Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kuna upendeleo mkubwa kwenye suala la maji na umeme. Ninapoishi kila siku maji na umeme vipo muda wote.Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji.
Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo sasa hivi haipo.
Kibaha ipi..Jana wakazi wa Kibaha hawakulala baada ya kupata mgao wao wa maji baada ya siku 5 nzima bila hiyo huduma... Baadhi walijaza mpaka vijiko kwakuwa hawajui yakikatwa yatarudishwa lini
Baadhi ya maeneo ya Ununio na Mbweni maji sio shidaNashangaa sana nikisikia shida ya Maji. Mimi nipo dar , Na mahali nakaa sijawahi kuona maji yakikatika
Kwakweli ni upendeleo wa ajabu, afadhali hata wangeweka kila sehemu iwe siku mbili kwa wiki tabu isingekuwepo.Kuna upendeleo mkubwa kwenye suala la maji na umeme. Ninapoishi kila siku maji na umeme vipo muda wote.
Mkuu usalama wa maji ya visima vifupi ni kwa maji ya vijijini tu, lakini kwa mjini maji ya visima vifupi ni maji taka.Tujiandae tu kuchimba visima binafsi, utapata na ziada ya kuwapa majirani na ya kuchangia ngarama za umeme na pump
Mkuu umenichekesha sana.ππMkuu usalama wa maji ya visima vifupi ni kwa maji ya vijijini tu, lakini kwa mjini maji ya visima vifupi ni maji taka.
Kinachochujwa na udongo hapo mkuu ni ile "mboji" tu inayoweza kuonekana kwa macho makavu, lakini bacteria na micro organisms wengine wote walio"contaminate" tokea kwenye mavyoo huko hubakia.Mkuu umenichekesha sana.ππ
Tulifundishwa shule kwamba ardhi inachuja hivyo yatakuwa ni masafi.
Za miujiza ya kitanzaniaπKwa shekeli gani [emoji23]
Kwa sababu maeneo hayo mengi ndipo wanapoishi high government officalsMbona siskii watu wa masaki, msasani, mbezi beach wakilalamika?
Bila shaka uko Mbweni JKT sio mkuuNashangaa sana nikisikia shida ya Maji. Mimi nipo dar , Na mahali nakaa sijawahi kuona maji yakikatika
Wachawi tungekuwa na utashi hiki ndio kingekuwa kipindi chetu cha kuonesha uwezoZa miujiza ya kitanzania[emoji1]
πππππ r.i.p DawasaR.i.p Tanzania R.i.p Wazari wa Maji na Naibu wake R.i.p Dawasa
Watu waliopo madarakani hawana upeo mkubwa.Hahaa poleni sana ndugu zangu , maziwa yapo, mito ipo, visima vipi, looh hatari sana jamani na vile vile bahari ipo
Visima vya aina hii vilipigwa marufuku kwa kuwekewa tozo za kutosha , na mlipishaji ni huyo hyo dawasaTujiandae tu kuchimba visima binafsi, utapata na ziada ya kuwapa majirani na ya kuchangia ngarama za umeme na pump