Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

Samia, Majaliwa, Mpango, Florens Luoga... walikuwa wapi kipindi hicho?
Nzuri lipi mkuu? Mwendazake kaua sekita nyingi kwa kutaka sifa na umarufu wa kisiasa, hata vile vizuri alishindwa kuvifanyia business plan, kama ATC hamna anae isema ila inaingiza hasara kila siku.........mazuri yake ni ya kutafuta tu.
 
Pamoja na definition uliyoitoa ambapo kimsingi ni yq vitabuni, umevuruga kwa kutoka nje ya vitabu ulivyonukuu kwa kuanza kulaumu bila kuweka facts.

Uhalisia ni tofauti na hayo mavitabu na especially kwa TZ hii inayoongozwa na brainless.

Mfumuko wa bei unaweza tengenezwa na kina Jan + Msoga team
Mkuu hamna kitu kama hicho uchumi wa watu milioni 60 na GDP ya $50bn hauwezi kuvurugwa na watu wawili tu ambao hawana hata $1bn........hizo chuki binfsi mwendazake aliendesha uchumi wetu kianyeji sana informally,.......sasa uchumi ndo unaanza kurudi kwenye trend halisi, baada ya miaka mitatu utaona hali halisi ya uchumi wetu.
 
Samia, Majaliwa, Mpango, Florens Luoga... walikuwa wapi kipindi hicho?
Mkuu viongozi wetu ni wanafiki tu, wewe jiulize wakati January na Nape wanafukuzwa makamu wa mwendazake na waziri mkuu walikua wapi kumshauri kwamba mbona sasa hivi wamerudishwa na hao hao watu, siasa za Ldcs ni one man's rule......
 
Numbers never lie.

Kwa miaka 6 watanzania waliishi kwa uongo na hofu, takwimu nyingi hazikuwa za kweli sababu tu ni kumfurahisha boss.

The moment of egg on face was inevitable .
 
Mpango kama upi? Bot ikiamua kushusha riba kwenye Bank za biashara ( intrest on Bank rate ) kwahali yasasa tuta pata inflation au mfumko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilling ya Tz dhidi ya dollar, tusubiri natural growth of the economy, angalau miaka miwili, ndoturapata hali ya uchumi wa kweli......kwa sasa uzalishaji uko chini sanaa pesa ikiwa nyingi in circulation lazm bei intapanda tu, naona policy ya serikali iko sawa
Serikali iondoeabaadhi ya kodi au kupunguza kodi na tozo kwenye sekta za ujenzi, usafirishaji na miamala ya simu.

Serikali iajiri watu wengi zaidi kwenye sekta ya elimu ya na afya, waongeze mishahara kwa wafanyakazi wa kipato cha chini kama walimu na manesi

Hii ni baadhi ya mipango tu ila ipo mingi na kuna watu wameajiriwa na wanalipwa kwa kodi zetu mahususi kwa ajili ya kufikiri, kufanya tafiti na kuja na mipango ya uchumi, wafanye kazi yao.
 
Mkuu hamna kitu kama hicho uchumi wa watu milioni 60 na GDP ya $50bn hauwezi kuvurugwa na watu wawili tu ambao hawana hata $1bn........hizo chuki binfsi mwendazake aliendesha uchumi wetu kianyeji sana informally,.......sasa uchumi ndo unaanza kurudi kwenye trend halisi, baada ya miaka mitatu utaona hali halisi ya uchumi wetu.
Unafahamu madhara ya umeme kukatika katika hovyo kwenye uchumi? Ni hasara isiyomithilika kwenye maisha binafsi ya watu na uchumi wa nchi kwa ujumla na inaweza kuwa chanzo kimojawapo kikubwa kushuka kwa uzalishaji na kusababisha bei za bidhaa kupanda kiholela.
 
Numbers never lie.

Kwa miaka 6 watanzania waliishi kwa uongo na hofu, takwimu nyingi hazikuwa za kweli sababu tu ni kumfurahisha boss.

The moment of egg on face was inevitable .
Namfumko wa bei ya vitu na vyakula ulikuwepo kwamba hivihivi wananchi walinunua kwa kudanganywa na takwimu na umeme ulikatika hivihivi? Utetezi mwingine mhhhh
 
Namfumko wa bei ya vitu na vyakula ulikuwepo kwamba hivihivi wananchi walinunua kwa kudanganywa na takwimu na umeme ulikatika hivihivi? Utetezi mwingine mhhhh
Kwani sukari ilipanda kipindi gani na watu wakaambiwaje?

