Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Shida ni ccm na crew yake ya wala Asali
 
Mwandamanaji alikuwa amechoka kapewa Lifti na Polisi
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.
Punguzeni ujuaji, nani alikwambia undercover anaweza jiweka wazi hivyo? Movie na ujuaji wa kijinga ndio zinatuharibu wabongo.
 
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye nyadhifa za juu za jeshi hilo .

Hebu angalia Askari huyu alivyomsaidia Mwandamanaji wa Arusha Mjini aliyechoka mwili huku Moyo wake ukitaka kufika mwisho wa Maandamano , kwenye viwanja vya Reli .

View attachment 2919160
Niishie kusema
"WANAFIKI ISHI NAO KINAFIKI"
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.

Kwa kweli kiongozi
 
Back
Top Bottom