Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Recruitment ni wanafunzi wanaoishi arusha tena wilaya mbili arusha mjini na arumeru kuna distance coverage wamejiwekea
 
Recruitment ni wabafunzi wanaoishi arusha tena wilaya mbili arusha mjini na arumeru kuna distance coverage wamejiwekea
Kwenye Website yao wanataja Lindi pia.. na mikoa mingine..

Matokeo yao since 2012 naombeni link.. tutawapata wanufaika... Na tutajua wanatoka Wilaya hizo mbili au ni janja janja.

Kuna harufu ya fraud in this whole thing.. ukianza na kukinzana taarifa
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
 
Masisiemu Sasa ndio yamejua kiasi ambacho magufuli hawaamini.

Yaani kawapa Watoto wake, Na mbuzi za chadema alizonunua mnadani na zile ng'ombe za jalalani udsm pale bila kusahau lakezonelization, watu wa Kanda ya ziwa.

Masisiemu yamepigwa na butwaa
Kunywa maziwa Ndg yangu.. life is beautiful... 🙂 Enjoy it
 
Interesting... wakati upande mmoja una-dis Watanzania kwamba ni watu wanaopenda kuongea kwa hisia, hapa unakiri kwamba unafanya assumption... another way of saying unaongea kwa hisia!!
Wewe unayeongea kwa hisia ndie unataka kujua lakini wanaotafuta habari, tayari imeshaelezwa ni nini kinaendelea kuhusu St. Jude! Kwanza St. Jude HAIJAFUNGWA kama unavyoeleza... kauli ambayo kwa mara nyingine inathibitisha kwamba unaongea kwa hisia badala ya kutafuta facts!

Kwamba una-downgrade kwa sababu sio kauli ya serikali, unathibitisha kwa mara nyingine wewe sio mtu wa kutafuta habari! Nimekuambia hapa kuhusu hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Biashara, na hiyo hukumu ipo uploaded hapa!!!

Badala ya kujishughulisha kutafuta hiyo hukumu, bado unaendelea kuongea kwa assumption bila kujua ni nini hasa kinadiliwa!!!
 
Tatizo mnaamini sana Muzungu na ndo maana mnawauzia rasilimali bure, Spain ni corrupt country usitake kujifanya kuitetea, Spain inaishi sababu tu ya EU basi lkn ni corrupt system siajabu bora hata Tanzania, ...
Kuna nchi ambayo ni corrupt-free? Haibadili ukweli kwamba huwa wana bail out kampuni zinazotaka kufa.

Mpaka kuna timu ya soka ilikua na deni zaidi ya €300M (Tsh Billion 500+ ) lakini badala ya kuifungia. Wakaipa fungu la kujiendesha then wakaidai hyo kodi kuanzia miaka ya 90 likaja kumalizwa miaka michache nyuma.

Sasa kma wana bail out kampuni zinazokwama hta kulipa madeni ya serikali..... Ndio sembuse kwenda kukwapua pesa kwa akaunti? Mmefikiria ajira? Human capital inayozalishwa kwa miaka 10 ijayo? Mmefikiria multiplier effect kwa wale suppliers wa shule?
 
Elimu kwa Watanzania ni jukumu na kazi ya Serikali JMTZ na siyo Mzungu wa sijui Australia, kwani huko kwao hana matatizo ? ...
Serikali inatoa bora elimu
Inaangaalia namba Badala ya ubora.
Inatoa elimu bure primary ambako ni rahisi na kushindwa hata kununua computer mbovu kwa wanafunzi wa vyuo
 

Hiyo ni corruption, kwenye Capitalism na free market economy Serikali haipaswi kuokoa kampuni ambazo zimefirisika kwa kushindwa kujiendesha, hiyo ni socialism, kwenye free market economy Kampuni zinaendeshwa na innovation, kama ukishindwa keep up na kuja na teknolojia mpya unakufa na wengine waliowekeza kwenye utafiti na innovation wanaibuka, mfano mzuri ni Nokia ya Finland walikuwa ni World leader kwenye eneo la communication lkn wakajisahau wakalala hawakuwekeza kwenye new technology ya smart phone apple ikaja wakapoteza leo hii Nokia siyo Big player tena kwenye simu, lkn Serikali ya Finland haiwezi tu kuchukuwa fedha za walipa kodi kuilipa Nokia hiyo ni corruption na socialism, free market economy haiendi hivyo.

Kwenye Capitalism ni competiton ndiyo inatawala ukishindwa unaachwa unakufa, wengine wanaibuka, ...
 
Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo

Hata Mimi imenishangaza kidogo. Hivi tangu lini shule ambayo ni huduma kwa 100% ziwe zinalipa kodi?

Hii serikali ya CCM na Magufuli ina matatizo gani?

Kuna watu huko nje ktk nchi za dunia ya kwanza wana fedha na wanatafuta sehemu ana watu wa kusaidia ktk nchi masikini kama yetu..

MRA nyingi wafadhili hawa hupenda kutuma fedha zao moja kwa moja kwa mlengwa/mnufaika...

