Waanzilishi wa hayo mafujo wana uraia pacha?
 
Chadema wanacho sahau ni kitu kimoja tu, kwamba kuwa na katiba nzuri nijambo moja, lakini utamaduni wa kuheshimu katiba na sheria kwa ujumla (ambalo ni jambo la msingi sana kuliko kuwa na katiba au sheria nzuri) ni jambo lingine.
Akina Lissu walikuwa wanausifia utawala wa Kenya lakini naona hivi sasa wameufyata😂😂
 
Africa vijana wanakufa kwa Mambo ambayo hayana Maana Kabisa Politicians can never change the life situations of someone else ,
Politicians Wana uwezo mkubwa wa kubadilisha maisha Yako, kwa sababu wao ndo watunga sera, wao ndo wamepanga ushuru na Kodi zote ambazo zinaweza kuwa nafuu au mzigo kwako. Mataifa yote duniani yanaendeshwa na wanasiasa, matajiri na viongozi wa dini, Hakuna taifa lilowahi kufanikiwa pasipo kuwa na support ya hayo makundi matatu.
 
Kwani viti vya maseneta, wabunge na asilimia alizopata Raila Odinga kwa katiba yao Ruto hawezi kwani kutengeneza serikali ya mseto?
 
MKUU WAKIKUJIBU UJE NIKO NAKUNYWA RUBISI
 
Hahaha juzi kati hapa ngo ya mbowe ilishabikia hahaha baada ya ruto kusema eti atayalinda maandamano. Hebu wayaitishw hapa bongo wapate kichapo cha mbwa koko
 
Ila wenzetu Kenya wapo mbali sana. Naangalia K24 mahojiano watu wanafunguka bila woga. Hii hapa Tanzania hata hii ya Samia huwezi kufunguka namna hiyo kwanza media zenyewe zitakuzimia mic

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kipind CUF ipo kwenye ubora wake tulikua tunayashuhudia hayo


Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
JanguKamaJangu umeshindwa kuweka updates za mada yako mkuu!.

Nilitegemea umeweka hata live link kutoka eneo la tukio mwishoe na wewe unasoma na unasikilizia tunaotoa comments.


https://www.facebook.com/
UPDATE:
Mzee bado ana dhamira hasa ya kufanya maandamano namuona yupo front line pamoja na njia zote kufungwa kuelekea Ikulu, anafanya mawasiliano na watu wake mpaka anapata njia mbadala.

Kuna sehemu unaona kabisa askali wanamuangalia na hawafanyi chochote but anaingia ndani ya gari ndipo wanapuliza moshi wa kuwasha macho 😂!.
 
Wenzio ukute sio kwamba wana njaa ya chakula kama wewe bali lengo kufikisha ujumbe kwa serikali juu ya mfumko wa bei.

Maandamano yana jumbe tofauti tofauti usikariri mkuu.

kawaulize wakenya, wenyewe watakuambia.
 
Kwa kifupi mzee RAO kafanikiwa na ambaye anaweza kupinga ni hivi, huyu mzee yupo front line mwenyewe na cha kushangaza hao askali they're close to him.

Na jambo lingine ile kutangaza mapumziko miji yote inaonekana ipo kimya watu wanakula long weekend.

Ile polisi kupiga watu na kuua haikupaswa kufanywa na polisi sababu ni dosari kisiasa kwa Rais aliyepo so inaweza kuwa si mafanikio ya pande zote japo mmoja inam_boost.

Rais alipaswa kutoka nje (on media) na kuongea jambo na siyo kujifungia ndani na familia yake!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…