkuu mbele za mungu ...mfano mtume musa na wazazi wake ni yupi mkuu je yesu na wazazi wake ni yupi mkuu ? Je Mariamu ni mungu wa yesu ?Mzazi ni muungu wa pili baada ya Mungu sababu amepewa nafasi hiyo na Mungu.
Kumuheshimu mzazi ambaye tayari amejishusha Kwa kuwatumikia watoto na kuwalea, isitafsirike kuwa huko ni kuwakweza ,hapana.
Sasa aliye mwili mmoja nawe, iweje umpe nafasi ya kwanza zaidi hata ya wazazi🤔Mwalimu, kuwa mwili mmoja ni jambo kubwa zaidi. "nyama katika nyama zangu; mifupa katika mifupa yangu"
Mzazi ni muungu wa pili baada ya Mungu sababu amepewa nafasi hiyo na Mungu.
Kumuheshimu mzazi ambaye tayari amejishusha Kwa kuwatumikia watoto na kuwalea, isitafsirike kuwa huko ni kuwakweza ,hapana.
Sasa aliye mwili mmoja nawe, iweje umpe nafasi ya kwanza zaidi hata ya wazazi🤔
Kwahiyo ukaona kuliko kuwaheshimu wazazi wa kimwili na kiroho kimamlaka ni Bora mamlaka hayo umpe mkeo🤔NiLikuwa nasoma nilipofika hapa nikaacha
Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na kiroho.
wazazi wa kiroho ni uongo hao unaowaita wazazi kiroho ni walezi na ni washauri tu.
Mzazi awezi kuwa Mungu wa pili wala wa tatu ...mungu ni mmoja tu amri ya kwanza kabisa kati ya amri kumi imesema wazi na yesu mwenyewe aliulizwa swali.kuwa ni ipi amri iliyo kuu na ya kwanza ...kasomeni alicho jibu jesu wenu mwenyewe kuhusu mungu kuwa ni mmoja ....wakristo wa makanisani ni wapumbavu sana mnapotosha waziwazi mafundiyo ya biblia yenu wenyewe...mariamu awezi kuwa ni mungu kwa yesuhapa inategemea na mzazi mwenyewe alivyojiweka, Je anamfuata Kristo? maana Yesu anasema, apendaye baba au mama kuliko mimi hanifai!
tunaposoma kuhusu kuwaheshimu baba na mama tujue mpaka uliko ili tusije mkosea Mungu.
Apendaye baba na mama kuliko Mimi hanistahili,hapa inategemea na mzazi mwenyewe alivyojiweka, Je anamfuata Kristo? maana Yesu anasema, apendaye baba au mama kuliko mimi hanifai!
tunaposoma kuhusu kuwaheshimu baba na mama tujue mpaka uliko ili tusije mkosea Mungu.
“Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
”
— Mathayo 10:37 (Biblia Takatifu)