Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

Shida ni ccm na crew yake ya wala Asali
 
Mwandamanaji alikuwa amechoka kapewa Lifti na Polisi
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.
Punguzeni ujuaji, nani alikwambia undercover anaweza jiweka wazi hivyo? Movie na ujuaji wa kijinga ndio zinatuharibu wabongo.
 
Niishie kusema
"WANAFIKI ISHI NAO KINAFIKI"
 
Huyo ni askari mwenza. Ni kitengo maalumu, hapo yupo kazini. Tatizo vijana hamuijui nchi hii vizuri. Hamjui ishu za ulinzi na usalama wa nchi hii zinavvyoenda. Ipo siku nitawapa hints kidogo maana kuna mambo siwezi kuyaweka hapa.

Kwa kweli kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…