Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Mimi kwangu naona TRA hawana makosa! Wametimiza wajibu wao.Labda niseme tu kilichokosekana ni busara ya Serikali tu! Isingekomba fedha zote wakati shule hiyo ina mchango mkubwa kwenye huduma nyeti ya Jamii kama Elimu.
 
Kuna kitu mataga wamegundua sio bure,panapofuka moshi chini kuna moto.
 
Ziko Shule ambazo ZIMESAJILIWA kuwa ni za MAYATIMA...

Looh ajabu kubwa zinawachanganya mpaka watoto wanaolipiwa ADA NA WAZAZI...huku Wizara ya elimu ikiendelea kuamini kuwa watoto 100% wanafadhiliwa....

THINK THRICE
 
Kwanza unatakiwa ujue ni kodi zipi wanadaiwa?
Non Profit organization wan with holding taxes wanazokata toka kwa suppliers wanaofanya nao kazi ambao kisheria wakiwa wanawalipa inabidi wazuie asilimia fulani then wapeleke TRA, kuna Paye kodi wanayokata toka kwa Employee wao then wanapeleka TRA,

Pengine hizo kodi walizokusanya kama Wakala wa TRA kwenye maeneo hayo hawajasilisha accordingly

Kabla ya kulaumu au kusikitika lazima tupate aina ua kodi wanazodaiwa

Ikiwa wanadaiwa corporate Tax hapo Watakuwa wameonewa
Non profit organization inalipaje kodi.? Kwanza Kodi maana yake nini tuanzie hapo
 
Shule ya bure unauliza kodi gani boss? Malimbikizo kwani wanafanya biashara?
Napingana na huu mtindo wa recovery wa TRA wa kufungia account na kulazimisha malipo wakati mwingine hata muafaka haujafikiwa, ni sawa na kumchinja mtetea anayekupa kila asubuhi yai moja unywe na chai sababu kuna yai alitaga na hulioni.

Kuhusu kulipa kodi, Kodi si lazima uwe unafanya biashara ndo ulipe corporate tax au PIT, kuna kodi nyingi, huenda wakati wamefanya examination of books of accounts au tax audit walikutana na sdl, PAYE ambazo hazikulipwa labda kuna suppliers walisupply vitu kwao halafu wakapunguza sales figures ili kukwepa V.A.T, kuna WT on services au inawezekana hawana tax exemption certificates na wanafanya kwa mazoea tu kuwa hatulipi kodi n.k n.k
 

Sasa kodi kwenye non profit organization jamn
 
Waalimu
Walimu na wafanyakazi wanalipwa mishahara ambayo inatakiwa kukatwa kodi ya PAYE, inawezekana kodi hiyo ilikuwa inakatwa lakini haiwasilishwi TRA hivyo kupelekea shule kulimbikiza deni kubwa.

Pili wazabuni wanapolipwa kwa huduma walizotoa kuna withholding tax wanakatwa na shule inatakiwa iwasilishe TRA inawezekana walikuwa wanakata lakini hawawasilishi TRA.

Hivyo kabla ya kulaumu inatakiwa ujue mchanganuo wa kodi gani wanadaiwa na kwa kipindi gani.
 
TRA hawana mamlaka ya kuchukua pesa kwenye Bank
 
Shule ya bure unauliza kodi gani boss? Malimbikizo kwani wanafanya biashara?
Kodi hata kanisani zipo mkuu,inategemea ni kodi ya nini.Mathalani payee ya wafanyakazi Haijalishi ni wapi ni lazima muajiri aweke rekodi Sawa ili kodi hiyo ilipwe kutoka ktk salary ya muajiriwa wake.

Kuna taasisi nyingi hukubaliana na mfanyakazi kwamba ntakulipa mshahara X halafu hutakatwa kodi,jambo ambalo ni Kinyume na sheria.Sasa wakidakwa hiyo kodi ikiyokwepwa na adhabu yake inadaiwa kwa taasi au muajiri.

