Bora sukuma gang wanaweza kuitikisha ccm kidogo kutoka na nguvu ya Magu huku mtaani ila siyo hawa waramba asali
Kenya sio Tanzania, Tanzania haifanani na Kenya hata Nusu wale walishawahi kuchinjana wao kwa wao zilimwagika damu kikaeleweka Mambo haya haya ya uchaguzi, niambie lini Tanzania kilinuka tukachinjana wenyewe kwa wenyewe?Eti maandamano kila jumatatu kuipinga serikali halali kabisa. Ule ni ujinga usiovumilika.
Ingekuwa TZ basi vyombo vya ulinzi na usalama vingewaonya, "mama mkanye mwanao, akiandamana tusilaumiane". 🫡
Sasa wewe andamana 😅.
Umesema Demoghasia au Demokrasia?Ndio
Hiyo ndio Demokrasia
Sasa nini kimetokea Kenya? Rutto anatakiwa kurejesha kwa wahisani unafikiri ataanza na watu wa chini akaacha wale waliokua nyuma yake?Katiba mpya ni kwa ajili ya kuondokana na Urais wa kifalme
Kenya sio Tanzania, Tanzania haifanani na Kenya hata Nusu wale walishawahi kuchinjana wao kwa wao zilimwagika damu kikaeleweka Mambo haya haya ya uchaguzi, niambie lini Tanzania kilinuka tukachinjana wenyewe kwa wenyewe?
Demokrasia hio ndio wengine wanavyoiita, kwamba usipoelewa basi unalianzisha yaan km tupo kwenye kikao na hatujakuelewa hatuna haja ya kukusikiliza tunaondoka na kukuachia meza na viti vyakoUnataka kuchinjana waanze na wewe?
Sasa nini kimetokea Kenya? Rutto anatakiwa kurejesha kwa wahisani unafikiri ataanza na watu wa chini akaacha wale waliokua nyuma yake?
oya chawa vipi?nasisi tuandamane hata Mimi nawewe basi Mana lisu nambowe washaalamba asali sio. wenzetu tena....Je wameiba chochote ?
Chato haiko Tanzania?!
Ulitaka ajenge Tanga
Uoga ni dhambiI can't demonstrate and making strikes in place where the country is under African leaders.
Kweli kabisa....Watawala wa kiafrica wote wanafanana tu hata Odinga akiingia still hatoweza leta changes,
Tatizo la Afrika sio nani aingie na asiingie , tatizo la Afrika ni mfumo. Huu mfumo wa SAsa umefail hauwezi leta mabadiliko.
Waafrika watafute namna ingine ya kujiongoza
Itafika tu, haijalishi itachukua muda gani.....Mtaendelea kuosuniri hiyo siku hadi Kaburini
Aliyeanzisha hayo ni mbongo mwenzako.Kwani sare ndiyo zinazofanya kazi?
Hizo sare zenu zimewasaidieni nini?
Uganda.Kuna majeshi yenye sare mbaya kuzidi kenya
Duuuh,wengi hivi...police haeafui dafu hapa..
Yapi!?Haya yanayoendelea yana tofauti gani na yale ya Lowasa?
Duuuh,wengi hivi...police haeafui dafu hapa..
Bongo hivi hatuwezi kabisaa