Nadhani sakata hili ni reflection kuwa serikali inataka fedha za misaada ya namna hii ipitie hazina ndiyo itumwe kwa walengwa..

Hili ni gumu kwa wafadhili. Haliwezekani...!!
 
@zitto junior unaweza kuipaka rangi yoyote utakayopenda hiinmove ya bail out.. ila kwa kifupi ni kuiba mali ya umma kumsaidia Kabaila aliyeshindwa...na anayepaswa kufa.

Wamerekani wanafanya sana kwakuwa there is a feeling of grandiose.. kujiona wao ni wakubwa kuliko watu wote Duniani.. kukubali kuwa their biggest establishments zinaweza kufa ni aibu.. na ndio maana wanabuse public funds kuwaokoa washirika wao... Wachangiaji wakubwa wa kampeni zao za kubakia madarakani.

Kampuni ikionesha dalili za kufa ujue muda umefika.. bila mabadiliko yanayoreflect umma wa wanufaika wa huduma hata uweke pesa kiasi gani its useless.. watabakia afloat for few years then itabidi uwabail tena.. maana kivuli cha kifo kiko pale pale

Ninachojua claim ya Human Capital and jobs to be created na establishment kama St. Jude sio claim za kitoto lakini kama kuna Tax Fraud Lazima tuinvestigate na wao wakubali kweli kuna Tax Fraud.. wakiendelea kukataa na kukimbia appeal kila siku unaiweka kwenye wakati mgumu...

What if nikakuacha kumbe upoa kwenye mpango wa kuwind down na kuondoka na as much as you can?? Nianze kufuata Australia juu ya tax Fraud hapa nchini!? Nchi zingine hutoki nchini ukiwa na madeni sisi bado..

Tunaahika fedha yako.. weka habari sawa tunakurudishia... What s wrong.
 
Picha tunayoipata hapo kwa mfadhili ni kuwa mfadhili ameshtuka kuwa uongozi wa shule ulikuwa unakula pesa za kodi halafu kwenye mahesabu wanaripoti kuwa kodi imepelekwa serikalini.
Kodi inakuwaje kwenye non-profit organisation binti Lowassa? Au Sheria za Kodi hapa nchini huzifahamu my dear?
 
Kodi inakuwaje kwenye non-profit organisation binti Lowassa? Au Sheria za Kodi hapa nchini huzifahamu my dear?
Aliyekuambia walimu wanaofundisha hiyo shule mishahara yao haikatwi kodi nani? Suppliers wanaofanya biashara na hiyo shule?
 
Aliyekuambia walimu wanaofundisha hiyo mishahara yao haikatwi kodi nani? Suppliers wanaofanya biashara na hiyo shule?
Sijaongelea payee wala hao suppliers. Kufreeze 500Mil kwenye account ya shule inahusiana na nini na payee na suppliers Jenifer?
 
Aliyekuambia walimu wanaofundisha hiyo shule mishahara yao haikatwi kodi nani? Suppliers wanaofanya biashara na hiyo shule?
Kwa hiyo bibie hii Tshs. 500, 000, 000 yote ni malimbikizo ya kodi ya mshahara (PAYE) siyo?

Inaweza kuwa ya miaka mingapi eti? Na kwanini TRA wasiseme kuwa tumechukua fedha hii yote kwa sbb hawa Yuda hawakuwa wamelipa PAYE ya wafanyakazi kadhaa kwa miaka kadhaa...??
 
Mbona serikali hata ya Tz huwa inaweka guarantee kwenye baadhi ya miradi ya private sector. Ina maana nayo ni corruption?. Vp BOT imeshusha Reserve ratio za mabenki ili kuziongezea ukwasi, hiyo nayo ni corruption?

Ni hivi Market Economy (At it's fullest) haimaanishi ni zero intervention ya serikalu bali LIMITED. Hata uwepo wa sera tu ni intervention, uwepo wa regulatory bodies ni interventions. Ni wapi ilipoandikwa Market Economy ni purely private sector-driven economy?

Then nikusaidie kitu innovation sio kitu cha dakika 5 kwa tafiti nyingi nilizosoma kitengo cha R &D kikileta product mpya ujue 80% are bound to fail. Ndio inapokuja nadharia za Technology-fit ana Continuous learning process model. Kwamba with time zile innovation zilizofeli zinahuishwa ndio zinaleta successful product.

Apple unayoiona leo miaka ya 90 ilifeli vibaya sana kwenye bidhaa zake ila miaka 10 baadae ikainuka so hta hao Nokia sio kwamba walikua hawana innovation bali hyo curse ya ''New product dev't'' but with time mafanikio yataonekana so usitumie trend ya miaka 10 tu kutoa conclusion, kwenye economics hiyo ni muda mdogo sana kufikia conclusions.
 
Acha hizo table zako,tueleze mnadaiwa kodi kiasi gani na ilikuaje hiyo kodi ikalimbikizwa mpka kufikia milini 500?
 
We mjinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…