Sijakataa profesa LIPUMBA vuuu.Kwa majibu yako tu hauna uwezo wa kujenga hoja kwenye mambo muhimu you have to learn from your father mistake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakataa profesa LIPUMBA vuuu.Kwa majibu yako tu hauna uwezo wa kujenga hoja kwenye mambo muhimu you have to learn from your father mistake
HahahahaKuna tofauti ya kukimbia na kujihami.
Vinginevyo unapendekeza kufunga mahospitali kabisa mkuu.
Kwa mtaji huo Mfalme msukuma yuko na wewe bega kwa bega.
Yaani sikujua kama wewe unakariri kiasi hiki!Sikujua kuwa kumbe hata Wewe ni 'Empty Set' kiasi hiki. Kitaalam ( hasa Kijiografia ) kwa Mujibu wake Ndugu Samuel Mbuya wa TMA kasema kwamba hata kama Kimbunga kitakuwa Pwani ya nchi ila huwa kinapeleka madhara maeneo mengine ya nchi na Mikoa ambayo huwa ni 'Mhanga' mara nyingi huwa ni ya Mbeya, Rukwa na Iringa.
Na hii ni kutokana na Mgandamizo mkubwa kutokea Usawa wa Bahari kuelekea katika Misitu ya Kongo ( Congo ) ambayo Kijiografia pia huwa ni chanzo cha kutokea kwa Mvua Kubwa katika nchi jirani nae.
Akili umepata wapi wewe zaidi ya kukariri!?Sasa kama huna Akili utaachaje Kushangaa? Yaani Jiografia ndogo tu hii inawashinda mtaweza Kujadili mambo mengine makubwa? Nikiwadharau hapa msiwe mnanuna.
Hahahaha
Ndugu Yangu haujanitendea haki kabisa yaani Mimi ni mtaji marehemu POMBE?
Haya banaaaa!!
maskini poor uWewe huwa una uhafifu sana upande wa IQ
🤣🤣🤣🤣Jana baada ya mizunguko ya hapa na pale, niliingia mtaani kupiga story na kucheza draft.
Nilipo ingizia story za Mr JOBO, ndipo nilipokutana na hayo majibu.
Jamaa mmoja akaenda mbali na kusema....Mabeberu wanaweza test nuclear bomb kwenye maji ya TZ ili kutengeneza mawimbi, then wanafunga feni kama milioni hivi na kuzielekeza pwani ya TZ na kusababisha upepo mkali.
Na wewe unazan akili zako zinakutosha?Wewe huwa una uhafifu sana upande wa IQ
Upepo umeanzaMafia wingu tupu huku
....Ajabu, wakati hapa na Mbeya/Mwanza Wayu wanakanyaga Basi hadj 180/200!!...nini 60!![emoji15]Kilometa 60 kwa saa nayo tishio?
Lakini Hiyo hofu ikimfanya mtu akachukua familia yake akahamia Moro kwa siku mbili badala ya kusubiri kufa utakuwa imemsaidia.Picha hizi ni uncalled for,za nini?Hivi huoni kwamba unawaletea watu hofu?Ninyi mnatumiwa na Shetani.Hofu ni mbaya sana,inaleta Diabetes,HBP,Depression,Ulcers,Cancer and many other ailments.Please please stop it.
Wewe huna hofu ya kufariki?Punguza hofu, hautakuwa wa kwanza wala wa mwisho kufariki. Hofu ya nini sasa?
Wazo zuri Ila umeharibu ulipochomekea maswala ya lockdown.Mabibi na mabwana kwa bahati mbaya tumeendekeza sana kuchukulia poa hata palipo na hatari kubwa za wazi.
Kuitana majina ya ajabu ajabu uzalendo uchwara ukihusishwa. Misimiati imekuwa ikiasisiwa upya kama kuleteana taharuki, hofu nk. Vimekuwa vikihusishwa vita vikiwamo vya kiuchumi.
Haya yamekuwa si mageni katika jamii hii ambayo katika hali ya kushangaza hukereka mno kila ukweli unaposemwa bayana.
Koleo na likaitwe kwa jina lake, wajameni.
Ukweli mchungu maisha ni matamu mno kuliko kitu chochote. Hata Yesu (Nabii Issa) aliomba ikiwezekana kikombe kile kimuepuke.
Palikuwa na haja watu kuondoka au kuondolewa kabisa tokea sehemu zilizo hatarishi zaidi kuhusiana na kimbunga hiki. Hivi tuko kimya tuna chapa kazi!
Hiiiiii bagosha!
Haina tofauti na tulivyokuwa tunahamasishana kuendelea kuchapa kazi ili tuje kuwauzia chakula waliokuwa wako lockdown kama vile sisi ndiyo wenye hati miliki ya maisha. Tumeendelea hivyo hadi yakatuka na bado hatuwezi kujifunza.
Kimbunga kinakuja tusisubiri kumsingizia Mungu.
Kwingine majengo thabiti zaidi ya vyuo, shule na hata taasisi
hutumika kuwahami watu kwenye dharura kama hizi. Sisi kwetu serikali ni kukusanya kodi tu zikiwamo hizi za kina Zungu?
Hata kusogea Morogoro au Dodoma ilikuwa si haba katika jitihada za kupigania au kuwahami watu.
Tusimwachie Mungu tu. Jitihada zetu kuishi zapaswa kufanywa.
Palipo uwezekano watu washauriwe na hata wasaidiwe kuondoka kwenye makazi yao kupisha kimbunga hiki.
Hakikisha kuwa anakuona miongoni mwa wampa faraja wa kwanza kabisa kwake ,Mkuu !![emoji16]Mmoja wao ana Mke mzuri sana Ndugu.
Wazo zuri Ila umeharibu ulipochomekea maswala ya lockdown.
Mhh, hatari! Wanaalikwa kwenye baa za pombe kuona/ kusherehekea Kimbunga Jobo! Wanaweza wakashindwa kurudi nyumbani. Siku hiyo ni ya ku stay at home aka lockdown ukifuatilia habari mpya (updates) za huyo Jobo. Leo kapunguza kidogo kasi yake, bado hatujui kesho atakuwaje.
Kwa utukufu wa mwezi huu wa Ramadhani, huyo Jobo hatakaa akanyage Tz.Cha muhimu kesho wakazi wa Dar es Salaamu na Zanzibar kila mmoja aweke nyumbani chakula cha kutosha angalao wiki moja na mkaa/ gesi ya kupikia chakula hicho. Mambo ya futari na daku yanaweza kuahirishwa janga likitokea ninadhani. Au dini ya Kiislamu inaelekeza nini litokeapo janga kama hili wakati wa mfungo wa ramadhani?