Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

Hizo ni stori tu kama hekaya za abnuasi, mizungu mioga kwenye vitu vidogo.
 
Mabibi na mabwana kwa bahati mbaya tumeendekeza sana kuchukulia poa hata palipo na hatari kubwa za wazi.

Kuitana majina ya ajabu ajabu uzalendo uchwara ukihusishwa. Misimiati imekuwa ikiasisiwa upya kama kuleteana taharuki, hofu nk. Vimekuwa vikihusishwa vita vikiwamo vya kiuchumi.

Haya yamekuwa si mageni katika jamii hii ambayo katika hali ya kushangaza hukereka mno kila ukweli unaposemwa bayana.

Koleo na likaitwe kwa jina lake, wajameni.

Ukweli mchungu maisha ni matamu mno kuliko kitu chochote. Hata Yesu (Nabii Issa) aliomba ikiwezekana kikombe kile kimuepuke.

Palikuwa na haja watu kuondoka au kuondolewa kabisa tokea sehemu zilizo hatarishi zaidi kuhusiana na kimbunga hiki. Hivi tuko kimya tuna chapa kazi!

Hiiiiii bagosha!

Haina tofauti na tulivyokuwa tunahamasishana kuendelea kuchapa kazi ili tuje kuwauzia chakula waliokuwa wako lockdown kama vile sisi ndiyo wenye hati miliki ya maisha. Tumeendelea hivyo hadi yakatuka na bado hatuwezi kujifunza.

Kimbunga kinakuja tusisubiri kumsingizia Mungu.

Kwingine majengo thabiti zaidi ya vyuo, shule na hata taasisi
hutumika kuwahami watu kwenye dharura kama hizi. Sisi kwetu serikali ni kukusanya kodi tu zikiwamo hizi za kina Zungu?

Hata kusogea Morogoro au Dodoma ilikuwa si haba katika jitihada za kupigania au kuwahami watu.

Tusimwachie Mungu tu. Jitihada zetu kuishi zapaswa kufanywa.

Palipo uwezekano watu washauriwe na hata wasaidiwe kuondoka kwenye makazi yao kupisha kimbunga hiki.
 
Na Miaka ijayo Vimbunga vitakuwa vikifululiza kwa hiyo kama kiwanja chako kiko karibu na Bahari jiandae.

Nimeona kuna kisiwa kimoja huko Australia kimepigwa Vimbunga mfululizo mpaka Wakazi wakakihama
 
Kwa jinsi kinavyoelezewa kuwa Kimbunga Jobo kitakuja kuna Uwezekano kikaleta MAAFA makubwa mno ya Vifo, Uharibifu na mengineyo hivyo basi Serikali ili Kurejesha hali ya Kawaida kutokana na Uharibifu huo itabidi iachane na Mpango wa Kuwaongeza Mishahara Watumishi wake kwa mwaka labda mpaka mwakani au hata baada ya 2025.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]una hamu ya kupigwa BAN na mimi
 
Mabibi na mabwana kwa bahati mbaya tumeendekeza sana kuchukulia poa hata palipo na hatari kubwa za wazi.

Kuitana majina ya ajabu ajabu uzalendo uchwara ukihusishwa. Misimiati imekuwa ikiasisiwa upya kama kuleteana taharuki, hofu nk. Hata yamekuwa si mageni katika jamii hii ambayo katika hali ya kushangaa hukereka mno kila ukweli unaposemwa bayana.

Koleo na likaitwe kwa jina lake, wajameni.

Ukweli mchungu maisha ni matamu mno kuliko kitu chochote. Hata Yesu (Nabii Issa) aliomba ikiwezekana kikombe kile kimuepuke.

Palikuwa na haja watu kuondoka au kuondolewa kabisa tokea sehemu zilizo hatarishi zaidi kuhusiana na kimbunga hiki. Hivi tuko kimya tuna chapa kazi!

Hiiiiii bagosha!

Haina tofauti na tulivyokuwa tunahamasishana kuendelea kuchapa kazi ili tuje kuwauzia chakula waliokuwa wako lockdown kama vile sisi ndiyo wenye hati miliki ya maisha. Tumeendelea hivyo hadi yakatuka na bado hatuwezi kujifunza.

Kimbunga kinakuja tusisubiri kumsingizia Mungu.

Kwingine majengo thabiti zaidi ya vyuo, shule na hata taasisi
hutumika kuwahami watu kwenye dharura kama hizi. Sisi kwetu serikali ni kukusanya kodi tu zikiwamo hizi za kina Zungu?

Hata kusogea Morogoro au Dodoma ilikuwa si haba katika jitihada za kupigania au kuwahami watu.

Tusimwachie Mungu tu. Jitihada zetu kuishi zapaswa kufanywa.

Palipo uwezekano watu washauriwe na hata wasaidiwe kuondoka kwenye makazi yao kupisha kimbunga hiki.
Naambiwa hapa kuwa JOBO ameamua kukata kona na kurudi alipotoka.
Inasemekana JOBO Alikuja kuitest TZ, so ameona TZ hapaingiliki na ameamua kusepa zake.
 
Hahahaa ha haha. Askofu kafanya yake?

Ukweli mchungu kama beberu asingemtamka Jobo tungekuwa busy na magombesugu na midundiko.

Hatuna inputs au outputs zozote kwenye hili.

Sana sana tisibirie mrejesho tokea kwa wahanga.

Ila kujipanga kuwahami watu vilivyo ilikuwa ni noble duty.
 
Back
Top Bottom