Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Ni sawa na pale zanzibar wanaupinga ukristo kwa nguvu sana hata wakristo wanaowaita filauni nk kwamba hawana dini, wenye dhambi ila wazungu ambao ndiyo wenye huo ukristo ndiyo wanapigiwa magoti kwa misaada na ndiyo waliojaa zanzibar na kuwekeza mahoteli.

But ukisikia midomo iliyofungukabkwa kuwakejeli wakristo unashangaa, ndiyo maana hizi dini nipo nazo kwa umakini mkubwa sana, natumia akili ya njiwa!.
Ukristo sio dini ya kizungu kaka, Imetokea masharikj ya kati kama wewe ni muislam unajua hilo na kama wewe ni mwana historia utajua Ukristo Umeingia Ethopia Afrika kabla ya kuingia kwa mzungu. Ninaamini ndugu zangu wengi wa kiislamu wameanza kupotoshwa kuhusu Ukristo ni nini na historia yake na wenyewe wanarudia kama kasuku bila kuchunguza au kuwa na majidiliano ya amani..
 
Whatever mkuu, my point is nazungumzia wazungu waliouleta ukristo hapa Afrika Mashariki.
 
Mpaka sasa uliem quote hajajitokeza kutoa maoni yake. Wengi wamelishwa matango pori na walimu wao.
 
Tatizo lenu ninyi wagalatia wa Namtumbo mnadhani kila kitu kikielezwa kuhusu Israel basi ni ufia dini.
Ukweli mchungu ni kuwa Israel ni jeshi dhaifu.
Wewe una deploy wanajeshi laki sita na jeshi la akiba la wanajeshi laki tatu kupigana na kikundi cha wanamgambo elfu ishirini na bado unashindwa kuokoa mateka are you serious?
Tuache ushabiki kaka.
Mwezi wa nne unaenda Gaza sio kubwa ni kama Temeke tu ila wanajeshi zaidi ya laki sita wameshindwa kuwamaliza hamas na kuokoa mateka huku wakiagiza silaha toka USA na UK kila uchwao.
Embu fungueni akili ninyi jamaa.
Turkiye mwaka jana katikati iliposhambuliwa na PKK ilizama ndani ya Syria ndani ya kurdish controlled area na kufanya ground operation wakiwa na makamanda wasiozidi 120 wakakamata rundo la PKK na kuua mamia .
Mpaka sasa si jeshi wala mosad waliofanikiwa kuwakomboa mateka.

Ni mwendo wa kuua ua hovyo tu raia bila kufanikiwa kuokoa mateka hata watano.
 
We kijana muongo.
Una ushahidi kuwa watoto wanaozaliwa Gaza wanashikishwa silaha?
Mbona una baseless claims tena za kitoto sana za kuchekesha?
IDF wanadai Hamas wanajificha nyuma ya raia ila ww unadai mengine.
Kusema hamas walijiandaa zaidi ya miaka 20 ni uongo.
Maana hata 2021 Hamas walishambuliana na israel.
KAMA KWELI ISRAEL KIDUME AKOMBOE MATEKA TUNASUBIRI HAPA TUWAONE MATEKA.
Unajiitaje una nguvu unatoa jeshi mpaka la akiba kupigana na kundi la watu maelfu??
Naona mpaka leo jamaa hajaja kujibu hoja yako. Huu ni uthibitisho kuwa uliem quote hajui chochote kinachoendelea huko Mashariki ya kati.
 
Wanaropokaga tu na stori za vijiweni hawa jamaa.
Na ukichunguza ukute hawana chochote kichwani.
 
If you can't beat them,join them! Ipende tu Israel kwa sababu inapigania haki yake ya kuishi katika ardhi yake ambayo Mungu aliwapa babu zake Ibrahim,Isaka na Yakobo.
 
Kushutumiwa na nani? Faiza fax au? Waandishi wengi wa Al-Jazeera ni magaidi, wamegundulika kuitumikia Hamas ndio maana wengi wameuawa
Ona hii mtu inaropoka nini.
Hivi unajua Al jazeera iliwahi pokea tuzo ya chombo bora cha habari zaidi ya mara moja tena tuzo iloanzishwa na Marekani na Mmarekani!?
Na dunia inaitambua Hamas kama political organisation imekataa kuitambua Hamas kama kundi la kigaidi.
 
Wanaropokaga tu na stori za vijiweni hawa jamaa.
Na ukichunguza ukute hawana chochote kichwani.
Wengi vichwani ni weupe, wanakimbilia kuandika upuuzi sababu ya mihemko yao tu.
 