Ndio maana Nikasema wasitulishe tuhuma za upande mmoja waseme pia wanadaiwa kodi za nini Ndio tutakuwa ktk mazingira sahihi na kusema ni halali walipe hiyo kodi au wameonewa
 
Local collaborators ni akina nani isije ikawa ni Godbless lema na Nyalandu.Ukiwajua wanahisa wa shule then unaweza kupata mwanga
 
Kama ni money laundering si wapelekwe mahakamani. Sio una funga accouunt halaf hata kesi hufungui.. mwans kuna kitu kingine.
 
Wanatafuta pesa kinguvu, walitakiwa kuchunguza ni kweli wanaosoma ni masikini pia wanatoa malipo yoyote kama kuna ujanjajanja wachukue hatua.

Ngoja tupate maelezo ya upande wa pili.
Mkuu,kama hujui kitu ni hivi.Mimi mwenyewe naifahahmu hii shule na kazi nzuri inayofanya.Mmoja wa watoto wangu ambaye anasoma shule za serikali alishiriki katika mchakato wao wa uteuzi na kwa sababu Mwanangu alikuwa na uwezo alikuwa ni mmoja wa watoto waliopita katika hatua za mwanza.Walikuja mpaka nyumbani kwangu.wakakuta nyumba yangu ya ghorofa na gari kadhaa zimepaki nje na ndugu zake wengine wanasoa shule za kulipia wakasema huyu sio muhitaji.Wakamuacha.Nilishangaa ila niliwaelewa.

Ninachotaka kusema ni kwamba hawa watu wanafanya kazi nzuri wa kusomesha watoto wetu tuliofyatua bila mpango.Huo ni ukweli.Nashangaa serikali inapowakazia kama vile wanauza ngada.Kama serikali imekosa pesa ya kuendesha nchi si waanze kuuza BANGI?WHO tayari wameruhus ili waiache ST JUDE iwasaidie kusomesha watoto.WAACHE UPUMBAVU NI UJINGA.

KWANZA KUTOZA KODI TAASISI ZA ELIMU NI TABIA YA KIPUMBAVU KABISA AMBAYO INAPASWA KUKEMEWA NA KILA MPENDA MAENDELEO

KAMA MMESHINWA KUENDESHA NCHI NENDENI CHATO MKACHUNGE NGOMBE.
 
Wewe unaelewa maana ya money laundering?Acha kuongea kitu ambacho hukielewe.Money Laundering ni mamkosa ya kipuuzi ambayo hutumiwa na viongozi wa kisiasa kukomoa maadui wao na kuonyesha chukli zaao.Hakunaga PESA haramu.PERIOD
 
Umeisoma vizuri post yangu au umekurupuka.
 
Hujapatapo kusikia baadhi ya shule za mayatima zipatazo ufadhili wanalipisha kisiri WATOTO WA WENYE UWEZO?!!!

Ikijulikana ni kwanini KODI ISIKATWE?
Issue ni serikali inasemaje? Ww unachoandika hapa ni speculations tu na rumors.
Lazima serikali itoe sababu concrete of why.. imeaumua hivyo.
 
Nikuulize swali mkuu... Hivi shuguri ya kijamii especially kwenye elimu na afya inayofadhiliwa/ jnayopewa msaada na wahisani inakatwa kodi?
Ukilijibu hili vizuri. Tuangalie kipindi cha awamu za nyuma ilikuwaje na awamu hii Mambo yanaendaje.
Karibu mkuu
 
Si ajabu umepanga halafu unajifanya una ghorofa
 
Wewe ni mbuzi.Kama hujui haya ni maisha ya watu.Kama huwezi changia kwa kutumia ubongo basi bora ukakaa kimya.Hawa watu wanaomba michango ila watotowenu wasome wewe unaleta upumbafu wako.KODI gani katika taasisi ya elimu?KUTOza KODI WATU WANAOTO HUDUMA AMBAZO ZINAPASWA KUTOLEWA NA SERIKALI NI WIZI.period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…