Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Hahahaa ha haha. Askofu kafanya yake?

Ukweli mchungu kama beberu asingemtamka Jobo tungekuwa busy na magombesugu na midundiko.

Hatuna inputs au outputs zozote kwenye hili.

Sana sana tisibirie mrejesho tokea kwa wahanga.

Ila kujipanga kuwahami watu vilivyo ilikuwa ni noble duty.
Jana baada ya mizunguko ya hapa na pale, niliingia mtaani kupiga story na kucheza draft.
Nilipo ingizia story za Mr JOBO, ndipo nilipokutana na hayo majibu.
Jamaa mmoja akaenda mbali na kusema....Mabeberu wanaweza test nuclear bomb kwenye maji ya TZ ili kutengeneza mawimbi, then wanafunga feni kama milioni hivi na kuzielekeza pwani ya TZ na kusababisha upepo mkali.
 
Inatugharimu nini kujipanga kujihami au kuwahami watu kwa hatari inayoonekana kutuelekea?

Mzaha mzaha hutumbua usaha.

Aliyepanga kuwauzia wenziwe chakula kawaacha na njaa zao.

Maisha kwanza!
Ngoja sasa Maafa yatokee halafu utawaona wanasiasa na Mapolisi wao wataanza kuja na matamko na marufuku zao.

Hapo hapo msaada nao kama ukija utaliwa tu
 
Wadau, Kimbunga Jobo kimetajwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na mashirika mengine ya utabiri wa hali ya hewa ya kimataifa, kwamba kinakuja kuipiga Pwani ya Tanzania, ikimaanisha mikoa ya Tanga, Dar, Pwani, Mtwara, Lindi, Kisiwa cha Mafia na Unguja na Pemba.

Mimi ombi langu kwa Watanzania wenzangu, katika hili jambo, badala ya kukichukulia kimbunga hicho kama utani na mazoea (kwani kimewahi kutabiriwa halafu kikaisha nguvu), tuchukulie ni jambo la kumwomba Mungu kila mmoja kwa imani yake.

Tuitumie siku ya leo, Aprili 24, 2021 kuelekea tarehe 25, 4....kumwomba Mungu atupitishie mbali kimbunga hicho. Ikibidi 'kiyeyukie' hukohuko baharini.
 
Jana baada ya mizunguko ya hapa na pale, niliingia mtaani kupiga story na kucheza draft.
Nilipo ingizia story za Mr JOBO, ndipo nilipokutana na hayo majibu.
Jamaa mmoja akaenda mbali na kusema....Mabeberu wanaweza test nuclear bomb kwenye maji ya TZ ili kutengeneza mawimbi, then wanafunga feni kama milioni hivi na kuzielekeza pwani ya TZ na kusababisha upepo mkali.

Mwendazake alituharibia sana hii nchi.

Kaenda zake akiwa katikati ya kupanga bei za mazao tutakayowauzia jirani zetu waliojifungia kujikinga na ugonjwa uliomwondoa yeye.

Kweri tamaa mbele, mauti nyuma.
 
Mwendazake alituharibia sana hii nchi.

Kaenda zake akiwa katikati ya kupanga bei za mazao tukayowauzia jirani zetu waliojifungia kujikinga na ugonjwa uliomwondoa yeye.

Kweri tamaa mbele, mauti nyuma.
Kama angekuwepo angesema chapeni kazi msiwasikilize Mabeberu
 
Wewe huwa una uhafifu sana upande wa IQ

Huyo ni mtajwa wa wazi kwenye uzi:

"Haya yamekuwa si mageni katika jamii hii ambayo katika hali ya kushangaza hukereka mno kila ukweli unaposemwa bayana."

Hao hukereka kwa lolote la ukweli. Mitizamo yao ni ile inayopingana na ukweli wowote uliopo hata uwe wazi vipi.

Hiiiiii bagosha!
 
Mtupu updates huko watu wa pwani ili sisi wa huku tandahimba tupate kujua
 
Hivi inawezekana vipi binadamu kuwa na akili ndogo kiasi hiki?!Yaani watu wajichimbie kwenye maombi badala ya kuchukua tahadhari?

Mungu huwa analipa jitihada na wala siyo maombi.Maombi ambayo Mungu anataka yafanyike ni watu wachukue tahadhari.Kwani Mungu kakupa akili ya kazi gani?Sasa wewe uwe unaishi mabondeni huko halafu kataa kuhama ujichimbie kwenye maombi uone kama hautakufa!!
 
Back
Top Bottom