If you can't beat them,join them! Ipende tu Israel kwa sababu inapigania haki yake ya kuishi katika ardhi yake ambayo Mungu aliwapa babu zake Ibrahim,Isaka na Yakobo.
Acha kuwa mjinga na kukubali kukaririshwa maneno ya kijinga jinga. Hiyo ardhi walipewa siku gani na wakati wanaotawala wametokea Ulaya?
Toka lini mzungu arisishwe ardhi na babu yake katika maeneo ambayo hayana asili ya wazungu?

Hao kina Ibrahim, Isihaka na Yakobo unajuaje kama walikuwa ni wazungu kama hawa kina Netanyahu?

Au unamaanisha ardhi waliyoinyang'anya kutokwa kwa wazawa kama walivyofanya huko Marekani, Canada, Australia, New Zealand na kwengine walitaka kufanya hivyo ni Msumbiji na Afrika kusini ila kwa bahati nzuri waafrika tukawakalia kooni hadi wakaziacha ardhi za ndugu zetu.

Hizo habari za huyo mungu wao na upuuzi mwingine ndio zilizowasaidia kututawala na kuendelea kututawala mpaka leo. Nyinyi ndio mnaofanya Afrika iendelee kuonekana kuwa ina watu wa hovyo zaidi hapa duniani kuliko bara lolote lile ulimwengu.

Hebu msome vizuri raisi wa China hapo pichani alaf upime na haya maneno yako ulioyaandika hapa uone kama kuna kitu alichokosea.
 
Attachments

  • FB_IMG_17118944407352949.jpg
    FB_IMG_17118944407352949.jpg
    55.7 KB · Views: 5
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 4
Ona hii mtu inaropoka nini.
Hivi unajua Al jazeera iliwahi pokea tuzo ya chombo bora cha habari zaidi ya mara moja tena tuzo iloanzishwa na Marekani na Mmarekani!?
Na dunia inaitambua Hamas kama political organisation imekataa kuitambua Hamas kama kundi la kigaidi.
Achana nae huyo mkuu. Haya unayoandika hapa unapoteza tu muda wako kumuelewesha myahudi wa bonyokwa ambae ameaminishwa mambo mengi ya uongo kuhusu Israel na yeye akayakubali.
 
Wewe ni nani huko kwa wavaakobazi?mana mnamchukia mzungu ila mnatumia vitu vyake.

Hata watoto wa machief na watawala wa miaka hy walikuwa na akili km yako. Yaan kwakuwa wazungu ndio wamesimama ktk nafasi kubwa ya baadh ya mahitaj ya kibinadam bas ndio tuendelee kuwaona ni weka wakat wanatumaliza na kutudanganya...............

wanatengeneza ponpon kwaajil ya watot wetu bas akil za watu weng wanaona kama magodolo yamesalimika wakat tunazid kuangamia............🧐
 
Mimi uongo mkubwa niliowahi kulishwa na hao washenzi nikwamba israhell imepigana na mataifa ya kiarabu kwa siku sita

Ila israhell hio hio imeshindwa kuwamaliza hamas kwenye kaeneo kama kigamboni

Ila uzuri nikwamba binafsi nilianza kuwastukia hawa majamaa wa west kama washenzi kwenye ishu ya nyani

Yaani sisi manyani halaf ndio wanaadam mbwa wale

Suala la Russia no koment zaidi ya kua Russia ni taifa teule

Mwisho israhell over-rated
Utofautishe six days war, waliweza yes but then mataifa ya kiarabu yalikuwa na majeshi duni tofauti na sasa.
Kinacho washinda kuwamaliza hamas ni raia walio katikati, ni vigumu sana kushinda vita ambayo raia wako inbetween. US analijua hili vizuri
 
Hata watoto wa machief na watawala wa miaka hy walikuwa na akili km yako. Yaan kwakuwa wazungu ndio wamesimama ktk nafasi kubwa ya baadh ya mahitaj ya kibinadam bas ndio tuendelee kuwaona ni weka wakat wanatumaliza na kutudanganya...............

wanatengeneza ponpon kwaajil ya watot wetu bas akil za watu weng wanaona kama magodolo yamesalimika wakat tunazid kuangamia............🧐
Huyo jamaa ni wa kumuonea huruma na kumdharau tu mkuu.
 
Utofautishe six days war, waliweza yes but then mataifa ya kiarabu yalikuwa na majeshi duni tofauti na sasa.
Kinacho washinda kuwamaliza hamas ni raia walio katikati, ni vigumu sana kushinda vita ambayo raia wako inbetween. US analijua hili vizuri
Hata hivyo bado ni aibu kubwa kwao. Haiwezekani jeshi la nchi nzima wakiwemo askari wengine wa akiba waingie vitani kupigana na kundi la watu wasiozidi elf 20.

