Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

siku zote chadema ndio huanza uchokozi mbona hilo lipo wazi ndugu
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Kuna jambo litakuja kutukia soon! Hawataamini siku vyombo vya Dola vitakapowageuka! Muda ni mwl mzuri.
 
Msitukane au kuzusha tu..hapo mtawaona tofauti
 
Huyo jamaa sio yeye ila ni kwamba huyo aliepiga picha hausiki chochote na mambo ya ulinzi na usalama na wala hausiki na hao polisi ni kweli jamaa aliomba kuingia kwenye gari la polisi ambalo lilienda hadi mwisho wa maandamano likiwa kama escort.
Wivu
 
Jamani Mama akienda na hiyo Picha huko Ulaya na US si anaenda kuvuta Madola?
 
Uko sahihi
Shukrani na hongereni kwa maandamano maana mnapigania haki za wote hadi wale wasiotaka kuwaunga mkono kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi huku wanaumia na bei za sukari na umeme hao ni wapuuzi walioukataa ukweli ambao wanaujua fika.
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Police imenajisiwa na ccm , tusiwateee kwa ichi kidogo
 
Kwani polisi huwa wana tatizo gani mkiandamana bila kutishia kuvunja amani?
Mnapotishia Kuleta purukushani mitaani ndipo Fanya Fujo Uone wanapowapa kibano cha mbwa koko.
 
Kwani polisi huwa wana tatizo gani mkiandamana bila kutishia kuvunja amani?
Mnapotishia Kuleta purukushani mitaani ndipo Fanya Fujo Uone wanapowapa kibano cha mbwa koko.
Sio kwamba ghasia nyingine wanaanzisha polisi wenyewe?
Mfano kule Mbea waligonganisha msafara wa naibu waziri mkuu na waandamanaji. Hapo polisi ndio walishindwa kuratibu njia za kupitia
 
Back
Top Bottom