Si waliishia kuwaambia tuko vizuri tuna sukari ya kutosha?

Mafuta ya kupikia yalipanda enzi za nani na why serikali ilikanusha hakuna uhaba uliochangia bei kupanda?
 
Numbers never lie.

Kwa miaka 6 watanzania waliishi kwa uongo na hofu, takwimu nyingi hazikuwa za kweli sababu tu ni kumfurahisha boss.

The moment of egg on face was inevitable .

Hahaha kwa hiyo kwa hiyo miaka sita vitu na huduma vilikuwa vimepanda sema tuliogopa kusema ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani sukari ilipanda kipindi gani na watu wakaambiwaje?

Si waliishia kuwaambia tuko vizuri tuna sukari ya kutosha?

Mafuta ya kupikia yalipanda enzi za nani na why serikali ilikanusha hakuna uhaba?
This is madness,just to say the least.
 
Serikali iondoeabaadhi ya kodi au kupunguza kodi na tozo kwenye sekta za ujenzi, usafirishaji na miamala ya simu.

Serikali iajiri watu wengi zaidi kwenye sekta ya elimu ya na afya, waongeze mishahara kwa wafanyakazi wa kipato cha chini kama walimu na manesi

Hii ni baadhi ya mipango tu ila ipo mingi na kuna watu wameajiriwa na wanalipwa kwa kodi zetu mahususi kwa ajili ya kufikiri, kufanya tafiti na kuja na mipango ya uchumi, wafanye kazi yao.
Serikali ikiajiri watu wengine wakati huo imeondowa baadhi ya kodi mishahara itatoka wapi? Kumbuka kuna Non productive loans nyingi tulizo kopa kipindi cha mwendazake paka sasa hivi serikali inalejesha hizo ribah kubwa ku service hiyo mikopo ya jpm, jibu la uchumi wetu nikuongeza uwekezaji ili uzalishaji uongezeki serikali iweze kukusanya kodi za kutosha, ili iajiri watanzania wengi kwenye secto mbalimbali
 
Hahaha kwa hiyo kwa hiyo miaka sita vitu na huduma vilikuwa vimepanda sema tuliogopa kusema ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wakenya ndio waliokua wanasema "Vyuma vimekaza' awamu ya 5?
 
Unafahamu madhara ya umeme kukatika katika hovyo kwenye uchumi? Ni hasara isiyomithilika kwenye maisha binafsi ya watu na uchumi wa nchi kwa ujumla na inaweza kuwa chanzo kimojawapo kikubwa kushuka kwa uzalishaji na kusababisha bei za bidhaa kupanda kiholela.
Tz izima ni 24% ndo wanao tumia umeme wa grid ya taifa, uchumi wetu kwa 70% ni kilimo tu, ni 17% ndo wanao ishi mijini, kama mwendazake angejua uchumi na kupenda Tz hizo 2T alizo nunulia ndege angeziwekeza kwenye sekita ya kilimo bei ya vitu insingekua imefumka kama sasa
 
Hebu twambie kimetokea nini ikiwa bei za bidhaa na huduma zimepanda maradufu baada ya budget ya kwanza ya Mama!?Take in note (usisaha ongezeko la kodi na tozo kwenye huduma na bidhaa) hivi mnafikiri watanzania wote ni wajinga hawafatilii na awaoni?
Katika planning kuna short medium and long period planning, mama iko kwenye 10yr short period planning ya mwendazake, hawezi ku influence bajeti paka miaka 3 ya jpm iishe, ndo tuone short period planing zake, katika uchumi kwasasa Mama mnamuonea bure.
 
Katika uchumi bei ya vitu inakua determine na forces of demand and supply, sio serikali au wafanya biashara bei zikipanda jua tu uzalishaji wa vitu umeshuka au idadi ya watumiaji imeogezeka, Raisi ambaye amekaa miazi 9 madarakani hasihusishe na bei ya vitu kwasasa, mwendazake ndo alievuruga sector binafsi na kutimua wawekezaji binfsi. Tutakuja kupata unafu baada ya miaka kama 3. Ndotutaanza kumlaumu Raisi sio kwa kwasasa
Umelewa urefu wa kamba yako na umevimbiwa sio?
Kama huathiliji na hii hali wagawie watu pesa ziwatoshe sasa.

Serikali ispodhibiti bei ya vitu muhimu ni serikali ya kijinga kwa wananchi wake.
Nyie mmeshibisha matumbo kwa hela ya mlala hoi hamjui hata bei zikipanda ndo maana mnasema hivyo.
 
Back
Top Bottom