Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Dunia ya kigaidi, ile ya kistaarabu hamas ni magaidi
Unaowaita wastaarabu Spain,Brazil,Belgium hao ndio wamekataa kuwatambua Hamas kama magaidi.
Wewe maskini mlala hoi wa Temeke ni nani mpaka uwaite Hamas magaidi?
Spain anapata faida gani kumtetea Hamas!?
Au Spain nao nchi ya magaidi!??
 
This is a fallacy of generalisation.
 
Unaowaita wastaarabu Spain,Brazil,Belgium hao ndio wamekataa kuwatambua Hamas kama magaidi.
Wewe maskini mlala hoi wa Temeke ni nani mpaka uwaite Hamas magaidi?
Spain anapata faida gani kumtetea Hamas!?
Au Spain nao nchi ya magaidi!??
Labda Spain ya mme wako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Bwabwa hili.
Hajui kama Spain ilisimama solidarity na Palestina.
Na leo kama sio jana Spain ni moja ya taifa linaloitambua Palestina kama taifa huru.
Na tamko wametoa hadharani kupitia government officials wao.
 
Ama kweli wazungu walituchukulia sisi maboya.

Sasa hapa sijui wataleta uongo gani kwa picha kama hizi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Uwe makini unapojadili mada za mliganyo, unasema wazungu waongo na ni watu wabaya je ni watu Gani ni wazuri kwako
 
Thread za kujifariji tu hizi ila mzigo wanaopiga IDF pale GAZA hakika jamaa ni watabe mno, IDF ni mojawapo ya jeshi Bora kabisa duniani.

Mbugi Inapigwa GAZA, inapigwa LEBANON inapigwa SYRIA tena kwa wakat mmoja na kwa ufanisi mkubwa sio jambo dogo.
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Israel. Mwaka sasa unaisha vijana elf 20 tu wa Hamas wasiokuwa na kifaru wala ndege yoyote ya jeshi wameshindwa kumalizwa, mateka wameshindwa kuokolewa na matakwa yao ya kusimamisha yamekataliwa.

Juzi Netanyahu alikuwa analalamika kuwa vita yao imeshindwa kufikia malengo ya kuwamaliza Hamas Na kuokoa mateka kutokana na kunyimwa baadhi ya silaha na Marekani. Yani nchi nzima inategemea silaha za Marekani ili kulishinda kundi la vijana elf 20 tu wasiokuwa na silaha za maana. Inaonekana Hamas wakikaza mwaka mungine Israel itatumia mpaka bunduki wanazowapaga polisi kulinda raia.

Sasa hawa ndo wanaweza kuingia vitani na nchi yenye jeshi na silaha kamili zenye uwezo mkubwa wa kuangamiza kama Iran.

Hezbullah tu tayar ishawaweka tumbo joto. Na juzi Marekani ilituma mjumbe wake akatulize mivutano, hezbullah wakamtimua mjumbe huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uongo mkubwa nilioaminishwa na wazungu kua kuna haki za binaadamu pamoja na mahakama ya uhalifu wa kivita, kumbe haki za binaadamu ni kwa ajili ya wazungu tu na mahakama ya uhalifu wa kivita ni maalumu tu kwa wale wanaenda kinyume na maslahi yao.
Hii dunia imejaa unafki wa kiwango cha standard gauge.
 
Kuna uongo mwingi tulidanganywa na wazungu zama za giza. Lakin kama wasemavyo wahenga kuwa muda ni mwalimu mzuri anaeweza kukuonesha au kukufundisha kile usichokijua.

Sasa muda umewadia wa kuanza kuuona uongo, ukatili na unafiki wao mkubwa. Sema bado wana mijinga yao inayoendelea kuwaamini.
 
Hata huyo Mungu unaesema kawaumbua ni wa kwao kwaiyo hata kusanuka kwako bado hakuja kusaidia kitu.
Acha ujinga kijana. Kwani kuna mtu ana Mungu wake peke yake!!

Mungu ni wa kila mtu na anapoumbua humuumbua yule au wale wanaotakiwa kuumbuliwa. Swala la kusema wao wana Mungu wao ni kutaka kujitengenisha na Mungu yani ionekane wao wana Mungu wao na wew ulieandika hivi una shetani wako.

Hakuna Mungu ataeshirikiana na mashoga kuwapa ushindi, mpaka waache kutumia vijambio vyao kuwabong'olea wanaume wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…