Kinachowaaibisha zaidi ni kile kitendo cha kuendelea kulia lia ili waendelee kupewa silaha zaidi na Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Canada nk ili wapambane na vijana hao ambao wanatumia silaha duni walizotengeneza wenyewe.

Yani silaha zote walizowahi kupewa miaka zaidi ya 70 iliyopita, bado wanaona haziwezi kuwasaidia kuwashinda Hamas ambao hawana kifaru, meli ya kivita wala ndege isiyokuwa na rubani. Hii inaonesha kuwa kama Israel isingepewa silaha na nchi za magharibi miaka yote 70, au Hamas nao wangepata support ile ile wanayopata Israel na Ukraine basi leo hii Netanyahu na genge lake wangekuwa wameshaikimbia Israel kitambo sana.

Hii ni sawa sawa na familia ya watu wazima (Israel) wenye nyenzo zote, wapambane na watoto wadogo wasioruhusiwa kuwa na nyenzo (Hamas) halaf mijitu mikubwa hiyo ambayo ipo kundi zima na minyenzo yao ijigambe kuwa imeshinda kwa sababu ya kufanikiwa kuwasogeza watoto wasioruhusiwa kuwa na nyezo nyuma ya mapambano 😂😂😂
 
Wakati hii vita inafika the peak, ambae amekuwa akilia sana ni mataifa ya nje kusitish vita, why ? Because wanaopata shida si hamas, ni raia wa palestine. Sasa hizi pressure kutoka mataifa makubwa zinawafanya warudi nyuma. Raia wakiwa involved within area of conflicts vita inakuwa ngumu kutofautisha adui na raia, until then nawapa hongera mataifa ya nje na haki za binadamu kwa kuforce israel na hamas ku consider raia kwanza
 
Ona hii mtu inaropoka nini.
Hivi unajua Al jazeera iliwahi pokea tuzo ya chombo bora cha habari zaidi ya mara moja tena tuzo iloanzishwa na Marekani na Mmarekani!?
Na dunia inaitambua Hamas kama political organisation imekataa kuitambua Hamas kama kundi la kigaidi.
Dunia ya kigaidi, ile ya kistaarabu hamas ni magaidi
 
Wakati hii vita inafika the peak, ambae amekuwa akilia sana ni mataifa ya nje kusitish vita, why ? Because wanaopata shida si hamas, ni raia wa palestine. Sasa hizi pressure kutoka mataifa makubwa zinawafanya warudi nyuma. Raia wakiwa involved within area of conflicts vita inakuwa ngumu kutofautisha adui na raia, until then nawapa hongera mataifa ya nje na haki za binadamu kwa kuforce israel na hamas ku consider raia kwanza
Ya ni kweli kwa namna fulani, ila kwa namna nyingine ni unafiki mkubwa unaofanywa na baadhi ya hayo hayo mataifa makubwa kwa kuipatia Israel silaha nzito ambazo mataifa hayo yanajua fika kuwa ndio zinazotumika kuua hao raia.

Ilitakiwa wasitishe kuipa silaha Israel kama wanavyopinga Hamas kuwa nazo, hii ingesaidia kwa kiwango kikubwa kuokoa uhai wa hao raia, maana Israel isingekuwa na uwezo wa kuendelea na vita miezi mingine miwili mbele. Ingeondoa majeshi yake, ingepinga vitendo vya uvamizi katika ardhi za wapalestina huko west bank, ingepinga kukamata raia kuwatesa, kuwaua na wengine kuwafungulia kesi kila siku zisizokwisha. Ingeacha kuwakandamiza na kuruhusu haki zao za msingi kama shughuli za uvuvi, kufanya kazi kwa uhuru, kuwa na maji safi, umeme nk.

Raia wowote duniani huanzisha mashambulizi pale tu haki zao za msingi zinaponyang'anywa na kupewa watu wengine. Hivyo watu kama Hamas wamejikuta wanaingia mapambanoni baada ya haki zao za msingi kunyang'anywa na waisrael. Wanaona ni bora waingie mapambanoni na kama kufa wafe kuliko kuendelea kuvumilia ukandamizaji wa miaka na miaka.
 
Si kwa namna flani ila wanaopata shida ni raia wa palestine civilians period, is why kuna out cry kutoka mataifa mengine kuhusu hii vita. Hamas hana shida , israel hawana shida, wanaopigika ni raia zaid, maana hawa makazi yao yamekuwa uwanja wa vita bila kutarajia.
 
Back
Top Bottom